Nimepoteza mama yangu kipenzi usiku wa leo

ooh,
pole sana mkuu Pdidy,
Mungu akutie nguvu katika kipiondi hiki kigumu ulichonacho,
wana JF tuko pamoja katika kumuombea mpendwa wetu, sisi tulimpenda lakini Mungu kampenda zaidi.
roho ya marehemu ipumzike kwa amani, Ameni.
 
Pole sana Mkuu. Vuta subira, jikaze. Tumeumbwa kwa udongo, tutarudi kwa udongo.
 
Pole sana Pdidy na familia. Mungu akupeni nguvu, uvumilivu na faraja katika kipindi hiki kigumu. RIP Mama Pdidy. Amin.
 
716593326227.JPG


May God rest her soul in eternal peace~AMEN

With deepest sympathy
 
Pole sana mkuu yeye katangulia sisitutafuata, hakika njia yetu ni moja kwakuwa sote tuu mavumbi na mavumbini tutarudi ingawa hatujui siku wala saa. Mungu awape nguvu muweze kuukabili msiba huu mzito.

May her soul Rest in Eternal Peace Amen!!
 
Pole sana mkuu! Hutulazimu kunena ya kwamba "kazi yake Mola haina makosa". Japo nyoyo uuma sana kwa uchungu na huzuni ila hatuna jinsi njia yetu ni moja nasi tu safarini. Tumuombe kwa Mungu roho yake aipumzishe mahali pema kwa Amani na nuru ya milele amuangazie.

Mola akutie ujasiri na uvumilivu katika kipindi hiki...! Pole sana.
 
Pole sana mkuu, mingu atakupa ngu na uvumilivu ktk kipindi hiki kigumu kwa maisha yako!

Mungo alitoa na Mungu ametwaa, jina la bwana libarikiwe!
 
Dear wapendwa
nimempoteza mama yangu kipenzi usiku huu
naomba maombi yenu
more inf to mex


dah! pole sana sana pdidy.....................i don't want to imagine how difficult it is. But Mungu wa mbinguni akutumie msaada wake toka mbinguni. ni wapi maziko?
 
Ngumu kumeza, Mungu mweza wa yote akupe faraja na nguvu katika kipindi hiki cha mfadhaiko.
Apumzike pema mama...
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom