Mkwasa atangaza KUJIUZULU | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mkwasa atangaza KUJIUZULU

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Bajabiri, Jun 18, 2012.

 1. B

  Bajabiri JF-Expert Member

  #1
  Jun 18, 2012
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 9,755
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 0
  Kocha wa timu ya twiga stars ametangaza kubwaga manyanga kuinoa timu hiyo,amesema anajiandaa kuwasilisha barua yake ya kujiuzuru kwa TFF,,,,
   
 2. TIQO

  TIQO JF-Expert Member

  #2
  Jun 18, 2012
  Joined: Jan 8, 2011
  Messages: 13,832
  Likes Received: 45
  Trophy Points: 0
  Amekomaa kisoka sasa. Bora apewe starz yule mzungu hakuna kitu
   
 3. PhD

  PhD JF-Expert Member

  #3
  Jun 19, 2012
  Joined: Jul 15, 2009
  Messages: 3,819
  Likes Received: 818
  Trophy Points: 280
  mpeni lusinde timu ya taifa atakuwa anawatukana wapinzani wa timu yetu matusi ya nguoni sie tunapiga bao
   
Loading...