Lusinde a.k.a. Kibajaji kuongea. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Lusinde a.k.a. Kibajaji kuongea.

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Komeo, Jun 19, 2012.

 1. Komeo

  Komeo JF-Expert Member

  #1
  Jun 19, 2012
  Joined: May 3, 2011
  Messages: 2,394
  Likes Received: 423
  Trophy Points: 180
  Kwa wale mliomiss matusi, pumba, kejeli na maneno yote ya kipuuzi, basi msikose kutazama au kusikiliza Bunge leo baada ya kipindi cha maswali na majibu, wakati mheshimiwa huyo atakapokuwa "akichangia" bajeti kwa niaba ya wananchi wake wa Mtera waliomtuma. Yeye ni mchangiaji wa 4 au wa 5 kama sikosei.
   
 2. Havizya

  Havizya JF-Expert Member

  #2
  Jun 19, 2012
  Joined: Apr 3, 2012
  Messages: 1,573
  Likes Received: 169
  Trophy Points: 160
  Ni hatari kuchungulia kinyesi hata kama umekunya wewe!
   
 3. Mungi

  Mungi JF Gold Member

  #3
  Jun 19, 2012
  Joined: Sep 23, 2010
  Messages: 16,986
  Likes Received: 444
  Trophy Points: 180
 4. Ulukolokwitanga

  Ulukolokwitanga JF-Expert Member

  #4
  Jun 19, 2012
  Joined: Sep 18, 2010
  Messages: 8,418
  Likes Received: 3,905
  Trophy Points: 280
  Naomba nisaidiwe CHANDARUA ya kuzuia matusi kudadadeki......
   
 5. Mungi

  Mungi JF Gold Member

  #5
  Jun 19, 2012
  Joined: Sep 23, 2010
  Messages: 16,986
  Likes Received: 444
  Trophy Points: 180
  Sasahivi anaongea mbatia:
  • bajeti yetu ni yakutumia zaidi kupita maendeleo
  • bajeti tunatumia tukitegemea wafadhili kusomesha watoto wetu
  • lengo la milenia ni kupunguza umaskini
   
 6. Jeji

  Jeji JF-Expert Member

  #6
  Jun 19, 2012
  Joined: Jun 28, 2011
  Messages: 1,981
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  pole kwa wana Mtera hawana mbunge.
   
 7. peoples power

  peoples power JF-Expert Member

  #7
  Jun 19, 2012
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 468
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 45

  Kweli bwana maana kinyesi hata kama ni chako huwezi kukishika.poleni sana wana Mtela huyo ndiyo mbunge wenu mlie mchagua au na nyie mtasema ni chaguo la Mungu.
   
Loading...