Kompyuta yaibwa Mwananchi....

Kompyuta yaibwa Mwananchi....

Joined
May 29, 2012
Posts
89
Reaction score
38
Eti 'wezi' wameiba kompyuta ya Mhariri wa gazeti la Mwananchi, Hawakuvunja, iliibwaje? Hii inanikumbusha wizi wa komputa ya Mwandishi wa gazeti la This Day, ambapo wezi walivunja kioo na 'kuiba' Kweli hao wezi??????
 
Dah! Hiyo kali kuliko. Yaani ni sawa na mtu kuibiwa mas.aburi yake bila kuvuliwa suruali.
 
Kwani yeye ni nani mpaka isiibiwe? hivi na hi ni habari ya Siasa? grrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrr:A S 20:
 
Wakitangaza 'kitu kidogo' itapatikana tuu
 
Back
Top Bottom