Just for my information! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Just for my information!

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Escobar, Jun 15, 2012.

 1. Escobar

  Escobar JF-Expert Member

  #1
  Jun 15, 2012
  Joined: Sep 16, 2011
  Messages: 577
  Likes Received: 213
  Trophy Points: 60
  Honestly mimi sio mchumi kiviile japo nilisoma Micro na Macro economics wakati nachukua kadegree kangu ka kwanza hivyo siwezi kujigamba na uchumi wangu mbele ya wachumi.

  Naomba wajuzi wa wanijuze haya, hivi utaratibu wa kuongeza kodi kwenye simu eti kisa ni makubaliano ya jumuiya ya africa mashariki uko sahihi? Kwani uchumi wa nchi hizi na mapato ya watu wa nchi hizi yako sawa? I mean kima cha chini cha mshahara na makato yake kati ya Tz na Ke na Ug kiko sawa?

  Na je gharama za maisha katika nchi hizi ni sawa sawa pia? Kama vitu hivi haviko sawa hii inamanisha nini kiuchumi, tunaburuzwa bila kujijua au ni uzembe wa kufikiri? Pia sijaelewa milioni 5 kwa namba binafsi ya gari hii inakuwaje? Ni namba hizihizi za njano tunazobandikiwa kwenye vi-used vyetu au yenyewe inakuwaje kuwaje?

  Asanteni
   
Loading...