Waziri wa fedha hawezi kutamka neo TRILIONI | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Waziri wa fedha hawezi kutamka neo TRILIONI

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Ulukolokwitanga, Jun 14, 2012.

 1. Ulukolokwitanga

  Ulukolokwitanga JF-Expert Member

  #1
  Jun 14, 2012
  Joined: Sep 18, 2010
  Messages: 8,418
  Likes Received: 3,905
  Trophy Points: 280
  Kuthibitisha kuwa amesoma zamani wakati fedha ina thamani na ma figure makubwa sana walikuwa hawayatumii waziri wa fedha Dk William Mgimwa ameshindwa kutamka neno trilioni hata mara moja wakati anasoma vifungu vya bajeti na kuishia kusema milioni laki moja... au bilioni elfu moja...

  My Take: huyu jamaa hajazoea mahela yenye figure kubwa na digit nyingi kama akina Shimbo tukiskia tu ameagiza ma Vogue mengi kama Mkullo tutajua ni hela yetu imekwapuliwa
   
 2. m

  mashambani kwao JF-Expert Member

  #2
  Jun 14, 2012
  Joined: Dec 5, 2011
  Messages: 371
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  hata mimi nimeshangaa anasema MARAKABISHO.
   
 3. segwanga

  segwanga JF-Expert Member

  #3
  Jun 14, 2012
  Joined: Mar 16, 2011
  Messages: 2,790
  Likes Received: 37
  Trophy Points: 145
  Sio hilo tu maneno mengi sana kashindwa kuyatamka ipasavyo kumbuka hiyo ni dr and he cannot overcome the mother tongue.Hapo bado kiinglish
   
 4. TODO

  TODO JF-Expert Member

  #4
  Jun 14, 2012
  Joined: Jul 14, 2011
  Messages: 219
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  hta mm nimemshangaa anashindwa kusema neno nchi
   
 5. Endangered

  Endangered JF-Expert Member

  #5
  Jun 14, 2012
  Joined: Sep 22, 2011
  Messages: 929
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  In short, Kiswahili hakiwezi.
   
 6. Bitende

  Bitende Member

  #6
  Jun 14, 2012
  Joined: Aug 20, 2011
  Messages: 33
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  kakulia nje ya nchi huyo hajui ma kiswahili yenu
   
 7. nngu007

  nngu007 JF-Expert Member

  #7
  Jun 14, 2012
  Joined: Aug 2, 2010
  Messages: 15,871
  Likes Received: 56
  Trophy Points: 145
  Sasa hii ni habari ya kisiasa? au Majivuno? MODS wako wapi waitoe hii habari hapa?
   
 8. Ngaliba Dume

  Ngaliba Dume JF-Expert Member

  #8
  Jun 14, 2012
  Joined: Oct 6, 2010
  Messages: 1,604
  Likes Received: 1,716
  Trophy Points: 280
  Ulukolo kwitanga kwa lugha yetu ya kihehe manake "wandungu tunasaidiana"....msishutumu sana matamshi yake,Daktari Mgimwa ameathrika sana na lugha ya kihehe...wahehe (nikiwemo mimi) kuna maneno piga ua siyawezi...Inji=nchi,conglushen=conclusion,sida=shida,indanational=international,
   
 9. brazilian

  brazilian JF-Expert Member

  #9
  Jun 15, 2012
  Joined: Feb 10, 2012
  Messages: 607
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Anasema inji
   
 10. i

  isotope JF-Expert Member

  #10
  Jun 15, 2012
  Joined: Apr 4, 2012
  Messages: 2,404
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 0
  Huyu jamaa eti alikuwa anafundisha chuo cha BOT-Mwanza kabla ya kuwa mbunge. Kama yeye yuko ivo product zake zitafananaje? Nilifikiri ni mimi tu nilipata shida kufuatilia hotuba yake kumbe tupo wengi..! tena hataji increment ya kodi kwa asilimia au hata ratio, anataja figure tu.
   
