Nauliza: Eti maini, figo bandama, utumbo, moyo, mapafu..., eti huko ulaya haviliwi kabisa!!! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nauliza: Eti maini, figo bandama, utumbo, moyo, mapafu..., eti huko ulaya haviliwi kabisa!!!

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by JituParaTupu, Jun 14, 2012.

 1. J

  JituParaTupu Member

  #1
  Jun 14, 2012
  Joined: Nov 20, 2008
  Messages: 88
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 15
  Habari wenzangu jamvini,
  Niko na wenzangu hapa ofisini tuki-rest kidogo baada ya kupata lunch. Kuna mjadala unaendelea eti viungo vya ndani vya wanyama karibu wote havifai kuliwa na binaadamu. Me nimeshangaa sana maana napendelea sana kula viungo hivyo. Nauliza hapa jamvini kuna ukweli juu ya hili? Naomba nielimishwe kiutalaamu zaidi.
  Nawasilisha.
   
 2. brazilian

  brazilian JF-Expert Member

  #2
  Jun 14, 2012
  Joined: Feb 10, 2012
  Messages: 607
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Vinaliwa ila bei chee sana
   
 3. m

  massai JF-Expert Member

  #3
  Jun 14, 2012
  Joined: May 2, 2011
  Messages: 655
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  haviliwi,hata ile tabia ya kungangana na mifupa hawana kabisa,wao ni filet tu ! nyama huwa inapikwa na ovener kiasi kwamba hakuna nyama inabaki kwenye mfupa
   
 4. Mazingira

  Mazingira JF-Expert Member

  #4
  Jun 14, 2012
  Joined: May 31, 2009
  Messages: 1,837
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 135
  Nimekula maini Uholanzi. Nimekula maini na figo Norway. Kwa kifupi vinaliwa ila kama alivyosema Brazilian bei yake ni chee sana. Kwa mfano unakuta nyama ya steki inauzwa Euro 10 wakati maini yanauzwa Euro 3.
   
 5. MwalimuZawadi

  MwalimuZawadi JF-Expert Member

  #5
  Jun 14, 2012
  Joined: Sep 1, 2007
  Messages: 643
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Kama haviliwi, tusingekuwepo. Wazee wetu wote nao wasingekuwepo!!
   
 6. Lokissa

  Lokissa JF-Expert Member

  #6
  Jun 14, 2012
  Joined: Nov 20, 2010
  Messages: 7,079
  Likes Received: 154
  Trophy Points: 160
  vinaliwa kaka asikudanganye mtu ila havina soko kubwa kwao ni wahindi na wabongo ndo wanaokula zaidi
  kwa walio oslo wanaelewa nini wanachofuata Gronland kila wekend.
   
 7. s

  shosti JF-Expert Member

  #7
  Jun 14, 2012
  Joined: Dec 21, 2010
  Messages: 4,949
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 145
  hivi kwa nini tunapenda kutukuza wazungu hivi,wasile wao nani watu wanakula mpaka mapu... ya ng'ombe hebu tuache kasumba
   
 8. Mshuza2

  Mshuza2 JF-Expert Member

  #8
  Jun 14, 2012
  Joined: Dec 27, 2010
  Messages: 4,092
  Likes Received: 1,713
  Trophy Points: 280
  Mmh naomba nisi'comment kwa sasa...
   
 9. Imam Yussuf Shamsi

  Imam Yussuf Shamsi Member

  #9
  Jun 14, 2012
  Joined: Jun 8, 2012
  Messages: 79
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Kwa uelewa wangu mdogo pengine igepaswa maini kuwa kiungo ghali kabisa popote duniani, kutokana na lishe inayopatikana humo.
   
 10. Imam Yussuf Shamsi

  Imam Yussuf Shamsi Member

  #10
  Jun 14, 2012
  Joined: Jun 8, 2012
  Messages: 79
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Hapa naona niendelee kukupa faida zaidi, kuna wataalam au madokta utawasikia kuwa nyama ina madhara makubwa, ushauri wangu nawaambia kuwa tuendelee kula nyama kwa kujinafasi bila kujibanabana, kwani kutokana na utamaduni wetu na namna ya mapishi yetu, tunaipika sana nyama hivyo haiwezi kuwa na madhara hata siku moja.
   
