Utaratibu wa kubadilisha jina mwanamke aliyeolewa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Utaratibu wa kubadilisha jina mwanamke aliyeolewa

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by ng'wandu, Jun 13, 2012.

 1. n

  ng'wandu JF-Expert Member

  #1
  Jun 13, 2012
  Joined: Apr 18, 2011
  Messages: 333
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Hivi ni utaratibu upi mwanamke aliyeolewa anapaswa kuutumia ili aweze kubadilisha jina, yaani atumie jina la mume wake? Naomba mnaofahamu mnijuze, asanteni
   
 2. m

  mhondo JF-Expert Member

  #2
  Jun 13, 2012
  Joined: Apr 23, 2011
  Messages: 970
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 45
  Mbona huo utaratibu unaanza kupitwa na wakati, nenda kwa mawakili wa kujitegemea watakubadilishia.
   
Loading...