UDINI + UFISADI = ? Unapata nini? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

UDINI + UFISADI = ? Unapata nini?

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by UTAJUA, Jun 14, 2012.

 1. U

  UTAJUA Member

  #1
  Jun 14, 2012
  Joined: Apr 4, 2012
  Messages: 68
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kuna watu nimewasikia kwenye vyombo vya habari wameshutumiwa kuwa Wamefuja mali za Nchi, na ni mafisadi wakubwa,.. mapapa wakubwa, na mapapa wadogo, dagaa... BUT ndio hao hao Wamekuwa wanajenga sana nyumba za Ibada na kutoa misaada kwa watu wa dini, na wengine hata kuunda Jumiya za kidini.

  Sielewi UFISADI + UDINI =?

  Au ndio njia ya kupata kutetewa siku yao ikifika, mfano wakifikishwa kwenye vyombo Sheria?
   
 2. Jumakidogo

  Jumakidogo R I P

  #2
  Jun 15, 2012
  Joined: Jul 16, 2009
  Messages: 1,859
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 0
  Sasa umesikia wakitajwa kwenye vyombo vya habari, wewe mbona huwataji majina yao? Kuhusu swali lako yaani UDINI+UFISADI= UDUFI.
   
 3. Safety last

  Safety last JF-Expert Member

  #3
  Jun 15, 2012
  Joined: Mar 24, 2011
  Messages: 4,224
  Likes Received: 164
  Trophy Points: 160
  Unapata uamsho mkuu
   
 4. zomba

  zomba JF-Expert Member

  #4
  Jun 15, 2012
  Joined: Nov 27, 2007
  Messages: 17,081
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 0
  Udini ndio nini?

  Ufisadi ndio nini?

  Nauliza hivyo kwa kuwa hayo maneno yote yanatokana kiarabu, tena cha kwenye Qur'an. Neno "Dini" utalikuta ndani ya Qur'an na neno "Fisadi" utalikuta ndani ya Qur'an.

  Nna uhakika wengi wenu mnaotumia maneno haya hata Kiswahili vizuri hamkijui.
   
 5. E

  Etairo JF-Expert Member

  #5
  Jun 15, 2012
  Joined: Jan 17, 2012
  Messages: 244
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Zomba-kwa hivyo likiwa ndani ya kuruani ndo inamaanisha nini? Heri Kur'an imetamka hata neno dini kumaanisha uislam, je biblia inasemaje katika hilo?
  Kur'an imetamka ufisadi kama dhambi mbaya ndo maana ukiwa fisadi unatengwa na pesa zako, bhati mbaya biblia umesema haijataja neno hilo lkn naamini maana yake wanaijua lkn wanawakumbatia ili kuijenga dunia yao. hao ndo wenye kudhulum hapa duniani kwa kudhani kuwa ufisadi sio kosa mbele za Mungu, Upohapo bw. zomba?
   
Loading...