mkewe au mama yake? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

mkewe au mama yake?

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Mtagwa lindi, Jun 14, 2012.

 1. Mtagwa lindi

  Mtagwa lindi JF-Expert Member

  #1
  Jun 14, 2012
  Joined: Mar 12, 2012
  Messages: 278
  Likes Received: 30
  Trophy Points: 45
  kuna doga amechukua tuzo za taswa hapa nadhani ni mpiganaji kapoteza mda mwaingi kumsifia mkewake kalazimisha hadi kumpandiasha stejini ni limama hilo kama mama yake shame on him,nimekosa picha
   
 2. N

  Nehondo JF-Expert Member

  #2
  Jun 14, 2012
  Joined: Aug 14, 2011
  Messages: 311
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Ni mapenzi...anampenda mkewe. Mfano wa kuigwa
   
 3. Zamaulid

  Zamaulid JF-Expert Member

  #3
  Jun 14, 2012
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 16,355
  Likes Received: 6,699
  Trophy Points: 280
  kipendacho roho kaka!!yawezekana watu wakimuona wako naye watasema na kukushangaa!
   
 4. M

  Mzee wa fund JF-Expert Member

  #4
  Jun 14, 2012
  Joined: Oct 24, 2010
  Messages: 520
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Napita tuu.nitarudi.
   
 5. King'asti

  King'asti JF-Expert Member

  #5
  Jun 14, 2012
  Joined: Nov 26, 2009
  Messages: 27,508
  Likes Received: 2,249
  Trophy Points: 280
  Lol! Unafaa kuwa wifi aisee!
   
 6. KALYOVATIPI

  KALYOVATIPI JF-Expert Member

  #6
  Jun 15, 2012
  Joined: Aug 11, 2011
  Messages: 1,419
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 0
  mbona madada wakipanda na vibabu kuna mademu kibao town hapa wanapigwa na vibabu watu kimya
   
 7. Kiranga

  Kiranga JF-Expert Member

  #7
  Jun 15, 2012
  Joined: Jan 29, 2009
  Messages: 34,607
  Likes Received: 6,193
  Trophy Points: 280
  Tatizo lako nini? Ulitaka akuoe wewe?
   
 8. E

  EL MAGNIFICAL JF-Expert Member

  #8
  Jun 15, 2012
  Joined: Jan 11, 2011
  Messages: 939
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  mi nimekuelewa mtoa mada ni kwamba kafanya matumizi mabaya ya muda.
  Hata ivyo jamaa nimeona lugha ya kigeni kama angeicha tu.
   
 9. L

  Lady G JF-Expert Member

  #9
  Jun 15, 2012
  Joined: Dec 13, 2010
  Messages: 517
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  mbona poa tu jamani, mapenzi hayachagui umri,wala kabilaaa, siku hizi mzungu,mchainaa huoanaaa japanizi mwafrika vilevileeee........... Yu gal me
   
 10. Bushbaby

  Bushbaby JF-Expert Member

  #10
  Jun 15, 2012
  Joined: Dec 29, 2010
  Messages: 1,577
  Likes Received: 80
  Trophy Points: 145
  Na kweli ma-wifi ndo wenye maneno ya hivi.... hebu tuwekee picha ya mke wako..au unafikiri ulichokipenda wewe kila mtu atakipenda????
   
 11. Likwanda

  Likwanda JF-Expert Member

  #11
  Jun 15, 2012
  Joined: Jun 16, 2011
  Messages: 3,854
  Likes Received: 45
  Trophy Points: 145
  Pili pili ya Shamba......................
   
 12. platozoom

  platozoom JF-Expert Member

  #12
  Jun 15, 2012
  Joined: Jan 24, 2012
  Messages: 7,325
  Likes Received: 2,319
  Trophy Points: 280
  Watu wana vipande...check hizi post

  Huyu ni Zamaulid anarusha kijembe

  HUYU ni King'asti
  Na hii ni ya kaliyovatiki
  Hapa ni Kiranga anabamiza kabisa
  Huyu ni Bushbaby anaanza na maneno laini lakini baadaye...........
  Likwanda akamalizia
  Mleta thread sijui kama atarudi
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 13. M

  Mmwaminifu JF-Expert Member

  #13
  Jun 15, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 1,096
  Likes Received: 66
  Trophy Points: 145
  Ngoja tuendelee kumsubiri anaweza akapata ujasiri. Hii ndo jf, there's no stupid answer but a right answer to a stupid question!
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 14. Angel Msoffe

  Angel Msoffe JF-Expert Member

  #14
  Jun 15, 2012
  Joined: Jun 21, 2011
  Messages: 6,797
  Likes Received: 74
  Trophy Points: 145
  teh teh teh..... umeuwa
   
 15. Angel Msoffe

  Angel Msoffe JF-Expert Member

  #15
  Jun 15, 2012
  Joined: Jun 21, 2011
  Messages: 6,797
  Likes Received: 74
  Trophy Points: 145
  harudi
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 16. Mulhat Mpunga

  Mulhat Mpunga JF-Expert Member

  #16
  Jun 15, 2012
  Joined: Oct 28, 2010
  Messages: 25,503
  Likes Received: 12,769
  Trophy Points: 280
  yaani jana niliona maajabu kwenye hiyo taswa walikuwa kama wamekurupushwwa
  mara wabadilishe zawadi ya yule wampe huyu,mara wasijui nini .hivi nyie taswa
  hamkujiandaa? najua mko humu
   
 17. Mtagwa lindi

  Mtagwa lindi JF-Expert Member

  #17
  Jun 15, 2012
  Joined: Mar 12, 2012
  Messages: 278
  Likes Received: 30
  Trophy Points: 45
  Lengo langu lilikuwa ni kuelezea jinsi alivyo poteza muda na kumleta mkewe ambaye hata ukumbi uliguna kwakua kilichotokea hawakutegemea tukubali tu mwanamke mrembo katka jamii anajulikana japo siri ya upendo anabakinayo mpenda
   
Loading...