Je usingizi wa kwenye dala dala una faida gani? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Je usingizi wa kwenye dala dala una faida gani?

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Mchokozi, Jun 12, 2012.

 1. M

  Mchokozi JF-Expert Member

  #1
  Jun 12, 2012
  Joined: Feb 9, 2012
  Messages: 215
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Jamani % kubwa ya watanzania iwe jioni, asubuhi au mchana utaona muda wote wanauchapa usingizi, je kusinzia huku kunafaida gani kiafya??
   
 2. mansakankanmusa

  mansakankanmusa JF-Expert Member

  #2
  Jun 12, 2012
  Joined: Sep 30, 2010
  Messages: 4,092
  Likes Received: 603
  Trophy Points: 280
  mimi ndi o usiseme, lkn nikiwa sijalal usiku jana yake nitabembea mno, siku moja niliponea chupchup nilimwangukia jirani/abiria nilimgonga kichwa, akataka anibonde, thnx kwa abiria
   
 3. RICH OIL SHEIKH

  RICH OIL SHEIKH JF-Expert Member

  #3
  Jun 12, 2012
  Joined: Jan 2, 2012
  Messages: 882
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Pole sana - dah umenichekesha sana mkuu.
   
 4. BADILI TABIA

  BADILI TABIA JF-Expert Member

  #4
  Jun 12, 2012
  Joined: Jun 13, 2011
  Messages: 30,874
  Likes Received: 6,227
  Trophy Points: 280
  usingizi wa kwenye daladala mtamu....
   
 5. V

  Vonix JF-Expert Member

  #5
  Jun 12, 2012
  Joined: Apr 23, 2011
  Messages: 1,988
  Likes Received: 507
  Trophy Points: 280
  sijui ni ufananishe na nini yote tisa lakini kumi ajali ikitokea huku unabembea mmm!sipati picha.
   
 6. C

  Caroline Nyalusi New Member

  #6
  Jun 12, 2012
  Joined: Jun 8, 2012
  Messages: 3
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  ha ha ha amenichekeshaje wa hapo wa kulala kwenye daladala
   
 7. Baba Mtu

  Baba Mtu JF-Expert Member

  #7
  Jun 12, 2012
  Joined: Aug 28, 2008
  Messages: 881
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 45
  Ukilala kti daladala ukifika kazini unakuwa fiti, mwili hauna uchovu tena kwa kuwa uchovu umeisha ulipolala garini
   
 8. doup

  doup JF-Expert Member

  #8
  Jun 12, 2012
  Joined: Feb 26, 2009
  Messages: 1,172
  Likes Received: 335
  Trophy Points: 180
  Nani anakulindia mali zako (Simu, Pesa, Pochi,Mkoba, laptop, etc),
  Si unajua hawa jamaa sera yao ni "Abiria chunga Mzigo wako"
  na kwenye daladala kuna watu ujihimu asubuhi sana, utafikiri wanaenda kazini kumbe ni vibaka wahitimu.
   
 9. A

  AZIMIO Senior Member

  #9
  Jun 12, 2012
  Joined: Jun 15, 2011
  Messages: 188
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Kwani wewe hujui kisinzia ni kutamu zaidi kuliko kulala?fuatilia utapata jibu.
   
 10. saidomr

  saidomr Member

  #10
  Jun 12, 2012
  Joined: Nov 20, 2010
  Messages: 58
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  kama auna haraka utaombea usifike ili urale2
   
 11. m

  makumvi Member

  #11
  Jun 12, 2012
  Joined: Mar 26, 2012
  Messages: 93
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Dawa ya usingizi ni kulala, watu tunakabiliwa na mishe mishe hivyo hatupati muda mzuri wa kulala,unadamka saa 10 alfajiri kwenda kwenye mihangaiko unarudi nyumbani saa4 em pata picha hapo, kuanza maandalizi ya kupata msosi unatakiwa upate muda mzuri wa kupumzika walau masaa ma2 kabila ya kulala tayari ni saa6 hapo, unaingia bedi baada ya masaa ma3 unaamka kujiandaa kwenda mtaani hivyo bakaki ya usingizi unayamalizia kwenye dala dala
   
 12. tz1

  tz1 JF-Expert Member

  #12
  Jun 12, 2012
  Joined: Mar 19, 2011
  Messages: 2,118
  Likes Received: 30
  Trophy Points: 145
  Ukilamba kilaja uta upata tuu na ukistuka dala dala limefika mbagala na wewe unakaa changombe,kazi kwako.
   
 13. mansakankanmusa

  mansakankanmusa JF-Expert Member

  #13
  Jun 13, 2012
  Joined: Sep 30, 2010
  Messages: 4,092
  Likes Received: 603
  Trophy Points: 280
  asante , niliswing mno, mara nampiga jamaa kichwa, nilijitetea waapi, abiria wakanitetea. mmj akasema lkn na lenyewe limezidi, mchawii nini, mzee nikawa kimyaaa..sometime una raha yake kidogo tu umefika safar yako
   
 14. j

  junior05 Senior Member

  #14
  Jun 13, 2012
  Joined: May 3, 2011
  Messages: 190
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Ah, ndugu yangu we, wengine waishi mbali zaidi ya 25km,automaticaly mtu anauchapa kishkaji
   
 15. B

  Bajabiri JF-Expert Member

  #15
  Jun 13, 2012
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 9,755
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 0
  mim hulala kwenye mabas ya mikoan,,,kama natoka dar ntasinzia hadi kibaha,,,then naanza kuwashangaa wakwere hadi naingia msamvu
   
 16. B

  Bajabiri JF-Expert Member

  #16
  Jun 13, 2012
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 9,755
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 0
  usingizi wa siesta huo
   
 17. m

  mdawi Member

  #17
  Jun 13, 2012
  Joined: Mar 16, 2012
  Messages: 20
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  KWA MTAZAMO WANGU HIYO NI DALILI YA UVIVU, MAANA UTAKAPOLALA UKIAMKA MWILI UMECHOKA CHOKA SO HATA PERFORMANCE YAKO KAZINI KNAKUWA AFFECTED (This is my View)
   
 18. John locke

  John locke JF-Expert Member

  #18
  Jun 13, 2012
  Joined: May 6, 2012
  Messages: 601
  Likes Received: 615
  Trophy Points: 180
  R chuga ukisinzia wanakusachi.
   
 19. Mshuza2

  Mshuza2 JF-Expert Member

  #19
  Jun 13, 2012
  Joined: Dec 27, 2010
  Messages: 4,115
  Likes Received: 1,745
  Trophy Points: 280
  Tuko tofauti!
   
 20. k

  kinubi Senior Member

  #20
  Jun 13, 2012
  Joined: Nov 19, 2010
  Messages: 130
  Likes Received: 54
  Trophy Points: 45
  umejitea mwanzo mwisho...
   
Loading...