Tegeta imekuwa kama bagdad? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tegeta imekuwa kama bagdad?

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by LEGE, Jun 13, 2012.

 1. LEGE

  LEGE JF-Expert Member

  #1
  Jun 13, 2012
  Joined: Oct 14, 2011
  Messages: 4,914
  Likes Received: 5,351
  Trophy Points: 280
  Jamani kunani njia ya tegeta maana nilikuwa kwenye gari nimekutana na difender zimejaza ffu wamejilodi bunduki na mabom ya machozi ya kutosha bila kusahau kunamagari kadhaa ya washawasha.
  Vijana wa bodaboda na raia kadhaa wametapakaa na kukimbia ovyo ovyo .Je jamani mliopo njia ya tegeta kunani?
   
 2. mgt software

  mgt software JF-Expert Member

  #2
  Jun 13, 2012
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 10,725
  Likes Received: 1,631
  Trophy Points: 280
  umeona eheee, nilipita watu wamevalia utafikri wanasubiri mkutano wa CHADEMA.
  Pale bwana Mkuu wa Wilaya Kino pamemshinda, hawawezi kabisa, vijana wanachezea serikali kama hamnazo.
  kuna njia rais jinsi yakuwaondoa.
  1. Kuweka mtu wa kurekodi matukio ya mara kwa mara kama vile wanaopaki hovyo, wenye bajaji, piki piki, malori ya kususha mizigo , awa watu wana hakikisha wanachukuliwa hatua kwani ushahidi wa picha unakuwepo.
  2. Waweke kingo kubwa kuzuia magari makubwa ya mizigo kupaki.
  3. kuwabana watu wenye maduka kwamba kwa nini wanapanga mbele yao bila kuwachukulia hatua.
   
 3. mizambwa

  mizambwa JF-Expert Member

  #3
  Jun 13, 2012
  Joined: Oct 8, 2008
  Messages: 4,409
  Likes Received: 569
  Trophy Points: 280

  Sijaelewa bado nipo gizani. Kuna nini hata magari ya vijana wa Said Mwema kukimbilia huko.

  Au kuna majambazi wanaenda kuwamwagia maji ya kuwasha???  MIZAMBWA
  INANIUMA SANA!!!
   
 4. zaleo

  zaleo JF-Expert Member

  #4
  Jun 14, 2012
  Joined: Dec 6, 2011
  Messages: 1,733
  Likes Received: 35
  Trophy Points: 145
  Wala! Nimesikia walikuwa wanawaondoa wamachinga wanaoziba barabara isijengwe. Wajenzi wamelazimika kulalamika kwa sababu wafanyabiashara sokoni pale wanakomalia kuendeleza biashara zao barabarani hata wajenzi wanashindwa kufanya kazi zao kwa ufanisi. Katapillar likitaka kupita wanasogeza vimeza vyao na likipita wanarudiahia. Waha wale wabishi kweli na ni wachafu sana. Niliwahi kupita pale mara nyingi tu na kushuhudia mambo mengi hovyo wanafanya. Wanauza matunda na vyakula wanamwaga mauchafu kwenye mitaro ambayo inaendelea kujengwa, wanaziba maji machafu na wanaendelea kuuza vyakula. Bora wanalazimishwa watoke, maana pale ni kiwanda cha maradhi ya mlipuko. Soko lipo Kibaoni lakini wakiambiwa kwenda kule wale waha (almost so, kwa kuwa ukikuta kiha kinatembezwa pale utadhani uko Kasulu), waliitana kwa ajili ya machimbo ya kokoto sasa waliopata mtaji wanabadili biashara - zaidi ya 90% ya maduka au biashara za Tegeta zinamilikiwa na Waha. Mahela, mahela, mahela mwamba mchanechane. hata ungekuwa wewe ni serikali adilifu ungefanya kilichofanywa kudhibiti uhuni. Tunataka barabara lakini haturuhusu ijengwe kwa kumzuia mjenzi?
   
 5. Lekanjobe Kubinika

  Lekanjobe Kubinika JF-Expert Member

  #5
  Jun 14, 2012
  Joined: Dec 6, 2006
  Messages: 3,067
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  Bravo kina Arufonsi.
   
Loading...