Hivi kwa nini mtu akifiwa analeta habari za msiba humu? mara oh nimefiwa na baba, mara ohh na mama, mara rafiki yangu mpenzi ...sisi wengine wanatuhusu nini??
Sasa kwa nini hamjulishani huko...
Siikiliza Bunge la nane la Bajeti katika Computer yako:
tembelea www.arushamambo.com click "Sikiliza Arusha Mambo FM..." redio ikifunguka kwenye Page ya Tune IN tafadhali click LIKE au toa maoni...
Nakiri mimi sio msikilizaji wala mtazamaji wa hizi media za Clouds, leo kuna mtu kanipa lift kwenye gari yake akawa amefungulia hii radio ghafla tangazo la biashara likagonga "hallo Boss nimepiga...
How the Chinese make fake eggs from chemicals
Fake egg was made from calcium carbonate, starch, resin, gelatin, alum and other chemical products. Step 2 egg production, Raw egg into the mold...
Jamani kunani njia ya tegeta maana nilikuwa kwenye gari nimekutana na difender zimejaza ffu wamejilodi bunduki na mabom ya machozi ya kutosha bila kusahau kunamagari kadhaa ya washawasha.
Vijana...
WANAJF,leo nikiwa naingia Lushoto town nimeshtushwa na habari kwamba zaidi ya wafungwa 1o wametoroka gerezani kupitia tundu kubwa walilochimba wenyewe. NAOMBA MWENYE HABARI KAMILI ATUPIE UZI...
Watanganyika hawa wazanzibari wakiongozwa na viongozi wao wanawanyanya sana watanganyika huko zanzbaa, yani inakuwa rahisi kuishi kenya kuliko kuishi zanzbar hapa najumuisha ya ni kwa dini zote ...
Manispa ya Temeke imewapora ardhi wanachi wa Kata ya Somangila mitaa ya Kizani (Gezaulole), Mwela, na inaelekea maeneo ya Mwongozo.
Historia ya mradi
Mradi wa Viwanja 5,000 Eneo la Gezaulole...
picha hizi zikionyesha ng'ombe wa wafugaji wakiwa wamepigwa risasi na maaskari wa wanyama pori katika mbuga ya mikumi
Baadhi ya ng'ombe walifariki baada ya muda kidogo kupita kutokana na majeraha...
vijana wengi wa miaka 26 kushuka chini ambao wengi wao ni wanavyuo au wanataaluma mbalimbali wamekuw addicted na mitandao.
Ninaposema addiction namaanisha siku hizi mtu hapitishi siku bila...
Dear all,
Infact kama upo barabarani make sure your windows are up and you don't take anything from traffic lights.
TRUE STORY:
Kuna jamaa yangu kama wiki mbili zilizopita...
Spanish furniture company OHEA has created a bed that unsullies itself automatically. Using two rollers at the foot of the bed, the covers are smooth out as the pillows levitate to accommodate...
Dar es salaam litakuwa katika wakati mgumu baada ya bomba kuu lenye ich 57 ambalo liliwekwa toka mwaka 1957 kupasuka kutokana na umri,hivyo wakazi mmeombwa kutumia maji kwa uangalifu
Hivi ni utaratibu upi mwanamke aliyeolewa anapaswa kuutumia ili aweze kubadilisha jina, yaani atumie jina la mume wake? Naomba mnaofahamu mnijuze, asanteni
Mh, Wassira najua wana Bunda umewaahidi mamabo mengi tu lakini hatujaona hata moja ulilolitekeleza.
Mbaya zaidi ni pale juzi tulipokuona unapiga domo ktk viwanja vya Jangwani kuhusu kilimo cha...
BREAKING NEWS!!!! Kundi la Uamsho ambalo linatuhumiwa kufanya vurugu mbalimbali ikiwemo kuchoma nyumba mjini Zanzibar hivi karibuni, limebainika kuwa lina ajenda ya siri ya kutaka kuunda taifa...
Tuesday, 12 June 2012 22:58
By Daniel Msangya
The Citizen Correspondent
Dodoma. The National Bureau of Statistics (NBS) said it does not recognise statistics relating to population of...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.