Kibonde amtetea Ngeleja

Kidotulotokordwak

JF-Expert Member
Mar 27, 2012
286
43
Mtangazaj wa clouds fm Ephraim Kibonde leo jioni katika kipindi cha jahaz amemtetea Ngeleja kwa kauli yake ya kukashifu bajeti ya kambi ya upinzani na kuiita bajeti mbadala kitu ambacho Tundu Lissu alikikana na kujbu mapigo kwa kusema kutokana na kanuni za bunge hamna kitu kinachoitwa bajet mbadala na spika wa bunge kukubaliana na kauli ya Lissu.kibonde anasema maige anahak ya kuchangia alivyochangia ila kambi ya upinzani walishindwa kustahimili kaul ya maige.
 
Clouds wanatumia redio kuitangaza CCM,

Chadema msisahau hili mbeleni.
 
Mtangazaj wa clouds fm Ephraim Kibonde leo jioni katika kipindi cha jahaz amemtetea Ngeleja kwa kauli yake ya kukashifu bajeti ya kambi ya upinzani na kuiita bajeti mbadala kitu ambacho Tundu Lissu alikikana na kujbu mapigo kwa kusema kutokana na kanuni za bunge hamna kitu kinachoitwa bajet mbadala na spika wa bunge kukubaliana na kauli ya Lissu.kibonde anasema maige anahak ya kuchangia alivyochangia ila kambi ya upinzani walishindwa kustahimili kaul ya maige.
ndio mana jahazi lao linazidi kuzama.
 
hivi kibonde na ngeleja wote sawa k alitegemea kupata udc lakini ikawa hakuna mamumivu yao wanatema povu na kaka yao nepi
 
unajua kupotea muda kusikiliza mgonjwa kama Kibonde ndo yale yale ya kuwa dhaifu
 
yani kibbs angekuwa mwepesi wa kufikiri yeye mpaka sasa hivi kazi yake u mc analipa kodi aweke wazi sio kutetea ujinga wa ngeleja
 
Kibonde ni tatizo, na kinachomsumbua zaidi kibonde ni unafiki na anafikiri atatoka kwa kujipendekeza. Ni dhairi huyu jamaa ana matatizo tena makubwa nadhani anaitaji msaada maana anajifanya anajua lakini hajui watu wanaomsikiliza ni watu wa aina zote na akuanzia hapa toka wanafunzi wa chuo kikuu mlimani walipokuwa wanadai posho za masoma akawatukana, madaktari walipokuwa wanadai haki zao kawatukana na sasa anawatukana wabunge wa upinzani ukisikiliza jahazi toka juzi amekuwa kibaraka wa kutetea CCM. Ni dhahiri clouds wasipojirekebisha watachokwa na wanachi ni aibu kwa kibonde amabye amekuwa akisakamwa na makundi yote niliyoyataja hapo juu namna anavyoingilia haki yao ya kudai staili zao, sijui kibonde ni nani CCM maana inamuuma sana anaposikia watu wanipinga. Mnafiki kibonde badilika
 
Huyu Kibonde ni dhaifu nafikiri mpaka ubongo wake!

Huyu mshikaji Mi simpendi kabisa kwa sababu ya utumwa wake alioukubali ndani ya mafisadi na kujionyesha wazi kuwa ni gamba full.

Huyu ni zigo kwa Taifa letu!
 
Kibonde ni tatizo, na kinachomsumbua zaidi kibonde ni unafiki na anafikiri atatoka kwa kujipendekeza. Ni dhairi huyu jamaa ana matatizo tena makubwa nadhani anaitaji msaada maana anajifanya anajua lakini hajui watu wanaomsikiliza ni watu wa aina zote na akuanzia hapa toka wanafunzi wa chuo kikuu mlimani walipokuwa wanadai posho za masoma akawatukana, madaktari walipokuwa wanadai haki zao kawatukana na sasa anawatukana wabunge wa upinzani ukisikiliza jahazi toka juzi amekuwa kibaraka wa kutetea CCM. Ni dhahiri clouds wasipojirekebisha watachokwa na wanachi ni aibu kwa kibonde amabye amekuwa akisakamwa na makundi yote niliyoyataja hapo juu namna anavyoingilia haki yao ya kudai staili zao, sijui kibonde ni nani CCM maana inamuuma sana anaposikia watu wanipinga. Mnafiki kibonde badilika

CDM 2kiingia 2015 tunaanza na hii redio,na najua mh Sugu atapewa wizara ya habari,na wanabf nae
 
Kibonde kahongwa na serikal kipindi cha nyumba ni maisha. Kwahiyo anapalilia kibarua. Ndio maana povu linamtoka hovyo.
 
Huyo nae ni dhaifu kwani anajua anachokiongea? Yan anataka apewe ukuu wa wilaya.
 
Hivi wajameni hili Neno KIBONDE zamani si tulikuwa tunalitumia Kama DHAIFU (Weak). Kama ni hivyo basi mimi naona huyu bwana KIBONDE tumchukulie Kama jina lake lilivyo....na aungane na list ya VIBONDE wenzake.
 
Wakuu, hawa CLOUDS wameiteka Dar sana hasa kwa watu wa kawaida! Wanajifanya wanafanya vitu vya uhakika ila wanapitisha
ushenzi na KIBONDE huyu na wapambe wake wanaongoza kwa ushenzi huu wa kumsifia jk na serikali wkt wa hoja mbali mbali.
Wamekuwa msitari wa mbele kukaribisha watukanaji wa upinzani.

Mimi nyumbani kwangu nilishawapiga stop kuangalia hii tv na redio ila Bw, wakutana nao kwenye Daladala zote za Dar.......!!!!
 
attachment.php
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom