Chadema diaspora facebook page | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Chadema diaspora facebook page

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by baajun, Jun 14, 2012.

 1. b

  baajun JF-Expert Member

  #1
  Jun 14, 2012
  Joined: May 19, 2012
  Messages: 200
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
 2. b

  baajun JF-Expert Member

  #2
  Jun 14, 2012
  Joined: May 19, 2012
  Messages: 200
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hii page inanifurahisha sana- Nimeona bora niishee hapa JF. Kuna ccm, chadema na wengineo humo. Yaani watu wana chanana tu.
   
 3. KIWAVI

  KIWAVI JF-Expert Member

  #3
  Jun 14, 2012
  Joined: Jan 12, 2010
  Messages: 1,746
  Likes Received: 376
  Trophy Points: 180
  dawa isiwe kuchanana, bali iwe kuelimishana, kusahihishana na kusaidiana; ni muhimu kuangalia lugha na ujumbe kuondoa ushabiki usio na maana.... hivyo ndivyo kujiandaa kutawala, kwani chama kitakua mfano wa kuigwa na nadhani mfano wa kuigwa huwa na busara zaidi ya waigaji
  nilichojifunza ni kwamba ile gap kati ya ccm na chadema itakua kubwa hata dmv kama haitaangaliwa... chuki zimeanza kidogo-kidogo
   
 4. h

  hoyce JF-Expert Member

  #4
  Jun 14, 2012
  Joined: Oct 26, 2010
  Messages: 1,119
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 135
  Kweli pg bomba
   
Loading...