Uamsho nini jamani? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Uamsho nini jamani?

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Kurzweil, Jun 13, 2012.

 1. Kurzweil

  Kurzweil JF-Expert Member

  #1
  Jun 13, 2012
  Joined: May 25, 2011
  Messages: 4,895
  Likes Received: 4,749
  Trophy Points: 280
  [h=6]BREAKING NEWS!!!! Kundi la Uamsho ambalo linatuhumiwa kufanya vurugu mbalimbali ikiwemo kuchoma nyumba mjini Zanzibar hivi karibuni, limebainika kuwa lina ajenda ya siri ya kutaka kuunda taifa lake au Serikali ya Zanzibar kupitia uwezeshaji wa wahisani wa nje na viongozi waandamizi ili kusimamia siasa zenye msimamo mkali.

  Siri hizo ni pamoja na kubainika kuwa kundi hilo ambalo awali wakati
  likisajiliwa na Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar (SMZ) mwaka 2001 lilieleza dhamira yake ni kuunganisha jamii kupitia miadhara mbalibali ya amani, kupitia maandiko matakatifu, hali imebadilika kwa kuwa linapata ushawishi kutoka katika Kundi la HIZB ut-TAHRIR kutoka Falme za Kiharabu. RIPOTI MAALUM KATIKA GAZETI HURU LA KILA SIKU MAJIRA UK.12 NA 13 (JUNI 13, 2012
  [/h][​IMG]
   
 2. dudus

  dudus JF-Expert Member

  #2
  Jun 13, 2012
  Joined: Feb 28, 2011
  Messages: 7,769
  Likes Received: 6,098
  Trophy Points: 280
  Kwa kuwa wengine tuko ndani ya boksi tunadhani duniani dini ni Ukristo na Uislamu tu. Duniani kuna dini kadhaa (anyway, sijui idadi kamili) lakini katika hizo ni Uislamu ndio unaoongoza kwa kuhamasisha violence kwa visingizio mbalimbali tena wakati mwingine hata wao kwa wao! Nitatoa mifano michache:

  Nenda India; huko kuna vita isiyoisha baina ya Wahindu na Waislamu. Wakati dini zingine zote zinaishi vizuri na Wahindu ni Waislamu pekee walioshindwa kufanya hivyo.

  Nenda Uchina; kuna uadui kati ya Waislamu na Wabudha na kama itakumbukwa mgogoro mkubwa uliwahi kutokea kwenye mji mmoja magharibi mwa Uchina ilikuwa choko choko za Waislamu dhidi ya wengine. Wabudha ni watu wazuri mno na wanaishi vyema na dini nyingine lakini sio waislamu. Kama "urafiki" wa kinafiki upo basi ni baina ya serikali na serikali lakini mioyoni mwao wamejaa chuki kiasi cha kumwaga damu.

  Nenda Uarabuni: Waislamu wenyewe kwa wenyewe wanachinjana kama kuku kila uchao ukianzia Yemen, Bahrain, Iraq, Afghanistan, Palestina, Syria, Iran (taifa la Kiislamu), Pakistan (taifa la Kiislamu), n.k. Najua kisingizio kitakuwa Marekani; ni wapumbavu pekee wanaouwana wenyewe kwa wenyewe badala ya kumkabili adui kwa umoja kama kweli ni adui au dhana tu iliyochanganyika na inferiority complex.

  Nenda Israel: Hili liko wazi. "Mayahudi" (kama wapendavyo kutamka) hawana tatizo na dini zingine isipokuwa na waislamu.

  Njoo Afrika: Somalia ni mfano hai na unaojitosheleza sina haja ya kutaja pengine. Uislamu unadaiwa kuwa dini ya amani lakini cha ajabu umeshindwa kutumika kuleta amani hata miongoni mwao wenyewe. Umesikia ya Darfur huko Sudan? 99.99% ni waislamu lakini wanauwawa na waislamu wenzao!

  Nenda popote: Tukio lolote la kuhatarisha amani likitokea suspects huwa ni wao na uzuri hukiri wenyewe kwa vinywa vyao na mwisho huthibitishwa pasi na shaka kwamba ni wao.

