Sikiliza bunge - dodoma leo. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Sikiliza bunge - dodoma leo.

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Arusha Mambo, Jun 14, 2012.

 1. Arusha Mambo

  Arusha Mambo Senior Member

  #1
  Jun 14, 2012
  Joined: Jan 27, 2011
  Messages: 174
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Siikiliza Bunge la nane la Bajeti katika Computer yako:
  tembelea www.arushamambo.com click "Sikiliza Arusha Mambo FM..." redio ikifunguka kwenye Page ya Tune IN tafadhali click LIKE au toa maoni yako kupitia info@arushamambo.com

  Arusha Mambo itarusha vipindi vyote vya Bunge vya Asubuhi na Jioni ikiwa ni pamoja na vipindi vya Bajeti vya Bunge la Kenya na Uganda LEO tarehe 14.06.2012 ikiwa ni jitihada za kuwawezesha wasikilizaji wetu kuielewa Afrika ya Mashariki.

  Source: Arusha Mambo.
   
 2. Japhari Shabani (RIP)

  Japhari Shabani (RIP) R I P

  #2
  Jun 14, 2012
  Joined: Jan 16, 2007
  Messages: 721
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
 3. OSOKONI

  OSOKONI JF-Expert Member

  #3
  Jun 14, 2012
  Joined: Oct 20, 2011
  Messages: 10,809
  Likes Received: 3,893
  Trophy Points: 280
  hii Arusha mambo michosho tu inakatakata wala haina mtiririko wowote!!
   
 4. M

  Mwanaweja JF-Expert Member

  #4
  Jun 14, 2012
  Joined: Feb 8, 2011
  Messages: 3,576
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  haya mkuu ila tunapata kwa kukata kata sana sijui nini tatizo
   
Loading...