Je!mnaikumbuka hii siasa ya tbc=ccm & itv=100%

Apr 29, 2012
81
4
Ndugu zangu wakati ulipofanyika mkutano wa CDM pale Jangwani wiki kadhaa zilizopita,niliandika maelezo yaliyohusu kichwa habari hapo juu,sababu ilikuwa ni kubwa tu kwani ITV walirusha Live mkutano wa CDM, na TBC hawakufanya hivyo!Leo eti TBC wanarusha Live mkutano wa CCM pale jangwani,na kwa siku kadhaa wamekuwa wakitangaza matangazo yanayohusiana na mkutano wa CCM pale jangwani.Swali,Je!ni haki kwa TBC ambacho ni chombo cha habari cha uma kupendelea katika urushaji matangazo ya mikutano ya kisiasa ya vyama?
 
Ndiyo ni chombo cha ccm chama chenye dola,,,,, mbona wako fair tu waite wakurushie live vikao vya harusi yako, harusi, kitchen party , hata kumtoa mwali lakn ni cdm,,, hii ni ili watz wasau machungu ya maisha magumu.
 
Nijuavyo ni kwamba TBC wanafanya biashara.
Yeyote akienda na kuingia mkataba wa kutangaziwa habari zake wanafanya,ilimuradi kuwa hazivunji sheria za Nchi.
Ninachoona hapa ni kuwa ama CHADEMA walishindwa kwenye masharti au walihisi kuhujumiwa, kwani TBC ni chombo cha serikali ambacho katika hali ya kawaida ni rahisi sana kufanya hujuma kwa chama cha upinzani.
 
Ndugu zangu wakati ulipofanyika mkutano wa CDM pale Jangwani wiki kadhaa zilizopita,niliandika maelezo yaliyohusu kichwa habari hapo juu,sababu ilikuwa ni kubwa tu kwani ITV walirusha Live mkutano wa CDM, na TBC hawakufanya hivyo!Leo eti TBC wanarusha Live mkutano wa CCM pale jangwani,na kwa siku kadhaa wamekuwa wakitangaza matangazo yanayohusiana na mkutano wa CCM pale jangwani.Swali,Je!ni haki kwa TBC ambacho ni chombo cha habari cha uma kupendelea katika urushaji matangazo ya mikutano ya kisiasa ya vyama?
Wazarendo tuache tabia ya kutengeneza hoja kichwani , bila ya kumuuliza mtu au taasis husika ukaamua kuanza kuieneza kwa kutumia njia mbalimbali ikiwemo JF, kunatabia imezuka siku hizi kuona wazarendo waliopo kwenye taasisi mbalimbali za kitaifa kuwa hawana weledi wa kazi wazifanyazo na pia hawafuati maadili ya taaluma zao.
ingerikuwa ni vyema ndugu yangu winston ukatufahamisha kama unafahamu utaratibu wowote wa kazi paleTBC kuhusiana hasa na hili la mikutano ya kisiasa...
 
Sababu ipo waz tbc ya ccm ni mali ya ccm kama wanavofanya kumiliki vingine kama kuchukua majengo ya umma na kufanya yao kama majengo ya sabasaba**iringa*mbona tunajua na hayo majengo wamejizuirishia wenyewe.

Me sijipi maswali kwa tbc kupendelea, maana ata kwenye majengo waliomiliki wanakodishiana kwa favourity.
 
Hata watangaze ma 24 wamechelewa ccm haitaamka imelala usingizi wa pono ipo ICU
 
Back
Top Bottom