  In short, duniani kuna amani kwa sababu kuna dini nyingine, ingekuwa ni Uislamu pekee uko duniani, dunia ingesha angamia - huo ndio ukweli.

  Lakini Je, ni waislamu wote? Hapana, ni wapuuzi wachache tu! Lakini hawa wachache wanaonekana kuwa na nguvu za ajabu hata kuiteka na kuitia aibu dini yenyewe. Waislamu amkeni muikomboe dini yenu iliyotekwa mateka na kugeuzwa koloni.

  UPDATES: Juzi kuamkia jana, Serikali ya Myamar ilitangaza hali ya hatari katika mji fulani baada ya Waislamu na Wabudha kuzichapa. Huko nako wanaonewa? Na wakristo labda? Sijui.


  Nakaribisha matusi.
   
 3. Asnam

  Asnam JF-Expert Member

  #3
  Jun 13, 2012
  Joined: Jan 18, 2012
  Messages: 4,268
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 135
  Nakaribisha matusi
  hao watakaokutukana ndio wenyewe wasumbufu wanaoiharibia dini yetu.
   
 4. d

  dandabo JF-Expert Member

  #4
  Jun 13, 2012
  Joined: Feb 18, 2012
  Messages: 303
  Likes Received: 81
  Trophy Points: 45
  Mkuu umesahau huko Nigeria!.
   
 5. Kurzweil

  Kurzweil JF-Expert Member

  #5
  Jun 13, 2012
  Joined: May 25, 2011
  Messages: 4,895
  Likes Received: 4,749
  Trophy Points: 280
  Hivi kwani wakitulia na kutatua matatizyao nini kitaharibika?
   
 6. dudus

  dudus JF-Expert Member

  #6
  Jun 13, 2012
  Joined: Feb 28, 2011
  Messages: 7,769
  Likes Received: 6,098
  Trophy Points: 280
  Mkuu nimekusoma. Nilichofanyau ni kujaribu kuonesha hata yale maeneo ambayo wameenea wao wenyewe au ambayo ukristo hauna nguvu (maana ndio wanaoulalamikia sana hapa kwetu) kama vile wahindu na wabudha still hawa ndugu zetu waislamu wanakuwa na matatizo makubwa ya mahusiano ya kijamii.

  Sio kwamba sijui kwamba Nigeria, France, Russia, Cyprus, Greece, Indonesia, Philippines, Timor Mashariki, na kwingineko waislamu wana matatizo makubwa; la. Kama hata wao kwa wao hawaelewani ndio itakuwa na wengine? In short, wanayoyafanya akina Ponda na Uamsho huko Zanzibar ndio zao na hufanya kazi sawa sawa na mapenzi ya huyo wanayemtumikia wakidhani wanamwabudu Mungu.
   
 7. M

  MTZmakini Member

  #7
  Jun 13, 2012
  Joined: Nov 3, 2010
  Messages: 30
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Nachelea kusema UISLAM USINGEKUWEPO, DUNIA INGEKUWA NA AMANI TELE.
   
 8. Tukundane

  Tukundane JF-Expert Member

  #8
  Jun 13, 2012
  Joined: Apr 17, 2012
  Messages: 8,314
  Likes Received: 2,677
  Trophy Points: 280
  Inaelekea huyo wanae mtumikia nimvuta madawa ya kulevya,mnywa gongo,mvuta bangi ndiyo maana siyo mungu wa amani.
   
 9. Malaria Sugu

  Malaria Sugu JF-Expert Member

  #9
  Jun 13, 2012
  Joined: Jul 7, 2009
  Messages: 2,653
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  uasho == chadema
   
 10. dudus

  dudus JF-Expert Member

  #10
  Jun 13, 2012
  Joined: Feb 28, 2011
  Messages: 7,769
  Likes Received: 6,098
  Trophy Points: 280

  Ha ha ha ha ha! Leo zaidi ya watu 30 huko Iraq wamekufa baada ya kutokea mlipuko wa mabomu katika hija ya dhehebu la Shia ikiwa ni kumbukumbu ya Imam Hussein; mtu (sijui nabii; mtume) wa muhimu sana katika dhehebu hilo. Watuhumiwa wakuu wa mlipuko huo ni waislamu wa dhehebu la Sunni na haya ni mauaji makubwa zaidi kutokea tangu kuondoka kwa Jeshi la Marekani hapo Desemba mwaka jana.

