The Governments dont control economy without controlling people

Raia Fulani

JF-Expert Member
Mar 12, 2009
10,883
2,763
Hii ni sehemu ya hotuba ya Ronald Reagan mwaka 1964. Akasema tena. It must use force and coercion to achieve its purpose.

Tujaribu kujadili hili kama lina uhusiano na mazingira ya nchi yetu
 
Ina maana ikitumika nguvu kudhibiti raia, bado demokrasia ipo? Na ni kwa nini serikali zifikie hatua ya kutumia mabavu kama zinajua wajibu wao kuwa ni kujenga mazingira ambayo uchumi wa mtu mmoja mmoja, vikundi, na taasisi utajiendesha bila kuhitilafiana na Dola?
 
Back
Top Bottom