Muhimu hii!! Tafadhali soma!! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Muhimu hii!! Tafadhali soma!!

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by KakaKiiza, Jun 11, 2012.

 1. KakaKiiza

  KakaKiiza JF-Expert Member

  #1
  Jun 11, 2012
  Joined: Feb 16, 2010
  Messages: 10,548
  Likes Received: 2,268
  Trophy Points: 280
  [TABLE]
  [TR]
  [TD] [TABLE]
  [TR]
  [TD] [TABLE]
  [TR]
  [TD] [TABLE]
  [TR]
  [TD] [TABLE]
  [TR]
  [TD] [TABLE]
  [TR]
  [TD][COLOR=#8000FF][FONT=verdana, helvetica, sans-serif]Dear all,[/COLOR]

  [FONT=verdana, helvetica, sans-serif]Infact kama upo barabarani make sure your windows are up and you don't take anything from traffic lights.

  [FONT=verdana, helvetica, sans-serif]


  [FONT=verdana, helvetica, sans-serif]TRUE STORY:


  [FONT=verdana, helvetica, sans-serif]Kuna jamaa yangu kama wiki mbili zilizopita, alikuwa anatoka kupata moja mbili kutoka baa moja inayojulikana kama Blackpoint iliyopo mjini kati muda wa saa moja hivi jioni, akaja kijana mmoja alionekana anashida sana ya kutaka kusaidiwa nauli, rafiki yangu akawa msamalia mwema akachomoa noti ya 1000 na kumpatia kijana, rafiki yangu alipokosea ni kumuuliza kijana kwani unaelekea mitaa ya wapi? Kijana akasema anaelekea kimara, jamaa akasema basi twende nitakuacha manzese maana mimi naelekea Sinza, My friend says the guy dressed very smart and he was looking as a graduate who is for that day alikwama kweli nauli, and you cant even think if he is a criminal.


  [FONT=verdana, helvetica, sans-serif]


  [FONT=verdana, helvetica, sans-serif]They started a journey from Posta via Jangwani, alipofika jangwani anasema aliaanza kujisikia kizunguzungu na kichefuchefu na kulikuwa na foleni kali sana . Akaamua alipofika magomeni achepuke kushoto ili apate pumzi kidogo nje, then he did not remember what went on until he found himself hospitali muhimbili akiwa hajitambui na wala hajui gari yake ipo wapi (he was driving a MarkX), na yeye mwenyewe akiwa bado na mawenge.


  [FONT=verdana, helvetica, sans-serif]


  [FONT=verdana, helvetica, sans-serif]Jamani zikumbukeni namba za wenzi wenu kichwani, usiku huo mnamo saa saba za usiku alipopata fahamu vizuri alikumbuka namba ya mke wake, akampigia na akaja hapo hospitali. Gari yake iliyokuwa na vitu vyake kama Laptop, bank cards, simu etc havijaonekana mpaka tunavyoongea leo.


  [FONT=verdana, helvetica, sans-serif]


  [FONT=verdana, helvetica, sans-serif]Madaktari wanasema, alivuta sumu, sasa swali ni je kwa nini Yule kijana hakudhurika na hiyo sumu hiyo kwa kuwa walikuwa naye mpaka magomeni alipoanza kujisikia vibaya? Au ni wimbi la vijana ambao wanakuwa wanakufuatilia na mmoja wao anajitoa muhanga wa kuvuta sumu hiyo na wengine wanakuwa wanakufuatilia kwa nyuma, na wakishakukamata wanakutupa na kumuokoa mwenzao, which I think it is possible. Jamani kuweni makini kwa kila unachokubali kukifanya. Maisha ni magumu na wezi wanakuja na kila aina ya mbinu za kuwaibia watu. Na kwa jinisi nilivyodadisi hawa wezi wanakuwa wanakujua unaishi maeneo yapi, kwa maana jibu la kijana huyo la kutaja direction anayoelekea huyo jamaa yangu is something to doubt. My Friend is fine kiafya but lost important documents including a car Subject: WIZI WA KUPULIZIA DAWA ZA KULEVYA KWENYE VIPEPERUSHI JIJINI DAR ES SALAAM Ndugu wapendwa Kufuatia ugumu wa maisha, kunawizi umeingia Dar es salaam na inawezekana ukasambaa hata kwenye miji mingine mikubwa. Wizi huo uko hivi


  [FONT=verdana, helvetica, sans-serif]1. Unaweza kupewa kipeperushi ambacho kimepuliziwa dawa na baada ya kupokea aliyekupatia ambaye anajifanya anauza bidhaa anazozitangaza kwenye kipeperushi hicho anakufwatilia kwa nyuma na gari nyingine na kukupora kila kizu baada ya wewe kupoteza fahamu.


