Ocampo apata mrithi | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ocampo apata mrithi

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by The Don, Jun 15, 2012.

 1. The Don

  The Don JF-Expert Member

  #1
  Jun 15, 2012
  Joined: Dec 2, 2011
  Messages: 3,455
  Likes Received: 142
  Trophy Points: 160
  Aliyekuwa kiongoziwa mashtaka ya I.C.C luis moreno ocampo amepata mrithi atakayechukua nafasi yake,anaitwa fatou bensouda mwanamama kutoka gambia ana miaka 50,ataongoza kwa miaka 9,pia ataendeleza kesi zilizopo hadi sasa
   
 2. i

  isotope JF-Expert Member

  #2
  Jun 15, 2012
  Joined: Apr 4, 2012
  Messages: 2,404
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 0
  Loh.., Jaji mkuu wetu Chande wamemmwaga?! Maana naye alikuwa anagombea nafasi hiyo.
   
Loading...