kwanini mikutano maalumu au ya-kiserikali utumia maji badala ya soda au juisi?? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

kwanini mikutano maalumu au ya-kiserikali utumia maji badala ya soda au juisi??

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Leonard Robert, Jun 15, 2012.

 1. Leonard Robert

  Leonard Robert JF-Expert Member

  #1
  Jun 15, 2012
  Joined: Apr 22, 2011
  Messages: 9,150
  Likes Received: 2,472
  Trophy Points: 280
  kwa hali ya kawaida soda na juisi ni vinywaji vinavyotumika kwenye sherehe mbalimbali, pia vinywaji hivi utumiwa na wengi kuwapa wageni
  sasa nashindwa kuelewa kwanini mikutano au warsha za kisiasa zinaweka maji mezani badala ya soda au juisi.

  au ni ule uvumi kwamba soda zina madhara ila sisi walalahoi tunatumia tu bila kujua?
   
 2. Leonard Robert

  Leonard Robert JF-Expert Member

  #2
  Jun 15, 2012
  Joined: Apr 22, 2011
  Messages: 9,150
  Likes Received: 2,472
  Trophy Points: 280
  wadau naomba mwenye uelewa wa jambo hili atuambie..
   
 3. R

  Rebel volcano JF-Expert Member

  #3
  Jun 15, 2012
  Joined: Jun 1, 2012
  Messages: 404
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  kiafya bora maji kuliko juice au soda!
  (mwenye macho haambiwi ona)
   
 4. Leonard Robert

  Leonard Robert JF-Expert Member

  #4
  Jun 15, 2012
  Joined: Apr 22, 2011
  Messages: 9,150
  Likes Received: 2,472
  Trophy Points: 280
  nimeanza kuelewa sasa
   
 5. Baba V

  Baba V JF-Expert Member

  #5
  Jun 15, 2012
  Joined: Dec 29, 2010
  Messages: 19,507
  Likes Received: 170
  Trophy Points: 160
  Maji yananywewa na kila mtu lakini watu ni selective kwenye vinywaji vingne hususani soda na juice
   
 6. F

  FJM JF-Expert Member

  #6
  Jun 15, 2012
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 8,088
  Likes Received: 90
  Trophy Points: 145
  Tanzania tuna tabia mbaya sana hasa viongozi wetu ya kutaka kuzungukwa na vyakula au vinjwaji! Huu ni zaidi ya ushamba na ni dalili ya ulafi. Mfano kwenye ghafla nyingi utakuta high-table wapenga chupa aina tofauti za vinywaji utafikiri wametoka kwenye kambi ya wakimbizi. Wengine wanaona kama "urembo" lakini ukweli ni very bad.

  Week chache niliona picha za Rais wa Zanzibar akiwa kwenye vikao tofauti na wizara na kila picha utaona wameweka chupa za chai mezani, kila mtu alikuwa na chupa kubwa ya chai! Hivi viongozi wetu pamoja na kusafiri kote wameshindwa kujifunza ustaarab? Hiyo michupa mikubwa ya chai mezani ni sawa na kuweka sufuria ya chakula mezani! Ushamba gani huo!
   
 7. KANCHI

  KANCHI JF-Expert Member

  #7
  Jun 15, 2012
  Joined: Sep 3, 2011
  Messages: 1,547
  Likes Received: 60
  Trophy Points: 145
  Hiyo aya ya mwisho ndio jibu lenyewe.
   
 8. s

  silent lion JF-Expert Member

  #8
  Jun 16, 2012
  Joined: Feb 28, 2012
  Messages: 538
  Likes Received: 95
  Trophy Points: 45
  Uko sawa kabisa.
   
 9. Mshuza2

  Mshuza2 JF-Expert Member

  #9
  Jun 16, 2012
  Joined: Dec 27, 2010
  Messages: 4,119
  Likes Received: 1,752
  Trophy Points: 280
  Tena hayo maji yenyewe wako selective, wanapendelea kunywa KILIMANJARO spring water!
   
 10. Leonard Robert

  Leonard Robert JF-Expert Member

  #10
  Jun 16, 2012
  Joined: Apr 22, 2011
  Messages: 9,150
  Likes Received: 2,472
  Trophy Points: 280
  kwanini mkubwa una hoja za kisayansi?
   
 11. Leonard Robert

  Leonard Robert JF-Expert Member

  #11
  Jun 16, 2012
  Joined: Apr 22, 2011
  Messages: 9,150
  Likes Received: 2,472
  Trophy Points: 280
  kwanini maji? Kwanini hayo maji ya kilimanjaro sio dasani,sayona au uhai?
   
 12. Leonard Robert

  Leonard Robert JF-Expert Member

  #12
  Jun 16, 2012
  Joined: Apr 22, 2011
  Messages: 9,150
  Likes Received: 2,472
  Trophy Points: 280
  kwakweli hili ni tatizo kubwa..
  Tena hata mikutano ya ikulu inajaa chupa nyingi na mapochopocho meengi
   
 13. F

  FJM JF-Expert Member

  #13
  Jun 16, 2012
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 8,088
  Likes Received: 90
  Trophy Points: 145
  Hivi hawajui maana ya "side table?
   
Loading...