Wafungwa zaidi ya 10 watoroka gereza la Lushoto. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wafungwa zaidi ya 10 watoroka gereza la Lushoto.

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by TEMILUGODA, Jun 12, 2012.

 1. T

  TEMILUGODA JF-Expert Member

  #1
  Jun 12, 2012
  Joined: Feb 11, 2012
  Messages: 1,367
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 135
  WANAJF,leo nikiwa naingia Lushoto town nimeshtushwa na habari kwamba zaidi ya wafungwa 1o wametoroka gerezani kupitia tundu kubwa walilochimba wenyewe. NAOMBA MWENYE HABARI KAMILI ATUPIE UZI HAPA JF.
   
 2. Elli

  Elli JF-Expert Member

  #2
  Jun 12, 2012
  Joined: Mar 17, 2008
  Messages: 26,828
  Likes Received: 10,135
  Trophy Points: 280
  Lushoto magerezea yapo mengi, hebu muulize huyo uliemsikia akisema hilo akuambie ni gereza lipi mojawapo, la Lushoto mjini, mnazi, au wapi? Na Lushoto na wewe unafanya nini saa hizi na baridi yote hii? Unanikumbusha mbaaaaali sana sana Home sweet Home
   
 3. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #3
  Jun 12, 2012
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,465
  Likes Received: 19,844
  Trophy Points: 280
  Sobibo camp escape
   
 4. T

  TEMILUGODA JF-Expert Member

  #4
  Jun 12, 2012
  Joined: Feb 11, 2012
  Messages: 1,367
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 135
  Mkubwa gereza la Lushoto(town).
   
 5. Elli

  Elli JF-Expert Member

  #5
  Jun 12, 2012
  Joined: Mar 17, 2008
  Messages: 26,828
  Likes Received: 10,135
  Trophy Points: 280
  Aaaah pale very easy pale, maana halina ulinzi wowote nakumbuka wakati tukiwa wadogo tulikua tunaenda kuangalia mazingaombwe kwenye mojawapo ya Hall pale magereza, pole zao ngoja tutubirie wadau wa Lushoto watasemaje labda mohamed Mtoi na zumbemkuu watatupatia updates kama wanazo, mosie hebu fanyeni ze nidiful
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 6. PrN-kazi

  PrN-kazi JF-Expert Member

  #6
  Jun 12, 2012
  Joined: Feb 5, 2011
  Messages: 2,890
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 135
  Prison Break Part II
   
 7. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #7
  Jun 12, 2012
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,465
  Likes Received: 19,844
  Trophy Points: 280
  hapo ndio utamtaka michael scholfield, tatizo lao wanaajiri askari ambao wamefoji vyeti
   
 8. M

  Msindima JF-Expert Member

  #8
  Jun 12, 2012
  Joined: Mar 30, 2009
  Messages: 1,018
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 135


  NI kweli kabisa hapo kwenye green.
   
 9. T

  TEMILUGODA JF-Expert Member

  #9
  Jun 12, 2012
  Joined: Feb 11, 2012
  Messages: 1,367
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 135
  Mimi nafananisha na mpango wa Mungu kwa nchi ya Lushoto dhidi ya blanketi walilojinuka
   
 10. CHASHA FARMING

  CHASHA FARMING Verified User

  #10
  Jun 12, 2012
  Joined: Jun 4, 2011
  Messages: 6,133
  Likes Received: 2,125
  Trophy Points: 280

  Mkuu kuna ile move ya ESCAPE TRICK hapo ndo mahala pake make kwenye ile move wafungwa walichimba shimo linaenda kuibukia nje ya uzio wa magereza na wafungwa wakatoroka ingawa wapo walio kamatwa na kuuwawa,
   
 11. MANI

  MANI Platinum Member

  #11
  Jun 12, 2012
  Joined: Feb 22, 2010
  Messages: 6,410
  Likes Received: 1,863
  Trophy Points: 280
  Elli Mgoshi togoa za siku?
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 12. Radhia Sweety

  Radhia Sweety JF-Expert Member

  #12
  Jun 12, 2012
  Joined: Aug 10, 2011
  Messages: 4,448
  Likes Received: 345
  Trophy Points: 180
  Wametorokaje
   
 13. T

  TEMILUGODA JF-Expert Member

  #13
  Jun 12, 2012
  Joined: Feb 11, 2012
  Messages: 1,367
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 135
  Wamepitia kwenye tundu walilo chinba wenyewe.USISHANGAE SANA NCHI HII IMECHAKACHULIWA KILA MAHALI.
   
 14. democratic

  democratic JF-Expert Member

  #14
  Jun 12, 2012
  Joined: Nov 21, 2011
  Messages: 1,644
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  humo gerezani hayo majembe au sururu za kuchimbia hili tundu zilifikaje,na hilo gereza nalo limejengwa kwa udongo.......
   
 15. LiverpoolFC

  LiverpoolFC JF-Expert Member

  #15
  Jun 12, 2012
  Joined: Apr 12, 2011
  Messages: 11,001
  Likes Received: 153
  Trophy Points: 160
  Yaelekea ni uzembe ndani ya uongozi uliko na ndipo wahalifu hao wakapata mwanya wa kutoroka.

  Source ni ITV.
   
 16. Mzee wa Rula

  Mzee wa Rula JF-Expert Member

  #16
  Jun 12, 2012
  Joined: Oct 6, 2010
  Messages: 8,177
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  Ni rahisi kusema uzembe kama hujui gereza ni la ngome au laah.
   
 17. F

  FJM JF-Expert Member

  #17
  Jun 12, 2012
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 8,088
  Likes Received: 90
  Trophy Points: 145
  Tukiamka kesho asubuhi tutasoma mkuu wa magereza na viongozi wenzake wanaendelea na shughuli kama kawaida! Legacy ya CCM!
   
 18. Christine1

  Christine1 JF-Expert Member

  #18
  Jun 12, 2012
  Joined: Feb 26, 2012
  Messages: 12,278
  Likes Received: 1,206
  Trophy Points: 280
  escap frm sabibo
   
 19. Kifimbo Cheza

  Kifimbo Cheza JF-Expert Member

  #19
  Jun 12, 2012
  Joined: Nov 13, 2011
  Messages: 221
  Likes Received: 53
  Trophy Points: 45
  Napita tu.
   
 20. Mshuza2

  Mshuza2 JF-Expert Member

  #20
  Jun 13, 2012
  Joined: Dec 27, 2010
  Messages: 4,115
  Likes Received: 1,745
  Trophy Points: 280
  Usanii mtupu! Hii nchi bwana..kha!
   
Loading...