  [FONT=verdana, helvetica, sans-serif] AU


  [FONT=verdana, helvetica, sans-serif] [/FONT]

  [FONT=verdana, helvetica, sans-serif]2. Ukiwa unaendesha gari vijana wanakufwata na kukushitua kuwa gari inawaka moto then utafungua dirisha kutaka kuona na pengine kusimama. Watakwambia hakuna kitu vijana wanakudanganya hao. Ndani ya muda huo mfupi kwa namna ya ajabu ukifungua tu dirisha wanakupulizia madawa yenye radha na harufu kama pipi tamuu na kukufuatilia kwa matumaini kwamba utapoteza fahamu na wao kukunyanganya mali zako including kupora baadhi ya vitu kwenye gari. [/FONT]

  [FONT=verdana, helvetica, sans-serif] [/FONT]

  [FONT=verdana, helvetica, sans-serif]HIVYO KUWENI MAKINI UNAPOENDESHA GARI USIFUNGUE VIOO WALA KUPOKEA KIPEPERUSHI AU KUNUNUA NUNUA HOVYO CHOCHOTE KWENYE HIZO FOLENI ZA DAR . PIA WANAFANYA HUO UCHAKACHUZI WA FAHAMU HASA MAENEO YA PETROSTATION NA MAENEO YA MAEGESHO YA MAGARI KAMA MLIMANI CITY . [/FONT]

  [FONT=verdana, helvetica, sans-serif] [/FONT]

  [FONT=verdana, helvetica, sans-serif]MWAMBIE NA MWINGINE.
  [/FONT][/TD]
  [/TR]
  [/TABLE]
  [/TD]
  [/TR]
  [/TABLE]
  [/TD]
  [/TR]
  [/TABLE]
  [/TD]
  [/TR]
  [/TABLE]
  [/TD]
  [/TR]
  [/TABLE]
  [/TD]
  [/TR]
  [/TABLE]
  [/FONT][/FONT][/FONT]
  [/FONT][/FONT]​
  [/FONT]
  [/FONT][/FONT][/FONT]


  [/FONT]
  [/FONT][/FONT]
  [/FONT]
   
 2. Goodrich

  Goodrich JF-Expert Member

  #2
  Jun 11, 2012
  Joined: Jan 29, 2012
  Messages: 2,050
  Likes Received: 632
  Trophy Points: 280
  Mkuu tunashukuru sana kwa kutujulisha.
  Kweli hii ni muhimu sana kujua.
   
 3. N

  Ntu JF-Expert Member

  #3
  Jun 11, 2012
  Joined: Sep 9, 2011
  Messages: 564
  Likes Received: 154
  Trophy Points: 60
  Duh! Thanx brother for the Info.
   
 4. gfsonwin

  gfsonwin JF-Expert Member

  #4
  Jun 11, 2012
  Joined: Apr 12, 2012
  Messages: 16,964
  Likes Received: 1,854
  Trophy Points: 280
  ubarikiw aisee lkn jamani usipotoa lift unaonekana unaringa ukitoa unaibiwa sasa ltufanyeje? mm ndo maana naona best option wacha waseme tu stail yangu ni ya don't see me.
   
 5. R

  Rebel volcano JF-Expert Member

  #5
  Jun 11, 2012
  Joined: Jun 1, 2012
  Messages: 404
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  ujumbe umefika!
   
 6. SIMBA WA TARANGA

  SIMBA WA TARANGA JF-Expert Member

  #6
  Jun 11, 2012
  Joined: Feb 14, 2012
  Messages: 992
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Duuuuuuuh!
   
 7. LiverpoolFC

  LiverpoolFC JF-Expert Member

  #7
  Jun 11, 2012
  Joined: Apr 12, 2011
  Messages: 11,001
  Likes Received: 153
  Trophy Points: 160
  Tunashukuru kwa taarifa hii Kakakiiza.

  Lakini huruma nayo ni mbaya,umempa nauli bado na lifti?
  Kwa hapo bado ninaweza kusema WEMA USIZI UWEZO,na ndio faida yake.
   
 8. Anselm

  Anselm JF-Expert Member

  #8
  Jun 11, 2012
  Joined: Nov 16, 2010
  Messages: 1,705
  Likes Received: 42
  Trophy Points: 145
  Hawa Jamaa wangeweza kutumia akili zao hizi zinazowawezesha kila siku kuja na mbinu mpya ya kutuibia,kufanya shughuli zenye manufaa kwa Taifa nina uhakika Inflation rate isingekuwa inapanda namna hii.
  By the way kwanini wasiende kuuza haya madawa yao ya usingizi kwa Ma'dentist?
   
 9. Raiamwematz

  Raiamwematz Senior Member

  #9
  Jun 11, 2012
  Joined: May 9, 2012
  Messages: 104
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 0
  Ni hatari sana siku hizi!!
   
 10. Aleyn

  Aleyn JF-Expert Member

  #10
  Jun 11, 2012
  Joined: Nov 12, 2011
  Messages: 10,228
  Likes Received: 13,680
  Trophy Points: 280
  Ubalikiwe Sana.
   
 11. NATA

  NATA JF-Expert Member

  #11
  Jun 11, 2012
  Joined: May 10, 2007
  Messages: 4,516
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 135
  Thanx mkuu!
   
 12. N

  Nalonga JF-Expert Member

  #12
  Jun 11, 2012
  Joined: Dec 20, 2010
  Messages: 216
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 35
  si mbaya ukitoa lifti kwa unaowafahamu mkuu.
   
 13. Mohamedi Mtoi

  Mohamedi Mtoi R I P

  #13
  Jun 11, 2012
  Joined: Dec 11, 2010
  Messages: 3,326
  Likes Received: 44
  Trophy Points: 0
  Utundu wote huu na ujanja ujanja chanzo ni magamba kama ulivyofanya kwenye minara pacha na ile Epa.
   
 14. charminglady

  charminglady JF-Expert Member

  #14
  Jun 11, 2012
  Joined: Apr 16, 2012
  Messages: 17,858
  Likes Received: 1,131
  Trophy Points: 280
  asante kwa taarifa mkù,ubarikiwe sana!
   
 15. Ndibalema

  Ndibalema JF-Expert Member

  #15
  Jun 11, 2012
  Joined: Apr 26, 2008
  Messages: 10,916
  Likes Received: 131
  Trophy Points: 160
  Sometimes ni bora kuwa mkax tuu kutoa toa misaada ambayo hukupangilia huwa inacost.
   
 16. SR senior

  SR senior JF-Expert Member

  #16
  Jun 11, 2012
  Joined: Mar 23, 2012
  Messages: 342
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 35
  dah..dawa yake ni kuwa kaksi tu, maana dunia kushney.
   
 17. n

  ngako Member

  #17
  Jun 11, 2012
  Joined: Mar 13, 2011
  Messages: 29
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Thanx kwa taarifa,dunia finito hii!
   
 18. Ng`wanakidiku

  Ng`wanakidiku JF-Expert Member

  #18
  Jun 11, 2012
  Joined: Apr 18, 2009
  Messages: 1,196
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0

  Wengine wanakuja kama wauza pafumu na kujifanya wanauza pafyumu, halafu anakuambia test halufu, then anakupulizia unasinzia, anaondoka na gari

   
 19. BADILI TABIA

  BADILI TABIA JF-Expert Member

  #19
  Jun 11, 2012
  Joined: Jun 13, 2011
  Messages: 30,873
  Likes Received: 6,227
  Trophy Points: 280
  Heri uonekane unaringa kuliko kuhatarisha uhai wako na kupoteza mali zako....
  Dunia haiaminiki kabisa siku hizi,,,


   
 20. BabaDesi

  BabaDesi JF-Expert Member

  #20
  Jun 12, 2012
  Joined: Jun 30, 2007
  Messages: 2,795
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 145
  ....Najaribu kukumbuka mara ya kwanza nilipoisoma hii ndani ya JF ilikuwa lini vile? Two or Three years back?????:confused2:
   
Loading...