blogs na sites za sasa na wanaozidhamini... | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

blogs na sites za sasa na wanaozidhamini...

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Nyundo Kavu, Jun 11, 2012.

 1. Nyundo Kavu

  Nyundo Kavu Senior Member

  #1
  Jun 11, 2012
  Joined: Dec 6, 2011
  Messages: 187
  Likes Received: 63
  Trophy Points: 45
  Wadau, kumekuwa na uanzishwaji wa bloggs ambazo kwa kweli nyengine sioni hata sababu kuu ya kuwepo wadhamini {tena wakubwa} kuzipa udhamini. Kwa mfano; utakuta blog inazaminiwa na kampuni kubwa tuu maarufu lakini katika blog hiyo kuna picha na majitambo ya mwenye blog kujisifu tu.

  1. Je, unafikiri blog site gani ingestahili udhamini? Na unafikiri blog site gani unapoitembelea unapata positive information?

  2. Blog site gani haikuridhishi?
   
 2. yaser

  yaser JF-Expert Member

  #2
  Jun 11, 2012
  Joined: Jan 23, 2012
  Messages: 1,373
  Likes Received: 87
  Trophy Points: 145
  nyundokavublogspot haina maadili kwa jamii
   
 3. Goodrich

  Goodrich JF-Expert Member

  #3
  Jun 11, 2012
  Joined: Jan 29, 2012
  Messages: 2,050
  Likes Received: 632
  Trophy Points: 280
  Topic ni nzuri !
  Kuna blog inaitwa Full Shangwe. Hii nadhani wabadilishe jina.
  Maana wakati mwingine inakuwa habari za huzuni lakini jina linaharibu.
  Mfano;
  Full Shangwe: Saitoti Afariki nk
   
 4. B

  Bajabiri JF-Expert Member

  #4
  Jun 11, 2012
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 9,755
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 0
  Wadau mimi si mtembeleaji wa BLOGS,,,,yaan hapa(jf) ndio huwa napitapita sana
   
 5. SIMBA WA TARANGA

  SIMBA WA TARANGA JF-Expert Member

  #5
  Jun 11, 2012
  Joined: Feb 14, 2012
  Messages: 992
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Michizi blog! Ooops sorry michuuzi blog!
   
 6. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #6
  Jun 11, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,153
  Likes Received: 2,402
  Trophy Points: 280
  Blog ya Dj choka ipo safi sana na blog ya millard ayo,dj fetty safi!! Ya pretty sintah inaitaji permanent ban!!
   
 7. B

  Bajabiri JF-Expert Member

  #7
  Jun 11, 2012
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 9,755
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 0
  mrs necha?????
   
 8. Nyundo Kavu

  Nyundo Kavu Senior Member

  #8
  Jun 12, 2012
  Joined: Dec 6, 2011
  Messages: 187
  Likes Received: 63
  Trophy Points: 45
  duuh!...!
   
 9. Nyundo Kavu

  Nyundo Kavu Senior Member

  #9
  Jun 12, 2012
  Joined: Dec 6, 2011
  Messages: 187
  Likes Received: 63
  Trophy Points: 45
  U turn Blog... hapa kuna matatizo na ajabu voda n castle light wanazamini....
   
 10. Mkereketwa_Huyu

  Mkereketwa_Huyu JF-Expert Member

  #10
  Jun 12, 2012
  Joined: Feb 19, 2011
  Messages: 5,110
  Likes Received: 1,203
  Trophy Points: 280

  Blogu ya DJ choka ni choka kama yeye mwenyewe. Yeye siku zote huweka wapuuzi wenzake tu (wanna bees) na hakuna cha maana cha kuelimisha zaidi ya kuona vijana wakiuza sura na nyimbo zisizokuwa na maadili katika jamii yetu. Millard Ayo kidogo ila nimeacha kuipitia kutokana na mambo yale yale ya kijinga ya kuzishi. Cintah, 8020 fashions, U-turn, Mtaa kwa mtaa, michuzi jr, na za wasanii wengi tu zinafaa kufutwa kwani hazina maana zaidi ya kuuza sura. Blogs safi ni Mjengwa na kwanza jamii then Michuzi. Ila katika yote, napenda JF kwani ni Chuo Kikuu na shahada yake inatambulika duniani kote.
   
