Ni sawa bunge la tanganyika kuendeshwa na kila mtu badala ya spika mwenyewe | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ni sawa bunge la tanganyika kuendeshwa na kila mtu badala ya spika mwenyewe

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Kuntakint, Jun 25, 2012.

 1. K

  Kuntakint JF-Expert Member

  #1
  Jun 25, 2012
  Joined: Sep 26, 2011
  Messages: 1,112
  Likes Received: 470
  Trophy Points: 180
  Imekuwa ni kawaida ya bunge la Tanganyika linaloendelea uko Dodoma kuendeshwa na kila mtu. Utasikia asubui Mara Ndugai. mara Zungu na wengine wengi. Nionavyo katika bunge la wenzetu hasa Uingereza mara nyingi na muda wote anakuwepo ni spika tu, sio naibu wala mwenyekiti sijui wa nn. Inabidi bunge lizingatie maadili. Spika alichaguliwa kuwa bungeni muda wote labda itokee anaumwa. Kama kuna vikao inabidi wasaidizi wake ndio wahudhurie lakini yeye hapaswi kukosa kwenye kila kikao. Asikwepe lawama inatakiwa hawepo pale kila kikao kinapofanyika. Au ndio mbinu za ccM, ili tusijue udhaifu wa spika.
   
 2. mtotowamjini

  mtotowamjini JF-Expert Member

  #2
  Jun 25, 2012
  Joined: Apr 23, 2012
  Messages: 4,540
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 0
  hapa bongo eti kamati nazo wenyeviti wao nao wanakaa pale mbele...ni njia tu ya kujipatia pesa za bure.
   
Loading...