Tanzia

Hassan J. Mosoka

JF-Expert Member
Oct 26, 2010
682
323
Diwani wa kata ya Manchira (CCM) na ambaye pia likuwa makamu mweyekiti wa halmashauri ya wilaya ya Serengeti amefariki dunia,
Mungu awafariji wafiwa na wanaManchira kwa ujumla!
Rest in Peace brother Mechama
 
Umetangulia diwani,nasi waja wake Mola twafuata mwanga wa milele ukuangazie,upumzike kwa amani.
 
Back
Top Bottom