  Labda huko nako ni "mfumo Kiristo". Ha ha ha ha ha! Mungu wetu tusaidie.
   
 11. Vijisenti

  Vijisenti JF-Expert Member

  #11
  Jun 13, 2012
  Joined: Mar 11, 2011
  Messages: 475
  Likes Received: 39
  Trophy Points: 45
  Tatizo la Dudu unawatoa watu nje ya Mada, Wazanzibar wanataka
  nchi yao na hizo propaganda zinazotolewa ni kawaida tu kwa makafiri
  kwani tumeshaelezwa ndani ya Qur an wanayoyaficha (yaliyoko nyoyoni mwao)
  ni mabaya zaidi kuliko wanayoyadhihirisha, hivyo hata wewe tunajua wazi kuwa
  kwenye moyo wako umeficha chuki kubwa kabisa.
   
 12. s

  sweke34 JF-Expert Member

  #12
  Jun 13, 2012
  Joined: Sep 28, 2010
  Messages: 2,533
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  Si bora yeye aliyeficha chuki moyoni mwake kushinda nyinyi mnaosema dini yenu ni ya haki lakini kazi yenu kuu kwenye ibada/mihadhara yenu ni kueneza chuki...anayeficha chuki moyoni na yule anayejilipua au kuchoma makanisa ni nani afadhali?
  Nenda kwenye jukwaa la kimataifa/International forum, kule kuna uzi kuhusu gaidi linalosakwa ujerumani kukamata hapa tanzania...limefikajefikaje hapa tz kama hakuna mtandao wa ugaidi?
   
 13. BINARY NO

  BINARY NO JF-Expert Member

  #13
  Jun 13, 2012
  Joined: Dec 29, 2011
  Messages: 1,782
  Likes Received: 589
  Trophy Points: 280
  " will never stop until the entire world is converted thanks to Europe wameutambua ukweli wa dini ya haki na kweli ni ipi na majority wana convert to Islam despite covert and conspiracy za kuuchafua uislam kuwagombanisha wenyewe kwa wenyewe but haijawafanya watu kutoupenda na kujoin mamia kwa mamia...ata mjusi akisumbuliwaugeuka nyoka na hiyo ndo hali ilvyo kippindi wakristo wanapata misaada mbalimbali waislam eti misaada yao inazuiliwa kisa ugaidi sawa mtaendelea lakini mwisho wa siku zitaanza BOKOHARAM nyingi tu na huo ndo ukweli,.....wait n see } end
   
 14. dudus

  dudus JF-Expert Member

  #14
  Jun 13, 2012
  Joined: Feb 28, 2011
  Messages: 7,769
  Likes Received: 6,098
  Trophy Points: 280
  Hapo kwenye red; wala hujakosea. Nina chuki ya ajabu kwa wanaotaka kuvuruga amani ya nchi yetu kwa kisingizio cha kuukataa muungano kupitia dini! Mkuu hivi una taarifa kuna gaidi (Imran Erdogan - 24) limekatwa hapa hapa Dar likiwa katika harakati zake?

  Limetokea Afghanistan kwa Al-qaeda na Somalia kwa Al-Shabaab. Liko mikononi mwa polisi hivi sasa. Hebu unganisha hiyo na mlipuko wa Uamsho kule Zanzibar na vituko vya akina Sheikh Issa Ponda.

  Tulimkejeli Nape kwa speech yake pale Jangwani juzi Jumamosi but he was right - Uamsho ni MAJAMBAZI. Hamuutaki Muungano fuateni taratibu zinazotakiwa kuukata na sio kutuletea udini na hatimaye ugaidi katika nchi yetu.
   
Loading...