Machinga complex ndoto iliyoshindikana....

broken ages

JF-Expert Member
Mar 23, 2012
235
84
Watalaam wa biashara katika manispaa na na halmashauri za miji yetu kazi zao ni zipi??? Hivi kweli jengo kama machinga complex iliyotumia mabilioni ya shilingi kulijenga leo inashindikana kufanyika shughuli pale kwa ajili ya kuzalisha na kuonesha maana halisi ya kuwekeza pale,maafisa biashara wa jiji ama hata wiliya husika wamekosa kabisa majibu nini kifanyike soko lifanye kazi wafanya biashara wahamie na wananchi wapende kwenda kununu na kuuza pale,nawashauri mpango mji wafunge maeneo yote yasiyo rasmi yanayoendesha biashara zinazofanana na zile tunazofikiri ya kuwa inawezekana kuendeshwa ndani ya machinga complex hii itawafanya wahitaaji kuingia machinga complex kufanya mahitaji humo pia wabuni vifutio kadhaa ikiwa ni pamoja na kituo ama vituo vya daladala karibu kabisa na machinga complex, zitangazwe tenda mpya za upangaji kwa vile vibanda ambavyo vina wapangaji lakini havijafunguliwa kutuo huduma ili waingie wapangaji wapya na ambao wana nia ya kufanya biashara.nakukaribisha na wewe toa mawazo yako ya kusaidie jengo lifanye kazi
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom