Wanawake na kudhibiti 'maumbile' yasibadilike!!!!!!! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wanawake na kudhibiti 'maumbile' yasibadilike!!!!!!!

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Mwanamayu, Jun 15, 2012.

 1. Mwanamayu

  Mwanamayu JF-Expert Member

  #1
  Jun 15, 2012
  Joined: May 7, 2010
  Messages: 7,939
  Likes Received: 2,088
  Trophy Points: 280
  Wanawake siku zote wanakuja na mambo ya kushangaza sana. Wengi wao siku hizi wakibeba mimba wanataka wafanyiwe upasuaji hata bila kuwa na shida/ matatizo ya kiafya. Sababu wanazotoa ni 'kuchoshwa na ujauzito', 'wanaogopa uchungu', na 'kuharibu maumbile'. Hilo la tatu, kama mkeo anapasuliwa bila matatizo yoyote ya uzazi kwa kuogopa kuharibika kwa shape ya maumbile basi ujue kwa asilimia kubwa anatoka nje ya ndoa. Hivi yakibadilika burudani inapungua? Halafu sababu ya tiGO extreme hawajaitoa au sio sababu?

  Source: Mwananchi Jumatatu Juni, 11 2012 ukurasa namba 5.
   
 2. Royals

  Royals JF-Expert Member

  #2
  Jun 15, 2012
  Joined: Nov 19, 2011
  Messages: 1,430
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 145
  tiGO extreme ndo nini mkuu kwa wamama?
   
 3. awp

  awp JF-Expert Member

  #3
  Jun 15, 2012
  Joined: Jun 6, 2012
  Messages: 1,714
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 135
  mmmmmmmmmmmmmh,
   
 4. Bilionea Asigwa

  Bilionea Asigwa JF-Expert Member

  #4
  Jun 15, 2012
  Joined: Sep 21, 2011
  Messages: 12,627
  Likes Received: 9,838
  Trophy Points: 280
  ntarudi tena baadae kwenye hii TIGO EXTREME
   
 5. promiseme

  promiseme JF-Expert Member

  #5
  Jun 19, 2012
  Joined: Mar 15, 2010
  Messages: 2,715
  Likes Received: 30
  Trophy Points: 135
  Maneno mwengine ndio kwanzaaaaaa niyasikie humu.
   
 6. rushanju

  rushanju JF-Expert Member

  #6
  Jun 19, 2012
  Joined: Nov 3, 2011
  Messages: 2,337
  Likes Received: 1,044
  Trophy Points: 280
  kwa suala la kutoka nje ya ndoa lina ukweli ndani yake
   
 7. Mkirua

  Mkirua JF-Expert Member

  #7
  Jun 19, 2012
  Joined: Sep 9, 2010
  Messages: 5,667
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 135
  Vitaumbwa vipya ma nchi zitageuka......
   
Loading...