Alcohol, the spilit of tanzania | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Alcohol, the spilit of tanzania

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Mkurabitambo, Jun 24, 2012.

 1. M

  Mkurabitambo JF-Expert Member

  #1
  Jun 24, 2012
  Joined: Feb 3, 2010
  Messages: 229
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  Nimelifuatilia kwa muda lile tangazo la konyagi nikijinasibisha na roho ya nchi,NANUKUU "KONYAGI the spirity of nation".
  Baada ya kufuatilia mijadala ya bungeni juu ya bageti, jinsi ambavyo serikali imeongeza kodi ya pombe na vilevi vingine...
  Sasa nimeamini kwamba pombe ni roho ya Tanzania ...ipo siku wanywaji wakiacha KUNYWA POMBE, walimu hawatalipwa,wanajeshi hawatalipwa na safari za nchi za nje za viongozi zitapungua....
  TUMEFIKA HAPA TULIPO KWA SABABU YA UDHAIFU,NA USHABIKI WA KISIASA BILA KUWEKA UTAIFA MBELE
   
 2. m

  mhondo JF-Expert Member

  #2
  Jun 24, 2012
  Joined: Apr 23, 2011
  Messages: 970
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 45
  Nadhani ni spirit na siyo spilit wala spirity.
   
 3. Ally Kombo

  Ally Kombo Verified User

  #3
  Jun 24, 2012
  Joined: Nov 11, 2010
  Messages: 11,440
  Likes Received: 68
  Trophy Points: 145
  anajichanganya huyu ! Yeye mwenyewe anasema ni "Nation" na si Tanzania ! Na hilo neno linatefsiri nyingi, nafikiri Wagala wataniunga mkono!
   
 4. mtotowamjini

  mtotowamjini JF-Expert Member

  #4
  Jun 24, 2012
  Joined: Apr 23, 2012
  Messages: 4,540
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 0
  kama kuna mahali unaweza kuwapatia binadamu ni pombe na mafuta ya gari. Hata bei iongezwe vipi bado watanunua. Kuna sehemu bia zinauzwa 3500shs lakini unakuta imejaa watu.
   
 5. IGWE

  IGWE JF-Expert Member

  #5
  Jun 24, 2012
  Joined: Feb 3, 2011
  Messages: 7,753
  Likes Received: 1,326
  Trophy Points: 280
  Ally kombo again..!
   
 6. M

  Mmwaminifu JF-Expert Member

  #6
  Jun 24, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 1,097
  Likes Received: 66
  Trophy Points: 145
  Wagala ni akina nani mkuu?
   
 7. Ally Kombo

  Ally Kombo Verified User

  #7
  Jun 24, 2012
  Joined: Nov 11, 2010
  Messages: 11,440
  Likes Received: 68
  Trophy Points: 145
  Mambo hayo ndo yana wahusu, yaani kunywa kunywa, yaani pombe pombe ! Wako karibu sana na Wakorintho !
   
 8. Ally Kombo

  Ally Kombo Verified User

  #8
  Jun 24, 2012
  Joined: Nov 11, 2010
  Messages: 11,440
  Likes Received: 68
  Trophy Points: 145
  Mkuu kuna mipaka umeniwekea nimeivuka!?
   
 9. IGWE

  IGWE JF-Expert Member

  #9
  Jun 24, 2012
  Joined: Feb 3, 2011
  Messages: 7,753
  Likes Received: 1,326
  Trophy Points: 280
  Hapana mkuu,..ni vile tu unavyopindisha mada kuipeleka kwenye dini
   
 10. IGWE

  IGWE JF-Expert Member

  #10
  Jun 24, 2012
  Joined: Feb 3, 2011
  Messages: 7,753
  Likes Received: 1,326
  Trophy Points: 280
  Haya ndio yanayonishangaza sasa.
   
 11. Ally Kombo

  Ally Kombo Verified User

  #11
  Jun 24, 2012
  Joined: Nov 11, 2010
  Messages: 11,440
  Likes Received: 68
  Trophy Points: 145
  Mtazamo wako tuu ! Kama iko kidini, itakuwa kidini tuu !unajua ukisoma elimu akhera kama Askof Ruwaichi ndo unakuwa na jicho la tatu. Yaani unafukuwa kile kilichomo "behind the scene"
  Yaani utasema wazi akina Mwingira si Mitume bali ni wahuni au Wazushi !
   
 12. Ally Kombo

  Ally Kombo Verified User

  #12
  Jun 24, 2012
  Joined: Nov 11, 2010
  Messages: 11,440
  Likes Received: 68
  Trophy Points: 145
  Inatakiwa ushangazwe na haramu kufanywa halali !
   
 13. M

  Mmwaminifu JF-Expert Member

  #13
  Jun 24, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 1,097
  Likes Received: 66
  Trophy Points: 145
  Mkuu nadhani hapa tulikuwa tunajadili pombe na uchumi wa nchi wala sio na dini ya mtu. Kwa vile umegusia hilo unaweza kuniconvince kuwa hao wasio "wagala" na wanaokaribia kuwa wakorinto (in accordance to your quoted comment) hawachangii uchumi kwa kuwa walevi? Mbona mi ninawafahamu wengi tu wanaolala bar na kushinda kwenye groceries? Pia nina jirani yangu ni mnywaji, anamiliki bar kubwa na anafuga nguruwe halafu amefadhili kwa kiasi kikubwa ujenzi wa msikiti hapa mtaani? Ukitaka ushahidi upo wa wazi kabisa. Hata ukitaka kushuhudia mwenyewe. TUJADILI KWA HOJA NA SIO KWA JAZBA
   
 14. Cynic

  Cynic JF-Expert Member

  #14
  Jun 24, 2012
  Joined: Jan 5, 2009
  Messages: 5,154
  Likes Received: 628
  Trophy Points: 280
  Nadhani unamaanisha binadamu wenye uraia wa TZ ( .. hawa binadamu wana addictions za magari, pombe, simu za mikononi, laptop computers)
   
 15. Ally Kombo

  Ally Kombo Verified User

  #15
  Jun 24, 2012
  Joined: Nov 11, 2010
  Messages: 11,440
  Likes Received: 68
  Trophy Points: 145
  Unawajuwa "Wasamaria? "(Samaritans) Wote ni washenzi wa tabia ila mara moja moja hufanya wema
  Lakini bado watabakia kuwa Wasamaria.
   
 16. M

  Mmwaminifu JF-Expert Member

  #16
  Jun 24, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 1,097
  Likes Received: 66
  Trophy Points: 145
  Asante mkuu kwa kunifahamisha hilo. Katika jamii yoyote ile si kila mwanajamii hufata taratibu. Wapo wengi tu ambao hukengeuka. Mkuu, mara zote jiepushe kuwanyoshea kidole wenzio kuwa ni waovu. Mi huwa sipingani na matokeo ya utafiti kwa hiyo utakapokuja na data kuwa "wagala" wanaowakaribia wakorinto ndo wanaongoza kwa maovu nitakuunga mkono. Labda kwa kuanzia tuangalie mwambao wa pwani (Zanzibar, Dar, Pwani, Lindi, Tanga, Mtwara nk) naamini unafahamu au unaweza kuhisi ratio ya waislam:wakristo. Compare this na uchafu unaofanyika in these places. Compare that result with the case in other zones. ie southern highlands, lake zone.
   
Loading...