Tanzania, Congo na Botswana zinatamaniwa sana na mataifa ya magharibi | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tanzania, Congo na Botswana zinatamaniwa sana na mataifa ya magharibi

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Dik, Jun 11, 2012.

 1. D

  Dik JF-Expert Member

  #1
  Jun 11, 2012
  Joined: Nov 15, 2011
  Messages: 1,205
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 135
  Wana jf ni dhahiri nchi hizi zinatafutwa sana na kila mbinu zinafanywa ikiwa ni pamoja na kupandikiza chuki ili kuhakikisha wanazipata nchi hizi na kumiliki rasilimali zilizopo! CCM wanafahamu hl suala na kuna baadhi ya viongozi wanahusika kuratibu mipango hy na kukisingizia CHADEMA!

  Tafadhali wana CCM,wana chdm,wakristo,waislamu wote na taifa zima tuwe makini maana hii nchi tutaikosa.tusikubali watu kutumia tofauti ya dini zetu,kabila zetu nk km upenyo wa kuingilia utajiri na rasilimali zetu!
  HEBU TUJIULIZE HAYA;

  1.Asili ya abraham kinana na R.Aziz ni zipi na wanafanya kazi gani tz?

  2.kinana et al wanaifahamu vp biashara ya usafirishaji wa wasomali na kundi la alshabab?hawa wasomali huwa wanapelekwa wap?

  3.kinana na vigogo wengn ni kwa nini mmemuengua G.LEMA Arusha?ni kwa vile alionekana kuziba mianya ya nyie kufanya mnayofanya arusha?

  4.JB,Campala university(Dar es salaam) wanaofundisha pale wanafanya kazi gani zaidi ya hy?

  5. Waarabu na wayemen wanaoish hapa Tz viongozi wa CCM wanawafahamu vp?hawa kina rostam wanawa2mia hawa jamaa kueneza scandel za udini ili ku2sambartisha na kuwapa mwanya mabepari kuingia na kututawala.

  Mtaniwia radh wana jf kwa kuuliza maswali haya!najua kuna wny taarifa nyng ktk hl na wanaweza kutupa information zaidi juu ya haya!

  KAKA LEMA POLE SANA! ARUSHA HAO NILIOWATAJA HAPO JUU NA CCM KWA UJUMLA WANAFAHAMU UMUHIMU WAKE KATK KUFANIKISHA MIPANGO YAO!

  CCM SIYO YA KUPENDWA KAMA TUNAVYODHANI! WANA MBINU CHAFU SANA JUU YA TZ?
   
 2. s

  schwester Member

  #2
  Jun 11, 2012
  Joined: Apr 7, 2012
  Messages: 69
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ndugu mpendwa umesema maneno mpaka yanauchoma moyo wangu kwani yamejaa ukweli mtupu. Kwani hao hawaitakii meme Tanzania naungana na wewe.

  Sipendi kusema sana lkn R. A ni sumu zaidi ya kobra na Simba na anatujua kwa kina zaidi na nahisi ni yeye na kundi lake ndiyo chanzo cha kutaka kuleta utengano znz na bara.

  Pia ni chanzo kikubwa cha kutesa watanzania lakiniWatanzania sijui waambiwe kwa kutumia MASABURI ndiyo wataelewa. Wasisikilize hao wanafiki hakuna UDINI wala UKABILA tulimng'oa mkoloni kwa pamoja bila kuchoka kwa kutiana moyo basi sasa tuwang'oe wanaotudhulumu kwa pamoja hakuna kulala.

  Tunachotakiwa ni kuthubutu TUSIOGOPE.

  Na hasa nyiynyi w/ke mnapenda vya bure TUUNGANE tujikomboe!
   
 3. D

  Dik JF-Expert Member

  #3
  Jun 11, 2012
  Joined: Nov 15, 2011
  Messages: 1,205
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 135
  Hayo ni machache tu ila kuna siri kubwa sn juu ya nchi hii!imebakia screpa na hata kina nape wanajua lakini yanakbali kukalia ofisi yakidhani yanaongozwa bila kugundua kuwa yanaonekana majinga na hao hao ynakojionesha ni makarimu.shame on them
   
 4. A

  August JF-Expert Member

  #4
  Jun 12, 2012
  Joined: Jun 18, 2007
  Messages: 4,507
  Likes Received: 723
  Trophy Points: 280
  bail out ya ulaya ndipo ilipo , kwa hiyo lazima waangalie sehemu hizo.
   
 5. MJIMPYA

  MJIMPYA JF-Expert Member

  #5
  Jun 12, 2012
  Joined: Mar 27, 2011
  Messages: 465
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 45
  Hivi mataifa ya magharibi unayajua au basi tu bora umeandika?
  Make naona unataja wasomali, waarabu, Kampala n.k.
   
