hivi hii CLOUDZ Media inajua inachofanya kweli?

Suzie

JF-Expert Member
May 7, 2010
1,259
409
Nakiri mimi sio msikilizaji wala mtazamaji wa hizi media za Clouds, leo kuna mtu kanipa lift kwenye gari yake akawa amefungulia hii radio ghafla tangazo la biashara likagonga "hallo Boss nimepiga nikukumbushe cha asubuhi, boss akashukuru simu ikakata alafu boss akaita mke wangu cha asubuhi basi, mke akajibu tumechelewa kwenye gari basi. Hapo mtangazaji akamalizia usikose cha asubuhi pawa brekifast hapa Clouds fm"

Tulikaa kimya mimi na aliyenipa lift sababu tuna gap la maadili, kwakweli nilishindwa hata kumgeuzia shingo kumuangalia usoni mama wa watu nanilihisi the same kwake kwani kimya kilitawala ghafla nikamuona akibadilisha idhaa.

Wasiwasi wangu nikwamba hawa watu wanafikiri kujitangaza ni kwanjia ya uhamasisho wa kingono.na sidhani kama departments zake ziko well organize isije ikawa ma-director na familia zao wana play big part ya management na wako un professional. Ila wanaboa sana

Wanajisahau kama na watoto zao watasikia na wazazi wao pia. Embu wakuu nisaidieni hasa mnaopenda hii media mtujuze
 
Pole sana Mpwa, napata picha ulivyofedheheka, sawa na lile tangazo la mke anamuomba mchezo mkewe, sijui linaitwaje lile
 
Sioni ubaya wowote katika hiyo promo. Kama wewe huipendi Clouds mshauri tu na huyo mtu aliyekupa lift aache kuisikiliza.
 
radio ya???? waf.....
watu wa vijiweni ndo wasikizaji wake wakubwa
 
siku zote uhuru ni jambo zuri sana lakin uhuru una mipaka. . na uhuru ukizid sana unatumika isivyo. . clouds wanajisahau kwa kuwatumia vijana pas kufuata maadili ya sekta husika
 
Hi Media inajulikana kwa mambo ya hovyo na ya ajabu, next time usifungue hio kitu mbele ya watoto au watu unaoheshimiana nao, AIBU. na kuhalalisha mambo yao walimwandalia Mh Party ya Hapi barthday ningekuwa mshauri wake nigemzuia asihudhurie hio kitu watangazaji wamekaa kingonongono 2
 
Radio ya Kihuni hiyo, huwezi kuifungulia ukiwa na watu wa heshima au watoto wadogo.
 
Kusema ukweli hilo tangazo nimeshalisikia, si zuri kwani linageuza kiswahili cha mtaa kuwa ok, which may not be the case
 
Nafikiri wanaajiri unprofessional people, siku moja nilimsikia BI Chau akisema "kama unatembea na mume wa mtu basi fanya siri", hii kauli inahalalisha uovu kwa jamii, kwa hiyo badala ya media kuelimisha sasa inapotosha.
 
Nakiri mimi sio msikilizaji wala mtazamaji wa hizi media za Clouds, leo kuna mtu kanipa lift kwenye gari yake akawa amefungulia hii radio ghafla tangazo la biashara likagonga "hallo Boss nimepiga nikukumbushe cha asubuhi, boss akashukuru simu ikakata alafu boss akaita mke wangu cha asubuhi basi, mke akajibu tumechelewa kwenye gari basi. Hapo mtangazaji akamalizia usikose cha asubuhi pawa brekifast hapa Clouds fm"

Tulikaa kimya mimi na aliyenipa lift sababu tuna gap la maadili, kwakweli nilishindwa hata kumgeuzia shingo kumuangalia usoni mama wa watu nanilihisi the same kwake kwani kimya kilitawala ghafla nikamuona akibadilisha idhaa.

Wasiwasi wangu nikwamba hawa watu wanafikiri kujitangaza ni kwanjia ya uhamasisho wa kingono.na sidhani kama departments zake ziko well organize isije ikawa ma-director na familia zao wana play big part ya management na wako un professional. Ila wanaboa sana

Wanajisahau kama na watoto zao watasikia na wazazi wao pia. Embu wakuu nisaidieni hasa mnaopenda hii media mtujuze

Clouds media is pure fake, nothing else! Ukisikiliza redio yao ndo kabisaaaa. Watangazaji wake wana akili za kitoto yaani utoto umewatawala sana. Kuna siku moja kwa bahati mbaya niliwekewa clouds radio kile kipindi cha dj fetty, yaani kidogo niivunje radio ya mshikaji jinsi fetty na wageni wake walivyoniboa. Kiingereza hawajuwi ila wanalazimisha kuongea ili wafananishwe na black Americans. Yaani mtu anaongea broken English na kuvuta lafudhi kama yuko shule anafundishwa kusoma. Mara nyingi najiuliza, hivi hii clouds redio haina wakuu wa vipindi wanawachia mabongo fleva kushika mics na kuharibu hali ya hewa ili iweje?
 
ilo tangazo ni aibu hasa ukiwa na mtu unaemheshimu halina maadili kabisa hii redio ni aibu ukiifungulia ukiwa na mtu unaemheshimu maana lolote lawezaongelewa wakati wowote haijalishi kipindi gani kiko hewani
 
clouds again!..
anyways kama ulimkuta maza ka-tune in, ina maana ni mdau wa ilo limedia...alizingua kwa sababu ulikuwepo tu!!
 
Hi Media inajulikana kwa mambo ya hovyo na ya ajabu, next time usifungue hio kitu mbele ya watoto au watu unaoheshimiana nao, AIBU. na kuhalalisha mambo yao walimwandalia Mh Party ya Hapi barthday ningekuwa mshauri wake nigemzuia asihudhurie hio kitu watangazaji wamekaa kingonongono 2

Hujasoma post vizuri, rudia aafu jipange. Japokua ulichoongea ni ukweli mtupu
 
Nakiri mimi sio msikilizaji wala mtazamaji wa hizi media za Clouds, leo kuna mtu kanipa lift kwenye gari yake akawa amefungulia hii radio ghafla tangazo la biashara likagonga "hallo Boss nimepiga nikukumbushe cha asubuhi, boss akashukuru simu ikakata alafu boss akaita mke wangu cha asubuhi basi, mke akajibu tumechelewa kwenye gari basi. Hapo mtangazaji akamalizia usikose cha asubuhi pawa brekifast hapa Clouds fm"

Tulikaa kimya mimi na aliyenipa lift sababu tuna gap la maadili, kwakweli nilishindwa hata kumgeuzia shingo kumuangalia usoni mama wa watu nanilihisi the same kwake kwani kimya kilitawala ghafla nikamuona akibadilisha idhaa.

Wasiwasi wangu nikwamba hawa watu wanafikiri kujitangaza ni kwanjia ya uhamasisho wa kingono.na sidhani kama departments zake ziko well organize isije ikawa ma-director na familia zao wana play big part ya management na wako un professional. Ila wanaboa sana

Wanajisahau kama na watoto zao watasikia na wazazi wao pia. Embu wakuu nisaidieni hasa mnaopenda hii media mtujuze

Nazidi kuyaamini meneno ya sugu ktk nyimbo zake alizowaimbia kwamba wako pale kuwahujumu wasanii kingono, na wana mambo ya kishoga
 
Sioni ubaya wowote katika hiyo promo. Kama wewe huipendi Clouds mshauri tu na huyo mtu aliyekupa lift aache kuisikiliza.

wewe si walewale mnaofunga suruali magotini kwanh hamwezikujua maadili ni nini!
 
Back
Top Bottom