Tangu leo asubuhi nimeshindwa kununua LUKU!

Mtambuzi

Platinum Member
Oct 29, 2008
8,810
15,398
Nimeenda zaidi ya vituo vitano naambiwa network iko down...... Kulikoni hawa TANESCO kutulaza na giza......!
 
Yani mi wananiudhi sana utadhani wanatupa bure huo umeme...mi mwenyewe nimezunguka wee mpaka nimelijua jiji hamna network
 
Tunahitaji lawsuit culture, mtu anapoteza deal zake za mabilioni ya shilingi kwa sababu yao, halafu anawapiga TANESCO lawsuit ya ma trillioni ya shilingi.

Labda watatia akili.
 
Tunahitaji lawsuit culture, mtu anapoteza deal zake za mabilioni ya shilingi kwa sababu yao, halafu anawapiga TANESCO lawsuit ya ma trillioni ya shilingi.

Labda watatia akili.

We are just not a litigious society and I'm not sure what it will take to become one.
 
We are just not a litigious society and I'm not sure what it will take to become one.

Elimu kwanza, wakiwepo wanasheria wengi wasio na kazi utawaona wenyewe wanaanza kutoa adverts za dizaini ya "umeumia katika ajali au kazini?" watazi forge kibongobongo "Je TANESCO wamekuunguzia vyombo vyako vya umeme au kukukosesha biashara?"

Mie siwezi kuelewa mwanasheria anayetafuta kazi bongo wakati kazi ndio hizi zipo bwerere.

Tulishaanza katikati hapa.Kuna mwanafunzi mmoja msichana maisha yake yalikuwa serialized kwenye magazeti kama kikatuni, openly, akashtaki baraza la habari, eti anadai shilingi milioni moja.

Jaji Warioba katika kutoa ruling akakemea sana vyombo vya habari, akampa yule dada award, halafu akasema award aliyodai ndogo sana.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom