Uongozi wa mizani(weigh bridge) ya Njiapanda ya Himo kunani?

kuku dume

JF-Expert Member
Apr 22, 2012
414
62
Every time people are talking badly about this. Its highly due to the loss of time for passangers who tend to cross the place.
Does it mean that the MP-Mzee wa Kiraracha didn't see this? Then who will speak it out on behalf of passanger?
 
Every time people are talking badly about this. Its highly due to the loss of time for passangers who tend to cross the place.
Does it mean that the MP-Mzee wa Kiraracha didn't see this? Then who will speak it out on behalf of passanger?
Then who will speak it out on behalf of passanger? Weweeeeeee!!!!!!
 
Hakuwa na sababu ya kuandika english kama hali yenyewe ndiyo hii. Hata hivyo mizani ya njia panda Himo ni kero kubwa kwa abiria wanaotumia usafiri wa mabasi. Mizani mingine yenye kero ni Kibaha. Jioni malori yanayotoka Dsm kuelea bara na nchi jirani yanafunga barabara kiasi kwamba inakua haipitiki kwa magari mengine.
Ha ha! Mkiambiwa English kipaji mnabisha!
 
Kwa kweli mzani wa Himo limekuwa ni tatizo sugu la muda sasa, sijui kama hawa wakuu wa tanroad wanayaelewa haya malalamiko au ndio wameweka pamba masikioni. Haiingii akilini mtu watoka na lori Mbeya ama iringa mizani zote unapita bila matatizo ila ukifika huu mzani wa Himo ndo kimbembe, lazma wakuambie mzigo umezidi. Sasa watu tunashindwa kuelewa mizani nyingine zina tofauti gani na huu wa njia panda Himo. Tunaamini wadau wa Tanroad wanapitia humu watusaidie majibu, au kama mzani ni wa mtu binafsi tujue.
 
Wenyeji wa kaskazini nahisi wamepazoea ila kwa wageni lazima pakuchefue. Kelele za mlango hazimuudhi mwenye nyumba.
 
Back
Top Bottom