 11. MAMA POROJO

  MAMA POROJO JF-Expert Member

  #11
  Jun 15, 2012
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 4,966
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 135
  kurasa za bajeti zilikuwa nyingi ni hilo tu umekaa ukaona litatuondolea umasikini wetu?
   
 12. Ambiente Guru

  Ambiente Guru JF-Expert Member

  #12
  Jun 15, 2012
  Joined: May 21, 2012
  Messages: 2,275
  Likes Received: 425
  Trophy Points: 180
  Matamshi mengine yanawapotosha watoto wa shule na wanaweza kujikuta wanajibu kimakosa kwenye mitihani.
  Mfano nilionasa;

  Makambuni badala ya Makampuni


  Waandishi wengi wa habari nao wanapotosha; Mfano Mareria au Malelia badala ya Malaria

  Hata hivyo Hongera sana Mheshimiwa, umeanza na mguu mzuri.
   
 13. Fidel80

  Fidel80 JF-Expert Member

  #13
  Jun 15, 2012
  Joined: May 3, 2008
  Messages: 21,976
  Likes Received: 104
  Trophy Points: 145
  Mbona hata wewe unashinda kuandika neno unaandika 'neo'
   
 14. georgeallen

  georgeallen JF-Expert Member

  #14
  Jun 15, 2012
  Joined: Jun 3, 2011
  Messages: 3,758
  Likes Received: 56
  Trophy Points: 145
  Kakulia nje ya wapi mkuu? Huyu ni mtu wa hapa hapa. Muda si mrefu mtagundua tu kuwa Vasca Dagama katuletea bomu jingine. Eti Kambuni =kampuni? Mbona Raha?
   
 15. simplemind

  simplemind JF-Expert Member

  #15
  Jun 15, 2012
  Joined: Apr 10, 2009
  Messages: 11,808
  Likes Received: 2,583
  Trophy Points: 280
  Budget Tanzania Tsh trillioni 13. Budget Kenya Ksh triliioni 1.4=Tsh trilionn 26. All things being equal Kenya wanapiga hatua mbili mbele Tanzania hatua moja.
   
 16. Hute

  Hute JF-Expert Member

  #16
  Jun 15, 2012
  Joined: Nov 25, 2010
  Messages: 6,059
  Likes Received: 3,922
  Trophy Points: 280
  siwezi kusema chochote kuhusu huyu jamaa, tangia nione cv yake, nikasema ngoja nione utendaji wake ndo nitasema...ila nina wasiwasi naye sana tangu alipoteuliwa...
   
 17. georgeallen

  georgeallen JF-Expert Member

  #17
  Jun 15, 2012
  Joined: Jun 3, 2011
  Messages: 3,758
  Likes Received: 56
  Trophy Points: 145
  Mtu unajua vitu huviwezi, sasa ya nini mikogo yote ile? Mara acheke, mara aseme "nirudie tena" Mara hamjaelewa? hajui wakubwa wenzake walikuwa wanamshangaa kuchachawa namma ile?
   
 18. mkandaboy

  mkandaboy JF-Expert Member

  #18
  Jun 15, 2012
  Joined: Jan 19, 2012
  Messages: 237
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 35
  What do you mean "all things equal"
   
 19. N

  Ndinani JF-Expert Member

  #19
  Jun 15, 2012
  Joined: Aug 29, 2010
  Messages: 5,413
  Likes Received: 734
  Trophy Points: 280
  Jambo la muhimu ni sabstance ya yale aliokuwa anasoma na sio pronounciation!! After all yeye ni Mnyalukolo first and foremost!!
   
 20. Bilionea Asigwa

  Bilionea Asigwa JF-Expert Member

  #20
  Jun 15, 2012
  Joined: Sep 21, 2011
  Messages: 12,627
  Likes Received: 9,840
  Trophy Points: 280
  mh..maybe anataka induction course ya kutamka hii mihela
   
Loading...