Bungelakenya!mmh | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Bungelakenya!mmh

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Advocate J, Jun 24, 2012.

 1. Advocate J

  Advocate J JF-Expert Member

  #1
  Jun 24, 2012
  Joined: May 24, 2012
  Messages: 3,856
  Likes Received: 83
  Trophy Points: 145
  nimeangalia television jion ya TBC ,BUNGE LA KENYA LASEMA KWAMBA KUANZIA MWAKANI MBUNGE YOYOTE NI LAZIMA AWE NA DEGREE ,HONOUR HAZIKUBALIKI SWALA LIPO IVI VIP TANZANIA TYMEJIPANGAJE? NA HAIWEZEKANI NA SISI TANZANIA TUKAIGA? ILI BUNGENI IWE SEHEMU YA WASOMI?
   
 2. nyabhingi

  nyabhingi JF-Expert Member

  #2
  Jun 24, 2012
  Joined: Oct 12, 2010
  Messages: 9,847
  Likes Received: 3,132
  Trophy Points: 280
  kwa matope ya lusinde naweza kusapoti hoja
   
 3. Akagando

  Akagando JF-Expert Member

  #3
  Jun 24, 2012
  Joined: May 24, 2012
  Messages: 536
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 35
  Kweli Mkuu anaichukia CCM.kwani Asilimia kubwa ya Wabunge wa CCM AU MAGAMBAni std seven.
   
 4. nngu007

  nngu007 JF-Expert Member

  #4
  Jun 24, 2012
  Joined: Aug 2, 2010
  Messages: 15,874
  Likes Received: 45
  Trophy Points: 145
  Hapo ni Ubaguzi wa Kielimu, Uongozi ni Hekima sio lazima Madegree wengi wanayo class 1 na wanatukana

  na eti yuko Central Committee ya CCM
   
 5. J

  Jasusi JF-Expert Member

  #5
  Jun 25, 2012
  Joined: May 5, 2006
  Messages: 11,474
  Likes Received: 138
  Trophy Points: 160
  Hilo ni pendekezo tu. Lakini tayari kuna wabunge wameshajipanga kulipinga.
   
Loading...