Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Ndugu zangu wakati ulipofanyika mkutano wa CDM pale Jangwani wiki kadhaa zilizopita,niliandika maelezo yaliyohusu kichwa habari hapo juu,sababu ilikuwa ni kubwa tu kwani ITV walirusha Live mkutano...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Wanawake siku zote wanakuja na mambo ya kushangaza sana. Wengi wao siku hizi wakibeba mimba wanataka wafanyiwe upasuaji hata bila kuwa na shida/ matatizo ya kiafya. Sababu wanazotoa ni 'kuchoshwa...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Kwa wale mliomiss matusi, pumba, kejeli na maneno yote ya kipuuzi, basi msikose kutazama au kusikiliza Bunge leo baada ya kipindi cha maswali na majibu, wakati mheshimiwa huyo atakapokuwa...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Nasikitikia kweli matukio ya mauaji ya wananchi yanayofanywa na dola kwa kuwatumia polisi yanazidi kushika kasi na mara nyingi hakuna wanaowajibishwa. Hata hivyo lililonishtua na kunisikitisha...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Kocha wa timu ya twiga stars ametangaza kubwaga manyanga kuinoa timu hiyo,amesema anajiandaa kuwasilisha barua yake ya kujiuzuru kwa TFF,,,,
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Habari wenzangu jamvini, Niko na wenzangu hapa ofisini tuki-rest kidogo baada ya kupata lunch. Kuna mjadala unaendelea eti viungo vya ndani vya wanyama karibu wote havifai kuliwa na binaadamu. Me...
0 Reactions
35 Replies
12K Views
Baada ya kuona video hi nikamkumbuka Mzee kingunge maneno yake aliposema kuna siku alimuliza mwalimu wake ambae alikuwa ni mzungu na mkatoliki ,alimuliza kwanini nyinyi wakatoliki mnatuchukia...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Nimekuwa nikifuatilia kwa ukaribu sana vikao vya bunge letu la Tanzania live kwa kupitia tv. Nimeshuhudia baadhi ya wabunge na mawaziri wakiongea na simu bungeni huku kikao cha bunge likiendelea...
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Ni rahisi sana kusema mtufulani anatawaliwa na mkewe au mama mkwe au mtufulani ni mmbea lakini ni ngumu sana kusema mimi natawaliwa na mke wangu. ndicho hichi kinacho nifanya nishindwe...
1 Reactions
12 Replies
2K Views
Mkuu wa Jeshi la Polisi Tanzania,Nauliza Huyu Mama Vicky ambaye ni mfanyakazi wa wizara ya fedha tarehe 26 mwezi uliopita Alikodisha vijana na kumpiga na kumuua kijana aliejulikana kwa jina la...
0 Reactions
36 Replies
4K Views
Chama cha kutetea haki za wanaume Tanzania (TAMERA), kimeanzishwa ili kuweka usawa ikiwamo kuondoa dhana potofu inayoendelea kupandikizwa kwenye jamii na mitandao mbalimbali kuwa, mwanaume ni...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Mwenyekujua dawa ya mahali nairobi fly alipokojolea naombeni msaada
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Pichani Mjumbe wa Kamati kuu ya CHADEMA Aliyekuwa Mbunge wa Arusha Mjini Godbless Lema (Katikati) akisindikizwa na wanachama wa chama hicho alipokuwa akiingia katika uwanja wa Shule ya Msingi...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Leo nimejituliza home baada ya afya kuyumba sijaenda job, nikaona nitumie muda huu kuangalia vipindi vya TBC1, ambapo waliweka kipindi cha bunge na saa saba taarifa ya habari. Cha kushangaza...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Kuthibitisha kuwa amesoma zamani wakati fedha ina thamani na ma figure makubwa sana walikuwa hawayatumii waziri wa fedha Dk William Mgimwa ameshindwa kutamka neno trilioni hata mara moja wakati...
3 Reactions
44 Replies
5K Views
Ndugu zangu. Bado sisi watanzania hatujafahamu wajibu wa utekelezaji wa sheria (law enforcement) zilizopo hapa nchini, hata kama tukiona sheria hizo zinavunjwa. Kisa halisi: Siku moja mama...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Habari zenu ndugu zangu. Naamini wengi ambao tunatumia JF huenda tukawa tunatumia Facebook pia, sasa kwa wale wanaotumia hii social media tafadharini sana kuweni makini na huyu mtu anayejiita...
2 Reactions
25 Replies
3K Views
Current Secretary of State Hillary Rodham Clinton has set a record for most countries visited -- 98 and counting -- but predecessor Condoleezza Rice has traveled the most total miles...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Heshima mbele Jamani naomba kujua nilisikia serikali inajipanga kutetea sisi wapangaji maana ss hv kachumba kamoja 40,000/ duh bado umeme maji ukijumlishaa hali ya maisha inavyokwenda jamani...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Heshima mbele Jamani naomba kujua nilisikia serikali inajipanga kutetea sisi wapangaji maana ss hv kachumba kamoja 40,000/ duh bado umeme maji ukijumlishaa hali ya maisha inavyokwenda jamani...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…