IGP MNAMWOGOPA AFISA Vicky Mwamkuzi ....

zubedayo_mchuzi

JF-Expert Member
Sep 2, 2011
4,873
1,216
Mkuu wa Jeshi la Polisi Tanzania,Nauliza Huyu Mama Vicky ambaye ni mfanyakazi wa wizara ya fedha tarehe 26 mwezi uliopita Alikodisha vijana na kumpiga na kumuua kijana aliejulikana kwa jina la ONESMO MYUKA awali alikuwa mtumishi wake wa kazi ndani,baada ya kuacha kazi kwake kama mwaka 1 na miezi 7 aliondoshwa bila kulipwa ujira wake.
Tarehe 25 usiku alienda kudai fedha zake mbezi beach na ndipo huyu mama na Watu wake walimshambulia mpaka kifo na mpaka sasa hajakamatwa wala vijana wake aliowakodi.Na yeye kwa kupoteza ushaidi akachukua kisu na kujichuna chuna mkononi,Mbali ya hapo huyu mama Ni mlokole tena Shemasi wa Kanisa la PAG KINONDONI.
Kuna watu hapa Tz wanaogopeka namna hii.
IGP mnamwogopa Huyo Mama.
 
unanikumbusha mtoto wa Kingunge aliua kesi yake ikasomwa muda mfupi mno na akakutikana hana hatia............
 
huu ni ujinga, sasa kama haya yote yanafahamika............ vijana wa kita wamekaa wanafanya nini?
 
Hebu tulizeni munkari: kwamba kijana alienda nyumbani kwa mama Vicky usiku kudai ujira wake!!!!!!!!!?، Mdaiwa akakodi vijana!!!!!!!?, wakamuua mdai!!!!!!!!!?. OK. Mama vicky alikodi vijana saa ngapi wa kumuua mdai!!!!!!!!!!?. GT hatuwezi kushawishika ki rahisi kiasi hicho. Bado kuna mambo mengi hujatueleza ili tumuhukumu VICKy au marehemu. Ciao.
 
Well said Gati.
 
Ni kweli! Tumekuwa wepesi wa kushabikia vitu siku hizi! Kuua ni rahisi kiasi hicho? Huyo kijana alikuwa anadai mamilioni mangapi mpaka owe ni rahisi kulipa kundi la wauaji, kumhonga IGP mpaka awe tayari kupoteza kazi na heshima yake na huyo mama kuwa tayari kufungwa au kuuawa! Tumwogope Mungu! Ukweli haujifichi!
 
Hebu tulizeni munkari: kwamba kijana alienda nyumbani kwa mama Vicky usiku kudai ujira wake!!!!!!!!!?، Mdaiwa akakodi vijana!!!!!!!?, wakamuua mdai!!!!!!!!!?. OK. Mama vicky alikodi vijana saa ngapi wa kumuua mdai!!!!!!!!!!?. GT hatuwezi kushawishika ki rahisi kiasi hicho. Bado kuna mambo mengi hujatueleza ili tumuhukumu VICKy au marehemu. Ciao.

ishu ilikuwa hivi kijana onesmo alikuwa akidai hela zake muda mrefu mpk mauti inamfika ilikuwa jioni baada ya kmaliza shughuli zake na kwenda kudai huo ujira wake...kwa huyo mama...alipofika ndipo alipoitiwa mwizi lakni hakuna jirani hata mmoja aliempiga kama mwizi baada ya kuonekana kulikuwa na watu spesho waliompa kipigo...huyo ana nyumba ya ghorofa...dogo alikmbia ghorofani na kujifungia lakini walibomoa na kumpiga mpk mauti na ukumbuke kuwa huyo kijana kafanya kazi kwa huyo mama muda mrefu so wanafahamiana...na huyo mama hana watoto wala mume....
 
