Mchana huu nimegundua rasmi kuwa TBC1 ni bomu! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mchana huu nimegundua rasmi kuwa TBC1 ni bomu!

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by mwasumbi, Jun 18, 2012.

 1. m

  mwasumbi Member

  #1
  Jun 18, 2012
  Joined: Nov 8, 2011
  Messages: 22
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 5
  Leo nimejituliza home baada ya afya kuyumba sijaenda job, nikaona nitumie muda huu kuangalia vipindi vya TBC1, ambapo waliweka kipindi cha bunge na saa saba taarifa ya habari. Cha kushangaza bungeni mawaziri vivuli kambi ya upinzani Zitto na mrs Lissu wameleta mawazo mazuri kwa serikali TBC1 hawajaonyesha ila upuuzi wa mwenyekiti kamati ya fedha gamba Andrew Chenge ndiyo pekee wameonyesha! Natangaza kutoiunga mkono TBC1 rasmi kuanzia leo!
   
 2. Radhia Sweety

  Radhia Sweety JF-Expert Member

  #2
  Jun 18, 2012
  Joined: Aug 10, 2011
  Messages: 4,448
  Likes Received: 345
  Trophy Points: 180
  Labda wamepitiwa tu. Hawana tabia hiyo hawa jamaa.
   
 3. F

  Froida JF-Expert Member

  #3
  Jun 18, 2012
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 7,900
  Likes Received: 1,328
  Trophy Points: 280
  Kama ulikuwa bado unawaunga mkono ulichelewa sana TBC1 aka TV ya magamba,aka,TV ya propaganda,aka TV mfu
   
 4. KALYOVATIPI

  KALYOVATIPI JF-Expert Member

  #4
  Jun 18, 2012
  Joined: Aug 11, 2011
  Messages: 1,419
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 0
  tibisii ni zaidi ya janga la taifa
   
 5. mikatabafeki

  mikatabafeki JF-Expert Member

  #5
  Jun 18, 2012
  Joined: Dec 29, 2010
  Messages: 12,837
  Likes Received: 2,101
  Trophy Points: 280
  ​Chronic virus on the move
   
 6. Radhia Sweety

  Radhia Sweety JF-Expert Member

  #6
  Jun 18, 2012
  Joined: Aug 10, 2011
  Messages: 4,448
  Likes Received: 345
  Trophy Points: 180
  Ndiyo nini?
   
 7. ndinga

  ndinga Member

  #7
  Jun 18, 2012
  Joined: Apr 1, 2012
  Messages: 95
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  star tv wameamua kukata kabisa matangazo kwa wanaotumia antenna za kawaida jijini Mbeya. kipindi hiki cha bunge kweli CCM wana kazi ngumu.
   
 8. Lokissa

  Lokissa JF-Expert Member

  #8
  Jun 18, 2012
  Joined: Nov 20, 2010
  Messages: 7,079
  Likes Received: 155
  Trophy Points: 160
  hivi tukiamua kuwapiga na virus hatari mitambo yao watasema tunawaonea?
  waige wenzao BBC na KBC kutoa taarifa sahihi bila upendeleo
  wajua vijana waliosomea computer wapo mi kazi rahisi sana kuharibu matangazo yao
  yasionekane ktk satelite.
   
Loading...