Njia za kuwafanya wazanzibari wasirudie tena kuwasumbua watanganyika huko kwako | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Njia za kuwafanya wazanzibari wasirudie tena kuwasumbua watanganyika huko kwako

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by mkatofa, Jun 13, 2012.

 1. mkatofa

  mkatofa Member

  #1
  Jun 13, 2012
  Joined: May 6, 2010
  Messages: 38
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Watanganyika hawa wazanzibari wakiongozwa na viongozi wao wanawanyanya sana watanganyika huko zanzbaa, yani inakuwa rahisi kuishi kenya kuliko kuishi zanzbar hapa najumuisha ya ni kwa dini zote . wakikujua unatoka tanganyika tu wanaanza kukita machogo hao vurugu kidogo wanachoma mali zako. ukimshimamisha dada zao bakora sasa nasema imetosha kinachotakiwa nasisi ukutanganyika tuanze kuwa fanyia mambo wanayo tufanyia tukiwa kwao.Nashauri mambo kazaaa ila kama unanyongeza unaruhusiwa kuongeza
  1.wasipange kwenye nyumba zetu
  2.wasijenge tanganyika
  3.kwasababu wanaaribu mali zawatanganyika znz nasisi huku tuaribu zao
  4......................................
  namuungano basi hatutaki waende kwenye nchi yao wanayosema yaNEEEMA
  Ndugu zao wanafanya biashara tanganyika kwenye mazigira ya utulivu wanapatafaida na kuwapelekea pesa wao wakizipata na kushiba wanaanza kutu nyanyasa sasa naomba tuseme IMETOSHA
   
 2. Lokissa

  Lokissa JF-Expert Member

  #2
  Jun 13, 2012
  Joined: Nov 20, 2010
  Messages: 7,079
  Likes Received: 155
  Trophy Points: 160
  wabara tumelelewa kuienzi amani
  wakizidi fujo tutawafukuza kwa amani
   
 3. Vijisenti

  Vijisenti JF-Expert Member

  #3
  Jun 13, 2012
  Joined: Mar 11, 2011
  Messages: 476
  Likes Received: 40
  Trophy Points: 45
  1.RED. Ni miongoni mwa mambo ambayo Wazanzibar yanawaumiza kwani
  badala ya kujenga na kukuza miji yao wamekuwa wanajenga na kuikuza
  bara kutokana na kuumizwa na Dubwana hili la Muungano
  2.BLUU. Kodi za mapato zinaingia huku bara, hii yote ni kutokana
  na kubanwa na Muungano ambao wanasema nyerere ndiye aliyeulazimisha.
   
 4. mkatofa

  mkatofa Member

  #4
  Jun 14, 2012
  Joined: May 6, 2010
  Messages: 38
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  wanzanzibari wanao ishi tanganyika hawataki kuzungumzia swala la kuvunja muuungano kwa sababu muungano unawanufaisha wao.lakini wanao ishi zanzibar wanajifanya hawalijui hilo.
  Sasa nibora tuvunje ili tuwatimue wakajadiliane vizuri
   
Loading...