Ccm na chama chao waspinzani na wanachi | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ccm na chama chao waspinzani na wanachi

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by mzamifu, Jun 24, 2012.

 1. mzamifu

  mzamifu JF-Expert Member

  #1
  Jun 24, 2012
  Joined: Mar 10, 2010
  Messages: 3,496
  Likes Received: 853
  Trophy Points: 280
  Viongozi wa CCM wanaangalia zaidi maslahi ya chama chao hasa wanapofanaya maamuzi yanayowahusu watanzania wote. Wapinzani wanafanya maamuzi kwa kuzingatia hali halisi ya watanzania. Kwa hivo kuna nguvu za uvutano; upande mmoja CCM na upande mwingine wapinzani. upande wa CCM mwongozaji anapotamka Vutaaaaaaa! wanaitika Twendeeeee! kumbe wengine hawavuti bali wanasukuma kuwasaidia wapinzani. wengine wanjifanya kuvuta lakini wamegusa tu!
  katika hali hii CCM wanaweza kuangukia meno bora mgongo maana hiyo ni ishara kuwa wamevuta lakini wakazidiwa! NAWAKUBUSHA KUWA USHIDI WA WATU 200 NA USHEE HIVI DHIDI YA MAKUMI YA WAPINZANI SI USHINDI HALISI KWANI WATANZANIA WAKO MILIONI 40 NA USHEE
   
Loading...