Hebu tulizeni munkari: kwamba kijana alienda nyumbani kwa mama Vicky usiku kudai ujira wake!!!!!!!!!?، Mdaiwa akakodi vijana!!!!!!!?, wakamuua mdai!!!!!!!!!?. OK. Mama vicky alikodi vijana saa ngapi wa kumuua mdai!!!!!!!!!!?. GT hatuwezi kushawishika ki rahisi kiasi hicho. Bado kuna mambo mengi hujatueleza ili tumuhukumu VICKy au marehemu. Ciao.

Ushauri wako nini sasa......i thought ni suala la kushauriana na kuhoji situation in details....mbona ume-conclude kuwa hushawishiki mkuu?????
 
Mkuu wa Jeshi la Polisi Tanzania,Nauliza Huyu Mama Vicky ambaye ni mfanyakazi wa wizara ya fedha tarehe 26 mwezi uliopita Alikodisha vijana na kumpiga na kumuua kijana aliejulikana kwa jina la ONESMO MYUKA awali alikuwa mtumishi wake wa kazi ndani,baada ya kuacha kazi kwake kama mwaka 1 na miezi 7 aliondoshwa bila kulipwa ujira wake.
Tarehe 25 usiku alienda kudai fedha zake mbezi beach na ndipo huyu mama na Watu wake walimshambulia mpaka kifo na mpaka sasa hajakamatwa wala vijana wake aliowakodi.Na yeye kwa kupoteza ushaidi akachukua kisu na kujichuna chuna mkononi,Mbali ya hapo huyu mama Ni mlokole tena Shemasi wa Kanisa la PAG KINONDONI.
Kuna watu hapa Tz wanaogopeka namna hii.
IGP mnamwogopa Huyo Mama.

inaonekana ulikuwepo au ulipanga pamoja na marehemu kwenda sehemu hiyo la tukio, maana unataarifa nyingi za kumuhusu marehemu, aliyekwenda kudai chake , kwa mwajiri wake mwaka moja na miezi saba baada ya kudhulumiwa mishahara yake au mshahara wake. Sasa sijui alihusisha mamlaka yoyote katika kudai chake mfano mahakama ya kazi, au polisi ? au hata kuandika barua kwa mtuhumiwa kwamba uliponifukuza kazi hukunilipa mishahara yangu au mshahara wangu.
Maana naona Polisi wanashindwa kuendelea vizuri na upelelezi wao kwa kukosa watu kama wewe.
Wewe nenda tu pale kwa IGP ofisini kwake na vielelezo uone kama IGP ana muogopa huyo Afisa wa Serikali.
 
Mkuu wa Jeshi la Polisi Tanzania,Nauliza Huyu Mama Vicky ambaye ni mfanyakazi wa wizara ya fedha tarehe 26 mwezi uliopita Alikodisha vijana na kumpiga na kumuua kijana aliejulikana kwa jina la ONESMO MYUKA awali alikuwa mtumishi wake wa kazi ndani,baada ya kuacha kazi kwake kama mwaka 1 na miezi 7 aliondoshwa bila kulipwa ujira wake.
Tarehe 25 usiku alienda kudai fedha zake mbezi beach na ndipo huyu mama na Watu wake walimshambulia mpaka kifo na mpaka sasa hajakamatwa wala vijana wake aliowakodi.Na yeye kwa kupoteza ushaidi akachukua kisu na kujichuna chuna mkononi,Mbali ya hapo huyu mama Ni mlokole tena Shemasi wa Kanisa la PAG KINONDONI.
Kuna watu hapa Tz wanaogopeka namna hii.
IGP mnamwogopa Huyo Mama.

Huy ndio yule dogo wa Makoka?Alikuwa akiuza duka la jumla la vinywaji huku Makoka.Tumepitishiwa mchango kijiweni kumchangia dogo asafirishwe akazikwe kwao.
Kwani si nilisikia kuwa yule mama alikamatwa,au kaachiwa tena..!
 
Back
Top Bottom