Lucy Nkya yuko wapi? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Lucy Nkya yuko wapi?

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by rosemarie, Jun 12, 2012.

 1. rosemarie

  rosemarie JF-Expert Member

  #1
  Jun 12, 2012
  Joined: Mar 22, 2011
  Messages: 6,767
  Likes Received: 1,023
  Trophy Points: 280
  Naomba kujua yule mama Lucy Nkya yuko wapi na anafanya nini??nimemkumbuka sana kwa utendaji wake mbovu.
   
 2. afrodenzi

  afrodenzi Platinum Member

  #2
  Jun 12, 2012
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 18,135
  Likes Received: 2,398
  Trophy Points: 280
  duuuhhh.. No comment . :whistle:
   
 3. Bourgeoisie

  Bourgeoisie JF-Expert Member

  #3
  Jun 12, 2012
  Joined: Mar 26, 2009
  Messages: 611
  Likes Received: 36
  Trophy Points: 45
  Amepata tenda ya kusambaza mtori kwenye hoteli kubwa kubwa hapa nchini.
   
 4. Sniper

  Sniper JF-Expert Member

  #4
  Jun 12, 2012
  Joined: Mar 8, 2008
  Messages: 1,944
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  Yule hata sijui JK aliona nini kumpa unaibu waziri. JK ni kichwa ngumu, mana naskia hata kwenye uteuzi huu wa juzi report ya TISS ilionesha Masele hafai kuwa naibu waziri, lakini JK kwa ukichwa ngumu wake akamteua hivyo hivyo. Naona ni katika kuendeleza zile 10% alizokuwa anakula na Ngereja, very shameful kwa status ya president.
  Sasa huyu Nkya nani asiyejua ufisadi wake toka enzi za Faraja kule morogoro?
   
 5. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #5
  Jun 12, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,153
  Likes Received: 2,402
  Trophy Points: 280
  Uongozi mtamu wewe!! Wakiondoka kwenye position hizo huwa wanapotea mazima! We umuoni Masha anazoa Takataka siku hizi.
   
 6. Mkereketwa_Huyu

  Mkereketwa_Huyu JF-Expert Member

  #6
  Jun 12, 2012
  Joined: Feb 19, 2011
  Messages: 5,115
  Likes Received: 1,205
  Trophy Points: 280


  LOL...anazoa takataka as in kutembea na mademu wabovu au anasukuma mkokoteni kuzoa hizo takataka barabarani? Samahani ila bwana kiswahili ni kirefu siku hizi. Tafadhali julisha, ni taka zipi hizo anazo zoa?
   
 7. B

  Bobuk JF-Expert Member

  #7
  Jun 12, 2012
  Joined: Oct 8, 2010
  Messages: 5,876
  Likes Received: 481
  Trophy Points: 180
  Yuko Morogoro anaendesha NGO yake inaitwa FARAJA TRUST FUND.

  Pia kesho ataibukia Bungeni kumbuka ni Mbunge wa VITI MAALUM.
   
 8. t

  timbilimu JF-Expert Member

  #8
  Jun 12, 2012
  Joined: Sep 2, 2010
  Messages: 4,779
  Likes Received: 151
  Trophy Points: 160
  Ni mbunge wa jimbo kama sikosei Morogoro Kusini!
   
 9. Johnsecond

  Johnsecond JF-Expert Member

  #9
  Jun 12, 2012
  Joined: May 4, 2010
  Messages: 1,077
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Ulitaka kukaribia ukweli ukapinda tena, Mtu anayeteuliwa na JK weka mashaka kwake believe me or not. Kuna jamaa jana alikuwa anaapishwa ukimwangalia hana hata ile personality anaonekana alilala nayo akaamka nayo. Wote ni wa vijiweni kwake
   
 10. Z

  ZeMarcopolo JF-Expert Member

  #10
  Jun 12, 2012
  Joined: May 11, 2008
  Messages: 13,589
  Likes Received: 480
  Trophy Points: 180
  Lucy ni mfano wa jinsi mtu anavyoweza kuwa mbunge kwa kutumia pesa. Ni mtoa rushwa mmoja hoadri sana, amebobea. Unfortunatelly hao ndio viongozi/wagombea wanaopendwa na wapiga kura wetu!!!
   
 11. K

  Kimbito nyama Senior Member

  #11
  Jun 12, 2012
  Joined: Apr 10, 2012
  Messages: 157
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Lucy kabala ya kuingia kwenye siasa alikuwa akifanya kazi kama Daktari hospitali ya Mirembe-Dodoma (hospitali ya watu wenye matatizo ya afya ya akili). Kwa marekebisho tu yeye si mbunge wa viti maalamu kipindi hiki bali ni mbunge wa Morogoro kusini.Si unajua Mororogoro hawana ukabila , u-rangi wala u-akili kwenye kuchagua wabunge.
   
 12. webondo

  webondo JF-Expert Member

  #12
  Jun 12, 2012
  Joined: Apr 29, 2012
  Messages: 1,724
  Likes Received: 110
  Trophy Points: 160
  Nimekatiza huu mtaa
   
 13. mtotowamjini

  mtotowamjini JF-Expert Member

  #13
  Jun 13, 2012
  Joined: Apr 23, 2012
  Messages: 4,540
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 0
  anaendelea na biashara zake...nyie mnafikiri mawaziri wakifukuzwa watalala na njaa??
   
 14. mapanga3

  mapanga3 JF-Expert Member

  #14
  Jun 13, 2012
  Joined: May 1, 2012
  Messages: 659
  Likes Received: 556
  Trophy Points: 180
   
Loading...