 6. g

  gpluse JF-Expert Member

  #6
  Jun 12, 2012
  Joined: Apr 1, 2012
  Messages: 393
  Likes Received: 403
  Trophy Points: 80
  Guys, mna resources kwa hiyo mnatakiwa na wasomali, wamarekani, wajerumani, makaburu nk.

  Hata hivyo shida ni kwamba viongozi wenu hawajui hilo. Wanaingia mikataba kwa ajili ya kusaidia watoto na familia zao kuishi maisha ya peponi.

  Huku Ulaya wazungu wanatubagua lakini hata kama homeless guy akija TZ atapewa hadhi ya MWEKEZAJI.

  Waafrika msipopigania haki zenu ukoloni mamboleo ndo huo waendelea kutawala kama kawa.
   
 7. N

  Njoka Ereguu JF-Expert Member

  #7
  Jun 12, 2012
  Joined: Apr 7, 2012
  Messages: 822
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 35
  I suppose you find a better heading for your thread, maelezo yako na heading haviendani kabisa, kwa hiyo kama unataka tukuelewe vizuri it would be prudent for your to change the title or the details.
   
 8. D

  Dik JF-Expert Member

  #8
  Jun 12, 2012
  Joined: Nov 15, 2011
  Messages: 1,205
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 135
  Ndugu yangu nayafahamu sana haya mataifa. Nilisema kuna mengi na hata wana jf wengn wanayajua. Wenzetu ni wajanja na huwa hawaji direct bali kufanya remote control ya nchi hii!waarabu,wasomali na wayemen hawajaja peke yao.

  R.AZIZ, KINANA wana siri kubwa sn ndo maana nikauliza asili yao ni ipi na wanafanya nini. Kwa ufupi tu;
  Je unajua baada ya sultan wa zanziba kupinduliwa alikimbilia wapi?fedha walizopewa kikund cha uamsho znz zilitoka wap?
   
 9. m

  manucho JF-Expert Member

  #9
  Jun 12, 2012
  Joined: Apr 20, 2012
  Messages: 3,410
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  Ndiyo chanzo cha Mkapa na team yake ya majambazi kumpeleka J.K. Nyerere huko Ulaya wakamuua then wakaanza kuuza nchi kama watakavyo, TUMEKWISHA JAMANI.
   
 10. Alwayz on top

  Alwayz on top JF-Expert Member

  #10
  Jun 12, 2012
  Joined: Jun 5, 2012
  Messages: 558
  Likes Received: 72
  Trophy Points: 45
  Huyo Rostam aziz ana asil ya Iran nchi wameiuza na anashirikiana na watanzania wasio na uzalendo kuitafuna nch kwa mikataba mibovu kama Dowans,Richmond kampun haijazalisha umeme lkn inataka ilipwe mabilion yan wazalendo 2we kitu kimoja tuikomboe nchi ye2 kutoka kwa mabeberu hawa na vibaraka vyao.
   
 11. R

  Rebel volcano JF-Expert Member

  #11
  Jun 12, 2012
  Joined: Jun 1, 2012
  Messages: 404
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  siku obama atakaporudi africa nadhani kila muhindi au mwarabu anaeishi tz atarudi kwao,nadhani inawezekana ama?!
  muhimu tujiimarishe katika viwanda hawa jamaa wenye asili ya asia kama wakitoka nchi hii ifkiri itakuwa vipi kimaendeleo??!!
  tutakuwa juu sana!
   
 12. R

  Rebel volcano JF-Expert Member

  #12
  Jun 12, 2012
  Joined: Jun 1, 2012
  Messages: 404
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  asilimia kubwa sisi wazalendo ndio tunamiliki viwanda muhimu vya vyakula vinavyohitajika kila siku kama ngano mafuta sukari,majani ya chai,p.j,na nadhani itasaidia hata uwanja wetu kutua ndege za kimataifa zaidi kuliko hizi zinazotua sasa za qatar na fly emiretes,sioni umuhimu wa hawa weupe hapa tz!dili tuwatimue.
   
 13. D

  Dik JF-Expert Member

  #13
  Jun 13, 2012
  Joined: Nov 15, 2011
  Messages: 1,205
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 135
  For shure,We have a long way to go!
   
 14. m

  mmteule JF-Expert Member

  #14
  Jun 13, 2012
  Joined: Oct 3, 2011
  Messages: 1,004
  Likes Received: 619
  Trophy Points: 280
  moyo wangu umeumizwa sana na uzi huu, lkn mimi kwa nafsi yangu nilishajiandaa kisaikolojia kwa hali yoyote itakayoikumba tanzania, maana waliowengi hawaaambiliki kwa hiyo uwezekano wa kutumbukia ni asilimia 80%.
   
Loading...