Oman kuisaidia ZAINZIBAR | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Oman kuisaidia ZAINZIBAR

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Bajabiri, Jun 13, 2012.

 1. B

  Bajabiri JF-Expert Member

  #1
  Jun 13, 2012
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 9,755
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 0
  Serikali ya OMAN imesema itaendelea kuisaidia SERIKALI YA MAPINDUZ ZANZIBAR(SMZ),mchakato wa kwanza wa Oman kuisaidia ZANZIBAR kwa sasa utajikita kwenye sekta ya habar ambapo SHIRIKA LA UTANGAZAJ ZANZIBAR(ZBC),shirika hilo litapewa msaada wa kubadili mawasiliano toka analog hadi digital........
  Sosi:zanzibar leo(gazeti)
   
 2. LoyalTzCitizen

  LoyalTzCitizen JF-Expert Member

  #2
  Jun 13, 2012
  Joined: Sep 15, 2010
  Messages: 1,806
  Likes Received: 121
  Trophy Points: 160
  mmmh hapa kuna motive lazima! kwa nini wasiende saidia Somalia au Comoro! Uamsho will use this as a strategy to lure Zanzibaris!
   
 3. simplemind

  simplemind JF-Expert Member

  #3
  Jun 13, 2012
  Joined: Apr 10, 2009
  Messages: 11,796
  Likes Received: 2,570
  Trophy Points: 280
  UAE kutafuta mafuta na gesi Tanganyika. Wonder who is fooling who kumbatia Arab world?
   
 4. simplemind

  simplemind JF-Expert Member

  #4
  Jun 13, 2012
  Joined: Apr 10, 2009
  Messages: 11,796
  Likes Received: 2,570
  Trophy Points: 280
  UAE kutafuta mafuta na gesi Tanganyika. Wonder who is fooling who ku kumbatia Arab world?
   
 5. c

  chilubi JF-Expert Member

  #5
  Jun 13, 2012
  Joined: Sep 21, 2011
  Messages: 3,028
  Likes Received: 1,016
  Trophy Points: 280
  Mswahili haendelei! Angesaidia somali ungeuliza kwanini asisaidie Zanzibar? Kwani zanzibar haistahili misaada? Hao wasomali hawapewi misaada na yoyote? Basi labda nikupe taarifa mtu kijana, Historia ya Oman na zanzibar ni ndefu sana, hawa watu wanaundugu wa damu hasa na ndio maana wameamua kuwasaidia. Najua hujawahi kufika Oman, lakini omba ufike kisha ndo utajua zaidi kama waoman wenyewe ni wazanzibari. Na sio taifa la oman tu, hata huko tanganyika wazanzibari wapo, na sio tanganyika tu ata msumbiji wapo, kenya, uganda, wazanzibari in 1 way ni kama waisrael walivyokuwa na jamaa kutoka mataifa tofauti. Uliza kwanini mmarekani anamsaidia sana israel?
   
 6. chuki

  chuki JF-Expert Member

  #6
  Jun 13, 2012
  Joined: Mar 10, 2011
  Messages: 2,691
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  The beautiful Island of Africa!
  Oooohh! Zanzibar! Oooohh! zanzibar! zanzibar!
   
 7. R

  Rebel volcano JF-Expert Member

  #7
  Jun 13, 2012
  Joined: Jun 1, 2012
  Messages: 404
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  hivi u.a.e aje tz kuchimba mafuta au gesi hii habari unaandika upo usingizini ama,kwao wanamafuta waliokuwa hawajachimba yanawatosha miaka 300 mbele,achana na visima vya sasa,dem akijipodoa huona yupo juu ya wote kumbe kwa wengine wanajua ni mng'aro wa poda tu,mjanja wa kuila nchi hii ni mmarekani uingereza israel na....
   
 8. Chimunguru

  Chimunguru JF-Expert Member

  #8
  Jun 13, 2012
  Joined: May 3, 2009
  Messages: 9,843
  Likes Received: 270
  Trophy Points: 180
  mtaendelea kupewa misaada ya Halua na tende tuuu
   
Loading...