daraja la ngapi mkuu??
urais unatafutwa kwa nguvu zote!
La tatu
Hiyo treni kurudi dar tena hadi bunge liishe
Katika kufanya surprise kwa wafanyakazi wa reli na wananchi kwa ujumla waziri wa Uchukuzi Dr. Harison Mwakyembe kaamua kupanda treni ya njia ya kati kuelekea mjengoni Dodoma leo hii.
Anasubiriwa atoe dodoso la safari na malengo ya safari yake
kwa hiyo shangingi linabaki dar au?
Hii sumu aliyolishwa Mwakyembe inaelekea ni nzuri sana...inabidi na mawaziri wote wapewe dozi ili uzalendo urudi...!
Katika kufanya surprise kwa wafanyakazi wa reli na wananchi kwa ujumla waziri wa Uchukuzi Dr. Harison Mwakyembe kaamua kupanda treni ya njia ya kati kuelekea mjengoni Dodoma leo hii.
Anasubiriwa atoe dodoso la safari na malengo ya safari yake
hii safi sana. Good example!Katika kufanya surprise kwa wafanyakazi wa reli na wananchi kwa ujumla waziri wa Uchukuzi Dr. Harison Mwakyembe kaamua kupanda treni ya njia ya kati kuelekea mjengoni Dodoma leo hii.
Anasubiriwa atoe dodoso la safari na malengo ya safari yake