 11. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #11
  Jun 12, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,153
  Likes Received: 2,402
  Trophy Points: 280
  True dat! Roger dat!
   
 12. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #12
  Jun 12, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,153
  Likes Received: 2,402
  Trophy Points: 280
  Hahahahahahahahaaaaa
   
 13. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #13
  Jun 12, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,153
  Likes Received: 2,402
  Trophy Points: 280
  Yap yap huyo huyo!
   
 14. Biohazard

  Biohazard JF-Expert Member

  #14
  Jun 12, 2012
  Joined: Aug 21, 2011
  Messages: 2,002
  Likes Received: 286
  Trophy Points: 180
  Msiongelee JAMII FORUMS humu coz hii sio BLOG
   
 15. Bushbaby

  Bushbaby JF-Expert Member

  #15
  Jun 12, 2012
  Joined: Dec 29, 2010
  Messages: 1,577
  Likes Received: 80
  Trophy Points: 145
  Niliposoma maelezo yako nilijua moja kwa moja una maanisha Blog gani...ulipoona watu hawaitaji ukaamua kuitaja mwenye....huenda hujui ni kwanini Voda na Castle wameamua kudhamini U-turn..... angalia ni watu wangapi wanaitembelea....kwa siku..hasa kina dada.... na ndio maana wadhamini ni Castle Lite..!! na sio Konyagi!! hiyo ni akili ya biashara....nao wao wapo kibiashara zaidi..bila kujali ndani kuna nini!!!
   
 16. Money Stunna

  Money Stunna JF-Expert Member

  #16
  Jun 12, 2012
  Joined: Aug 9, 2011
  Messages: 13,105
  Likes Received: 284
  Trophy Points: 160
 17. Ndallo

  Ndallo JF-Expert Member

  #17
  Jun 12, 2012
  Joined: Oct 1, 2010
  Messages: 7,129
  Likes Received: 1,083
  Trophy Points: 280
  Na ile Blog ya Ben Kinyaiya imekaa KiCameroon zaidi!
   
 18. Mkereketwa_Huyu

  Mkereketwa_Huyu JF-Expert Member

  #18
  Jun 12, 2012
  Joined: Feb 19, 2011
  Messages: 5,110
  Likes Received: 1,203
  Trophy Points: 280

  Hiyo blogu ya Kinyaiya ina mashaka saaana. Kwanza mwangalie mwenyewe Ben jinsi alivyo, yaani sijuwi ni transgender au vipi kwani hawa watu daima huwa wana mawazo finyu na hupenda kulazimisha vitu visivyolazimishwa ili vikubalike na jamii, na ndiyo maana ana vitu vya kustajabisha daima. Ila pole kwa kupitia blogu yake.
   
 19. Mkereketwa_Huyu

  Mkereketwa_Huyu JF-Expert Member

  #19
  Jun 12, 2012
  Joined: Feb 19, 2011
  Messages: 5,110
  Likes Received: 1,203
  Trophy Points: 280

  Sidhani kama kuna aliyesema JF ni blogu. Kama umeninukuu mimi basi hujaelewa point yangu vizuri. Niliongelea kuhusu blogs siziso na msingi na zisizofaa na zinazofaa, then nikasema ila katika yote haya napenda JF kwani ni chuo kikuu cha jamii na shahada yake utambulika dunia nzima. Labda sikuwa sahihi lakini nilimaanisha kuwa JF ni tofauti na ya kipekee na siyo blogu.
   
 20. Nyundo Kavu

  Nyundo Kavu Senior Member

  #20
  Jun 13, 2012
  Joined: Dec 6, 2011
  Messages: 187
  Likes Received: 63
  Trophy Points: 45
  Mkuu, shukrani kwa kunifumbua macho... usemayo ni kweli kabisa... kampuni zengine zipo kibiashara zaidi... kwa hiyo hata kama itakuwa mhusika wa blog anaweka picha zinazomuhusu yeye na ukoo wake ilimradi inatembelewa sana then ni sehemu muhimu kutegesha biashara bila kujali nn kinasaidia kupitia blog husika
   
Loading...