Hivi takukuru bado wako hai? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hivi takukuru bado wako hai?

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Simba Mkali, Jun 24, 2012.

?

Why

Poll closed Jul 24, 2012.
 1. 1

  0 vote(s)
  0.0%
 2. 2

  0 vote(s)
  0.0%
 3. 3

  0 vote(s)
  0.0%
 4. 4

  100.0%
 1. Simba Mkali

  Simba Mkali JF-Expert Member

  #1
  Jun 24, 2012
  Joined: Jan 31, 2012
  Messages: 591
  Likes Received: 92
  Trophy Points: 45
  Kuna mradi wa umeme pale Dodoma katika kitongoji cha Kikuyu Kinyambwa ambako wananchi wameahidiwa kupewa nguzo na Tanesco ili waanze kupata umeme wa mradi lakini mradi umekwama kwa kuwa wafanyakazi wa chini wa Tanesco Dodoma wanadai rushwa kwa wananchi wa kawaida. Hadi sasa wananchi wachache waliowekewa nguzo hizo ni wale waliotoa kidogodogo na wale ambao hawajatoa chochote nguzo zimeng'olewa.
  Suala hili Mwenyekiti wa mtaa analijua, Diwani analijua, meneja wa Tanesco analijua na hata Injiani wa Tanecso Dodoma analijua, je Takukuru wapo hai? kwanini wanaacha wananchi wanyonge ambao hawana uwezo wa kutoa rushwa wanyanyaswe? au na wao wameshakatiwa chao?
   
 2. m

  mhondo JF-Expert Member

  #2
  Jun 24, 2012
  Joined: Apr 23, 2011
  Messages: 970
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 45
  Mmewapelekea taarifa na hawajachukua hatua yoyote?. Uwasaidie kwa kwenda kutoa taarifa kwa kupiga simu namba 113 au tuma barua.
   
 3. mtotowamjini

  mtotowamjini JF-Expert Member

  #3
  Jun 24, 2012
  Joined: Apr 23, 2012
  Messages: 4,540
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 0
  mi nafikiri rushwa hapa tz ni kubwa mno mpaka takukuru wameelemewa hawajui waanzie wapi na waishie wapi
   
 4. Shomari

  Shomari JF-Expert Member

  #4
  Jun 24, 2012
  Joined: Mar 8, 2008
  Messages: 1,107
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 135
  namba hizo zinawakilisha nini? toa equation basi!
   
Loading...