Safari ya JK Brazil: Alikwenda kuitafutia Yanga kocha | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Safari ya JK Brazil: Alikwenda kuitafutia Yanga kocha

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Chakaza, Jun 22, 2012.

 1. Chakaza

  Chakaza JF-Expert Member

  #1
  Jun 22, 2012
  Joined: Mar 10, 2007
  Messages: 23,679
  Likes Received: 21,911
  Trophy Points: 280
  Wakuu hii imekaaje? Nimesoma makala ya Kicheere katika gazeti la Mwanahalisi jana kuwa JK alifanya safari kwenda Brazil na shughuli iliyompeleka ni kumshawishi Maximo kuja kuifundisha timu aipendayo yaani Yanga.Mwandishi kaweka msisitizo wa hoja yake kuwa pamoja na kuongozana wanahabari hakuna lililo ripotiwa lingine zaidi ya kuonekana kupiga picha na Maximo. Na baada ya muda mfupi kocha huyo kaja kuifundisha Yanga. Tunafahamu yeye na familia yake ni wanazi wakubwa wa timu hiyo,lakini kama hii ni kweli jee ni sawa kwa Rais kuacha majukumu yake na kutumia rasilimali zetu sisi (TZ)tulio masikini kwenda kutafuta kocha?
   
 2. MotoYaMbongo

  MotoYaMbongo JF-Expert Member

  #2
  Jun 22, 2012
  Joined: Jan 7, 2008
  Messages: 1,859
  Likes Received: 200
  Trophy Points: 160
  Ni dhaifu huyo.
   
 3. D

  Danniair JF-Expert Member

  #3
  Jun 22, 2012
  Joined: Feb 18, 2011
  Messages: 361
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Acheni tabia ya kuwabeza viongozi. Je, si vema kiongozi akiongelea mpira? Je, ni vibaya kupiga picha
  na mtu uliyemfahamu toka zamani?

  Kila jambo sas limekuwa ni. "Dhaifu dhaifu". Tuambieni Mnyika kafanya nini pale ubungo toka 2015?
  Kuna organization ipi ya uzalishaji ameifanya pale ubungo ambayo ni juhudi zake binafsi na sasa
  vijana wetu wameajiriwa nao? Au ni kuupepesa mdomo tuuu kila asubuhi? Jiheshimuni.
   
 4. Katavi

  Katavi Platinum Member

  #4
  Jun 22, 2012
  Joined: Aug 31, 2009
  Messages: 39,475
  Likes Received: 4,134
  Trophy Points: 280
  Kwani Maximo ameshakuja?
   
 5. Kobello

  Kobello JF-Expert Member

  #5
  Jun 22, 2012
  Joined: Feb 20, 2011
  Messages: 5,689
  Likes Received: 656
  Trophy Points: 280
  Hapo utakuwa unamuonea!
   
 6. Brown ad

  Brown ad JF-Expert Member

  #6
  Jun 22, 2012
  Joined: Feb 3, 2012
  Messages: 347
  Likes Received: 38
  Trophy Points: 45
  chukua like iyo,maana sasa kila kitu dhaifu walichofanya wao hakionekani kazi kupiga domo tu,hatutaki maendeleo ya mdomoni!
   
 7. D

  Danniair JF-Expert Member

  #7
  Jun 22, 2012
  Joined: Feb 18, 2011
  Messages: 361
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Asichonacho ni nini kama kiongozi? Ukitaka kuwaongoza watu ktk scale hiyo
  lazima ufanye kitu na si mazoea tu
   
 8. javascript

  javascript Senior Member

  #8
  Jun 22, 2012
  Joined: Nov 14, 2011
  Messages: 148
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  dhaifu na wewe
   
 9. R

  Rebel volcano JF-Expert Member

  #9
  Jun 22, 2012
  Joined: Jun 1, 2012
  Messages: 404
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  nakubaliana na wewe wasipojiangalia hili dhaifu litawageukia.
   
 10. grafani11

  grafani11 JF-Expert Member

  #10
  Jun 24, 2012
  Joined: May 24, 2011
  Messages: 15,534
  Likes Received: 342
  Trophy Points: 180
  Kinachoongelewa hapa na mtoa mada ni rahisi sana wala hakihitaji kutumia nguvu nyingii... Je ni halali kwa Rais aliyechaguliwa na wananchi wote (wapenda michezo na wasiopenda michezo, Mashabiki wa ile timu yetu iliyopigwa mkono juzi kati au Mashabiki wa ile timu ya Kitaifa na Kimataifa zaidi), kutumia kodi za wananchi hao kuitafutia timu anayoishabikia yeye na familia yake kocha?

  Je ikitokea upande wa pili wa shilingi, wadau wa ile timu a.k.a five stars mangumi klabu hawatarusha ngumi?
   
Loading...