Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Mlimani tv wanaonyesha kipindi maalumu cha kumuaga bob makani
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Watalaam wa biashara katika manispaa na na halmashauri za miji yetu kazi zao ni zipi??? Hivi kweli jengo kama machinga complex iliyotumia mabilioni ya shilingi kulijenga leo inashindikana...
0 Reactions
1 Replies
965 Views
Dear wapendwa nimempoteza mama yangu kipenzi usiku huu naomba maombi yenu more inf to mex
2 Reactions
231 Replies
16K Views
Wana JF, Serikali ya CCM na uongozi imara wa viongozi wake wamepiga hatua kubwa na ya kusifiwa katika mkoa ambao ama ulisahaulika ama uliwekwa kiporo. Katika pitapita zangu nimegundua maendeleo...
1 Reactions
37 Replies
4K Views
Wadau, kumekuwa na uanzishwaji wa bloggs ambazo kwa kweli nyengine sioni hata sababu kuu ya kuwepo wadhamini {tena wakubwa} kuzipa udhamini. Kwa mfano; utakuta blog inazaminiwa na kampuni kubwa...
0 Reactions
20 Replies
3K Views
Watanzania wenzangu hivi haya magazeti ya magamba ya Uhuru na Mzalendo yataendelea kuwepo 2015 endapo CCM itaangukia pua kwenye uchaguzi mkuu ujao maana kwa sasa hivi hayanunuliwi na yanaendeshwa...
0 Reactions
15 Replies
4K Views
Naomba msaada kidogo wa kutaka kuelimishwa,kuna jambo limenitatiza jana wakati naangalia kipindi cha Prof. Shivji cha Katiba,kipindi kinachorushwa na ITV,kuna Mshirika mmoja aliimuuliza Prof.kuwa...
1 Reactions
25 Replies
3K Views
HALI ya hatari imewazingira Watanzania walioko nchini China kwa biashara, baada ya Wachina kuanza tabia ya kuwadhulumu, kuwapiga na kuwapa mateso mbalimbali. Habari kutoka China, zilizojazwa...
0 Reactions
24 Replies
4K Views
Hii ni sehemu ya hotuba ya Ronald Reagan mwaka 1964. Akasema tena. It must use force and coercion to achieve its purpose. Tujaribu kujadili hili kama lina uhusiano na mazingira ya nchi yetu
0 Reactions
1 Replies
859 Views
Siku zinavyosonga mbele ndivyo ugumu wa maisha unaongezeka; mfano mfumuko wa bei umekuwa ukishika kasi kama vile moto kwenye mbuga yenye majani makavu. Kwa sasa mfumuko wa bei ni karibu asilimia...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Hivi huyu anandoto yakuwa rais?
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Waziri wa Fedha,Dk William Mgimwa kwa niaba ya serikali amepokea sh 7.9 bilioni kutoka benki ya NMB ikiwa ni gawio la serikali kwa mwaka 2011 kama ilivoidhinishwa katika mkutano wake mkuu...
0 Reactions
17 Replies
2K Views
Hivi huyu anaye kula chakula hiki ukimpa utendaji wakijiji si kila mwanamke atakuwa wake.maana hapo anafundishwa kuvimbiwa kwahiyo atavimbiwa kwenyekila kitu
0 Reactions
0 Replies
1K Views
From a friend Hi, Some years ago, on a hot summer day in South Florida , a little boy decided to go for a swim in the old swimming hole behind his house. In a hurry to dive into the cool water...
0 Reactions
0 Replies
878 Views
Wakuu kuna tatizo limejitokeza Tanesco sasa hivi kwasisi wateja tunaotumia huduma ya kulipia kupitia hizi Metter za LuKU, ni kwamba sasa hivi huku mkoani Arusha tatizo limeshaanza kua sugu...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
What’s rural life like in Tanzania?POSTED MAY 11TH, 2012 BY CLARISSA In the U.S. our lives are filled with gadgets, products and services all designed to make our lives easier. Sometimes it’s...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wadau tuchangie mawazo kidogo, kuna sababu yoyote unayoweza kueleza kwa nini ungependa kuwa tajiri.
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Mamlaka ya Usajili wa Vizazi na Vifo almaarufu kama RITA wameanza kusimamia mavazi ya heshima kwa wateja wa ofisi zao za Dar es Salaam. Getini,pale Dar es Salaam,wanaovaa mavazi yasiyo na staha(...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Serikali ya OMAN imesema itaendelea kuisaidia SERIKALI YA MAPINDUZ ZANZIBAR(SMZ),mchakato wa kwanza wa Oman kuisaidia ZANZIBAR kwa sasa utajikita kwenye sekta ya habar ambapo SHIRIKA LA UTANGAZAJ...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Inatokea tanga kuelekea arusha. Limekata tairod hand. Hakuna aliyekufa.
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Back
Top Bottom