Dc wanging'ombe apingana na maamzi ya rais | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Dc wanging'ombe apingana na maamzi ya rais

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Mngendalyasota, Jun 24, 2012.

 1. M

  Mngendalyasota Senior Member

  #1
  Jun 24, 2012
  Joined: Jan 22, 2011
  Messages: 171
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  WanaJF
  Mgogolo mkubwa umetokea kati ya DC Estelina KIlasi na wananchi wa wilaya mpya ya Wanging'ombe baada ya yeye kutaka ujenzi wa makao makuu ya wilaya yawe Mdandu na siyo Igwachanya kama ilivyotangazwa na serikali. Sababu anayotoa ni kwamba Igwachanya hakuna ofisi za kutosha kwa wafanyakazi wa halmashauri kwa sasa. Kimsingi jambo hili limewaudhi wananchi wengi waliokuwa wanaunga mkono uwepo wa makao makuu Igwachanya kwa kuwa ni katikati ya wilaya hii mpya.
   
 2. Mbimbinho

  Mbimbinho JF-Expert Member

  #2
  Jun 24, 2012
  Joined: Aug 1, 2009
  Messages: 6,027
  Likes Received: 2,867
  Trophy Points: 280
  Anapingana kwasababu raisi mwenyewe Dhaifu.
   
 3. LOWE89

  LOWE89 Senior Member

  #3
  Jun 24, 2012
  Joined: Nov 18, 2011
  Messages: 149
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 33
  Hiyo nayo kali, niliona wananchi wa Igwachanya wakiandaa miundo mbinu mbalimbali ili kukidhi mahitaji ya makao ya wilaya, sasa yeye alitegemea akute majengo toka wapi tena!! ajenge ndilo jukumu lake kuu kwa sasa anaweza akakaa huko mdandu wakati anajenga Igwachanya, kwa sababu si mbali ki hivyo. Ama naye ni mpya, awaulize wenzake walikuwa wanafanyia kazi za kiwilaya kwenye ofisi ya mtendaji kata. Kuanzisha wilaya kazi,
   
 4. Kichwa Ngumu

  Kichwa Ngumu JF-Expert Member

  #4
  Jun 24, 2012
  Joined: Nov 6, 2010
  Messages: 1,726
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 145
  tumieni nguvu ya umma tu, nguvu ya umma ndio kila kitu
   
 5. j

  jigoku JF-Expert Member

  #5
  Jun 24, 2012
  Joined: Sep 9, 2011
  Messages: 2,347
  Likes Received: 80
  Trophy Points: 145
  Kwa kuwa aliemteua ni dahifu ndio maana anampinga,na kama vipi njia ni moja tu people's power hiyo haishindwi kama mkidhamiria
   
Loading...