Mh, WASSIRA PITIA HAPA. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mh, WASSIRA PITIA HAPA.

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by mbutalikasu, Jun 11, 2012.

 1. m

  mbutalikasu Member

  #1
  Jun 11, 2012
  Joined: Jan 20, 2012
  Messages: 53
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mh, Wassira najua wana Bunda umewaahidi mamabo mengi tu lakini hatujaona hata moja ulilolitekeleza.

  Mbaya zaidi ni pale juzi tulipokuona unapiga domo ktk viwanja vya Jangwani kuhusu kilimo cha mpunga huko Morogoro na wakati hapa Jimboni kwako kuna mashamba ya kilimo hichohicho cha mpunga ambacho kimeharibiwa na Kiwanda cha rafiki yako Bw, Villian kwa kutiririsha maji yenye sumu mashambani mwao na wakalete hiki kilio kwako ukakaa kimya hadi leo.

  Sasa sisi wana Bunda tunajiuliza hao wa morogoro ndo una uchungu nao saana maana huo mchele wa morogoro kuja kutufikia huku siyo leo nakushangaa pale unapoambiwa una kuwa mkali kama nyati na ndo maana inafikia hatua unazomewa kwenye mkutano wewe unaona kawaida.

  Kumbuka hata bwana Manyerere alishatoa hii habari lakini bado umeziba masikio kama kanga aliyetolewa porini. Sasa basi kumbuka 1+1=2 siku ile ulizomewa kipindi utakapo kuja jiandae kupigwa mawe maana wana bunda wana hasira sana na wewe hasa wale wakulima wa mpunga.

  Na pia ni vyema ukamshauri rafiki yako villian asitishe zoezi la kutiririsha maji yenye sumu ktk mashamba yetu lasivyo nae ataharibikiwa hii sh, 25000 aliyowapa wakulima kama fidia ya mazao yao haitoshi kumbuka hata cheche za moto huzaa moto kamili
   
 2. m

  mamajack JF-Expert Member

  #2
  Jun 11, 2012
  Joined: May 21, 2012
  Messages: 1,162
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 135
  25,000??? kweli watanzania tumeonwa vinyago na hawa mafisadi, wanabunda uamzi mnao, kusuka au kunyoa!poleni
   
 3. Sniper

  Sniper JF-Expert Member

  #3
  Jun 11, 2012
  Joined: Mar 8, 2008
  Messages: 1,944
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  TISS wanapitaga humu, hope wata include hii kwenye report zao.
   
 4. U

  Ulimakafu JF-Expert Member

  #4
  Jun 11, 2012
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 18,005
  Likes Received: 737
  Trophy Points: 280
  haya weee..............
   
 5. KALYOVATIPI

  KALYOVATIPI JF-Expert Member

  #5
  Jun 11, 2012
  Joined: Aug 11, 2011
  Messages: 1,419
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 0
  mlilichagulia nn? Na mkiambiwaga amuelewi shauri zenu bana
   
 6. M

  Malyenge JF-Expert Member

  #6
  Jun 11, 2012
  Joined: Jan 16, 2012
  Messages: 4,402
  Likes Received: 1,365
  Trophy Points: 280
  Huu ni uchochezi!!!! Angalia thread hii isije kufungiwa.
   
 7. Power G

  Power G JF-Expert Member

  #7
  Jun 11, 2012
  Joined: Apr 20, 2011
  Messages: 3,911
  Likes Received: 88
  Trophy Points: 145
  Mkuu tiss huwa wanawapa taarifa ambazo wanapenda kuzisikia (zile zinazowasifia tu), zile ambazo zinaonyesha mapungufu yao huwa hawapelekewi ili wajirekebishe. Matokeo yake ni kuwa na viongozi wapuuzi na vilaza tu siku zote.
   
