Bei ya mafuta:

cedrickngowi

Senior Member
Jun 9, 2012
148
23
Hey,nilifatilia interview ya moja ya mdau mkubwa wa biashara ya mafuta,one of his main comments were,OIL PRICE IN WORLD MARKET IS LESS THAN MARKET PRICE IN Dsm,he asked and i am asking,WHATS IN BETWEEN?EWURA wanfahamu hili?
 
Haaahaa! Hiyo kitu ukiigusa, ujue unagusa pasipo guswa...in general, kama hatujapata jawabu la matatizo yetu ya msingi kama rushwa na kukosa uwajibikaji, tusahau kabisa suala la maisha bora kwa kila mtanzania
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom