Flyover Ubungo,uwanja wa kisasa ndege Kigoma | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Flyover Ubungo,uwanja wa kisasa ndege Kigoma

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Mkurabitambo, Jun 15, 2012.

 1. M

  Mkurabitambo JF-Expert Member

  #1
  Jun 15, 2012
  Joined: Feb 3, 2010
  Messages: 229
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  habari wanajamvi. hivi zile habari za kutujengea barabara tano,tano juu na chini zimeishia wapi, wale wa Kigoma vipi ule uwanja waliouhaidi magamba ushaanza kufyekwa?Wakazi wa Dar es salaam(hasa magamba) nadhani suala la kuuliza kwenye ile mikutano ya CDM square ni kuhusu flyover za ubungo au ndo vile tena tusubiri mwakani?politician are so fun....
   
 2. Graph Theory

  Graph Theory JF-Expert Member

  #2
  Jun 15, 2012
  Joined: Jul 2, 2011
  Messages: 3,809
  Likes Received: 1,129
  Trophy Points: 280
  Subiri mwaka 2014, si unajua uchaguzi utakuwa umekaribia, jamaa ndipo waatasituka na kuanza kutekeleza ilani yao ili kuwapata wajinga wa kuwapigia kura.
  The unseen is illustrated by the seen.
   
 3. Ibrah

  Ibrah JF-Expert Member

  #3
  Jun 15, 2012
  Joined: Mar 22, 2007
  Messages: 2,721
  Likes Received: 36
  Trophy Points: 145
  Hizi ahadi za JK 2010 ndizo zimeiua CCM na ndizo zitaizika 2015 maana hazitekelezeki hata 25%
   
Loading...