 8. Bilionea Asigwa

  Bilionea Asigwa JF-Expert Member

  #8
  Jun 11, 2012
  Joined: Sep 21, 2011
  Messages: 12,627
  Likes Received: 9,838
  Trophy Points: 280
  jamaa yupo bungeni kuuchapa usingizi tuu juzi juzi kulikua na ripoti kuwa bunda ndiyo wilaya masikini kuliko zote hapa tanzania sijui kwa sasa imepiga hatua gani.. geographically binda iko pazuri sana kwani iko katikati ya mwanza na musoma na bado iko kati ya hifadhi ya serengeri na mikoa migine sasa kwa staili za viongozi wenu wapiga porojo kazi mnayo
   
 9. Mnama

  Mnama JF-Expert Member

  #9
  Jun 11, 2012
  Joined: Oct 13, 2010
  Messages: 1,651
  Likes Received: 358
  Trophy Points: 180
  Subiri kiama chao 2015
   
 10. T

  Toshack Kibala Member

  #10
  Jun 11, 2012
  Joined: Apr 1, 2012
  Messages: 67
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ndiyo mgeuke sasa ujinga iwe basi mageuzi ni muhimu.
   
 11. chuki

  chuki JF-Expert Member

  #11
  Jun 11, 2012
  Joined: Mar 10, 2011
  Messages: 2,691
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  Ha! ha! ha! ha! ha!

  Atajibu:

   
 12. O

  Otorong'ong'o JF-Expert Member

  #12
  Jun 11, 2012
  Joined: Aug 17, 2011
  Messages: 31,111
  Likes Received: 10,468
  Trophy Points: 280
  Bado amesinzia subiri aamke...atakuja kukueleza mikakati ya jimbo lake.
   
 13. peoples power

  peoples power JF-Expert Member

  #13
  Jun 11, 2012
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 468
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 45
  Uchochezi katika lipi hapo mzee,hivi kwanini watu huwa mnapenda kukaa mbali na ukweli.kumbuka kuwa kweli itakuweka huru.lipi bora kusema ukweli hadharani au kukaa kimya na kuumia moyoni hatutakiwi kuwa watumwa.
   
 14. Comi

  Comi JF-Expert Member

  #14
  Jun 12, 2012
  Joined: Oct 2, 2011
  Messages: 3,347
  Likes Received: 478
  Trophy Points: 180
  Mh! Kwani nyie wanabunda hamuwezi kumkataa mbunge wenu?
   
 15. Henge

  Henge JF-Expert Member

  #15
  Jun 12, 2012
  Joined: May 14, 2009
  Messages: 6,765
  Likes Received: 78
  Trophy Points: 145
  Hv hao watu wapo nchi hii mboba jk alisema hawafahamu richmund.
   
 16. MWANAWAVITTO

  MWANAWAVITTO Senior Member

  #16
  Jun 12, 2012
  Joined: Dec 2, 2011
  Messages: 188
  Likes Received: 47
  Trophy Points: 45
  ha haaa haaaaaa! WA ZIRO bhana!
   
 17. M

  Malyenge JF-Expert Member

  #17
  Jun 12, 2012
  Joined: Jan 16, 2012
  Messages: 4,402
  Likes Received: 1,365
  Trophy Points: 280
  Ishi, ulikuwa hujui? Siku hizi MODS wameanza kuwa na kaufisadi!!!Ukisema ukweli tu, thread inafungiliwa mbali....
   
 18. Baba V

  Baba V JF-Expert Member

  #18
  Jun 12, 2012
  Joined: Dec 29, 2010
  Messages: 19,507
  Likes Received: 170
  Trophy Points: 160
  Kwa mujibu wa nyinyiem, kweli
   
 19. cedrickngowi

  cedrickngowi Senior Member

  #19
  Jun 12, 2012
  Joined: Jun 9, 2012
  Messages: 148
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  The only thing Wasira can do better ni kufoka na kulala bungeni,everyone knows this.And that reflects most CCM members,They don't PRACTICE WHAT THEY PREACH.This is CCM bwanaaaa.
   
 20. lusubilo lucas

  lusubilo lucas Member

  #20
  Jun 12, 2012
  Joined: Mar 6, 2012
  Messages: 61
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Unajua watanzania umefika wakati tujifunze kudai haki kwa kila njia yani njia ya amani ikishindikana tunatumia nguvu yani mtu anapitisha kemikali za sumu alafu unapewa 25000 unakaa kimya ni upumbavu ulio kithiri.
   
Loading...