 11. R

  Rebel volcano JF-Expert Member

  #11
  Jun 14, 2012
  Joined: Jun 1, 2012
  Messages: 404
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  mifupa waing'ang'nie wakati cemical zote za kukuza kuku zinajikita kwenye mifupa!,na kwa kukukumbusha tu kama unakula hawa kuku wa kufugwa tahadhari sana kula mifupa yake kwani inadhoofisha nguvu za kiume na nguvu za mwilini kwa jumla,na maini mafigo utumbo na hata moyo nazo ni sehemu zinazoshiba sana cemical za kukuza kuku au ng'ombe ndio maana bei ikawa chwee kwa kuwa muathirika wa mwisho ni masikini mwenye kipato cha chini na ndiyo lishe yake,maskini ulaya wanadharaulika zaidi kuliko africa!
   
 12. M-bongotz

  M-bongotz JF-Expert Member

  #12
  Jun 14, 2012
  Joined: Jan 7, 2010
  Messages: 1,732
  Likes Received: 39
  Trophy Points: 145
  Nasikia hata sehemu za siri za wanyama dume pia ni ghali sana huko ulaya hasa za mnyama kama punda na farasi maana huwa zinatumika kama 'midoli'
   
 13. M

  Moony JF-Expert Member

  #13
  Jun 14, 2012
  Joined: Apr 16, 2011
  Messages: 1,593
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  Vinaliwa ila ni viungo vyenye uchafu na sumu za mnyama.
  Wewe tafakari tu: matumbo yana mavi, figo na maini huchuja sumu na uchafu.
   
 14. M

  Moony JF-Expert Member

  #14
  Jun 14, 2012
  Joined: Apr 16, 2011
  Messages: 1,593
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  Du!!!!!
   
 15. tz1

  tz1 JF-Expert Member

  #15
  Jun 15, 2012
  Joined: Mar 19, 2011
  Messages: 2,118
  Likes Received: 30
  Trophy Points: 145
  Jitupara tupu Kidney hailiwi sana bara la ulaya.
  Liver inaliwa sana inatumika kama 'liver pie' ambayo huliwa sana kwenye migahawa.
  utumbo hauliwi ila upo kwenye butcher za wahindi kwa ajili ya wahamiaji.
  Ireland chakula chao cha jadi kinaitwa haggis ambapo huku kwetu tunaita nyama ya bomu,hiyo wanachandanya nyama,kidney na liver alafu inaingizwa kwenye utumbo mkubwa wa ngombe na wao hawa chomi wana steam.
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 16. M

  Mbwambo JF-Expert Member

  #16
  Jun 15, 2012
  Joined: Nov 25, 2008
  Messages: 626
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 33
  Kama alivyosema msemaji mmoja hapo kwamba vitu vya ndani vinabeba uchafu sana na inasemekana kitaalamu kwamba ini unapokula au figo unajiua maana hivyo ndivyo vinachuja uchafu wote na kila aina ya sumu kwahiyo siyo salama kuvila maana vina maradhi tena sana
  Kwakweli mimi ni mpenda nyama sana na vitu hivyo vya ndani lakini baada ya kusikia Dr. mmoja akielezea kazi ya viungo hivyo nimeelewa na nimepunguza sana ulaji wa nyamama na vitu vya ndani na Mungu akijalia nitaacha kabisa. Tujitahidi jamani kutii yale tunayoambiwa kwa faida yetu na watoto wetu
   
 17. Ndallo

  Ndallo JF-Expert Member

  #17
  Jun 15, 2012
  Joined: Oct 1, 2010
  Messages: 7,129
  Likes Received: 1,083
  Trophy Points: 280
  Figo/Maini/Utumbo/Moyo/Mapafu yote hii ni DOG FOOD!
   
 18. gwino

  gwino JF-Expert Member

  #18
  Jun 15, 2012
  Joined: Nov 19, 2010
  Messages: 335
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  sumu ikiingia kwenye mwili wa mnyama+binadamu hukimbilia kwenye target organ yake kama vile figo,ini,mifupa,ngozi n.k.
   
 19. georgeallen

  georgeallen JF-Expert Member

  #19
  Jun 15, 2012
  Joined: Jun 3, 2011
  Messages: 3,758
  Likes Received: 56
  Trophy Points: 145
  Nani kasema wazungu hawali utumbo, figo,maini etc? Kwani ile kitu wanaiita "Salami" si ndio inatengenezwa kwa kutumia aina hizo za nyama? Sausages ile cover yake si ni utumbo wajameni?
   
 20. U

  Ulimakafu JF-Expert Member

  #20
  Jun 15, 2012
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 17,982
  Likes Received: 729
  Trophy Points: 280
  Mboni hatari...............
   
Loading...