Serikali yatangaza rasmi mapambano na madaktari | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Serikali yatangaza rasmi mapambano na madaktari

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Concrete, Jun 20, 2012.

 1. C

  Concrete JF-Expert Member

  #1
  Jun 20, 2012
  Joined: Mar 12, 2011
  Messages: 3,607
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 0
  Waziri wa Afya Hussen Mwinyi amesema meza ya mazungumzo na madaktari imefikia ukomo, mengi ya madai yao yamekwisha tatuliwa(eg.kujiuzuru kwa watendaji wa wizara,call allowance,postmortum allowance nk), mengine yatatatuliwa(eg.Green card,Immunization) na mengine hayawezi kutatuliwa(eg. mshahara wa 3.5M,mikopo magari,risk and house allowance nk).
  Kwa kuwa jumuiya za madaktari zimeshaanza kutoa matamko kutokubaliana na serikali kwa hiyo hatua inayofuata ni kupimana ubavu kisheria,kisiasa na kiharakati.
  SOURCE: TBC1News
   
 2. double R

  double R JF-Expert Member

  #2
  Jun 20, 2012
  Joined: Oct 6, 2011
  Messages: 1,351
  Likes Received: 741
  Trophy Points: 280
  kipenga hicho, mechi ianze.
   
 3. The Son of Man

  The Son of Man JF-Expert Member

  #3
  Jun 20, 2012
  Joined: Feb 9, 2010
  Messages: 12,126
  Likes Received: 1,705
  Trophy Points: 280
  Problems cannot be solved by the same level of thinking that created them. WaBonge mwezi ujao wanaanza kulipwa 10 M per month bila kodi. Kazi tunayo!!!
   
 4. meningitis

  meningitis JF-Expert Member

  #4
  Jun 20, 2012
  Joined: Nov 17, 2010
  Messages: 8,019
  Likes Received: 911
  Trophy Points: 280
  kwa hiyo serikali imeshindwa kutekeleza mahitaji ya MSINGI ya watoa huduma ya afya.
   
 5. meningitis

  meningitis JF-Expert Member

  #5
  Jun 20, 2012
  Joined: Nov 17, 2010
  Messages: 8,019
  Likes Received: 911
  Trophy Points: 280
  fedha iliyopo inawatosha WABONGE tu
   
 6. Gwankaja Gwakilingo

  Gwankaja Gwakilingo JF-Expert Member

  #6
  Jun 20, 2012
  Joined: Jan 26, 2012
  Messages: 1,963
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 145
  ama kweli hii ndyo Tanzania bana,na ukizingatia jamaa ni dhaifu hata hajui aanzie wapi, najua anajuta kwa nini yeye ni Rais
  "Mungu wangu wewe wajua kipato nikipatacho nakuomba uniepushe na maradhi yoyote mpaka vita ya hawa mafahari wawili watakapo maliza mpambano wao amen"
   
 7. Lokissa

  Lokissa JF-Expert Member

  #7
  Jun 20, 2012
  Joined: Nov 20, 2010
  Messages: 7,079
  Likes Received: 154
  Trophy Points: 160
  hao hao mawaziri wakiumwa ghafla wanakimbizwa india au wanapewa huduma hospitali za nyumbani?
  wanacheza na mtu anaeamua akumalizie maisha au akutibu.
  wao wanalamba milioni kumi wanasahau wanaowatibu
  wakimalizana na mdaktari warudi kwa walimu, mahakimu nao wamesahaulika sana
  watawafunga hata mawaziri pia na ndugu zao,
  afu wizara ya afya sio ya muungano inakuwaje anapewa mzanzibari aje atuongozee afya?
   
 8. R

  Rebel volcano JF-Expert Member

  #8
  Jun 20, 2012
  Joined: Jun 1, 2012
  Messages: 404
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  hii nchi kama ufisadi mpaka hawa madoctor ni mafisadi wa kupindukia,kabla ya miaka tisa nyuma nilikuwa nashuhudia watoaji huduma kwa wagonjwa wakiacha kazi serikalini wakihamia kwenye hospitali za binafsi kisa maslahi,baada ya kuingia jk mjengoni sekta ya afya kaiboresha kiasi alichoweza,nikashuhudia makundi ya hawa hawa waliozihama hospitali za serikali wakirudi wakidai sasa maslahi ni bomba,binadamu walivyo wepesi wa kusahau wapi walikuwa!!!
  jk ipo siku mjengoni atatoka tu,tunasubiri anaekuja aone mziki ulivyo mnene!!!
   
 9. The Son of Man

  The Son of Man JF-Expert Member

  #9
  Jun 20, 2012
  Joined: Feb 9, 2010
  Messages: 12,126
  Likes Received: 1,705
  Trophy Points: 280
  We acha tu kamanda wangu!!!!
   
 10. Elli

  Elli JF-Expert Member

  #10
  Jun 20, 2012
  Joined: Mar 17, 2008
  Messages: 26,816
  Likes Received: 10,106
  Trophy Points: 280
  Subiri nifungue huduma yangu sityakosa watakaokuja kwenye maombi, nikishindwa nafungua hata ya uganga wa kienyeji, seems there is a deal here
   
 11. Brightman Jr

  Brightman Jr JF-Expert Member

  #11
  Jun 20, 2012
  Joined: Mar 22, 2009
  Messages: 1,233
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 135
  Pliiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii........
   
 12. g

  gati Member

  #12
  Jun 20, 2012
  Joined: Oct 21, 2009
  Messages: 76
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ndo maana nimeona pale regency hospital wanaongeza majengo.........
   
 13. Scofied

  Scofied JF-Expert Member

  #13
  Jun 20, 2012
  Joined: Jun 5, 2012
  Messages: 2,017
  Likes Received: 197
  Trophy Points: 160
  hawa jamaa hawako serious na maisha ya wabongo...milioni kumi kwa mwezi then hawana pesa za kuwaongezea madaktari mshahara??? serakali dhaifu, jk ni dhaifu..
   
 14. kwamwewe

  kwamwewe JF-Expert Member

  #14
  Jun 20, 2012
  Joined: Jul 15, 2010
  Messages: 1,313
  Likes Received: 118
  Trophy Points: 160
  ndipo hapo kwanini hamuidai Tanganyika yenu mambo yakaisha wizara zote zikashikwa na watanganyika wenyewe???
   
 15. Crashwise

  Crashwise JF-Expert Member

  #15
  Jun 20, 2012
  Joined: Oct 23, 2007
  Messages: 22,172
  Likes Received: 862
  Trophy Points: 280
  Jamani ingawa mimi nimekuwa nikiwaunga mkono, mgomo wa mara ya mwisho kidogo nimpoteze wife...mimi ningeshauri wanainchi tuandamane tusisubiri maafa kama ya last time...
   
 16. R

  Rebel volcano JF-Expert Member

  #16
  Jun 20, 2012
  Joined: Jun 1, 2012
  Messages: 404
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  nchi kama hii ilikuwa inataka kiongozi kama saddam huseni kila mpinzani wake alikuwa kashamtaarishia kaburi la kumzika,mtu kama mh:jk yupo powa powa kwa wote,lazma mumuone dhaifu!!!hata kama anawajali!!
   
 17. Mzee Mwanakijiji

  Mzee Mwanakijiji Platinum Member

  #17
  Jun 20, 2012
  Joined: Mar 10, 2006
  Messages: 31,360
  Likes Received: 6,377
  Trophy Points: 280
  nilisema mara ya kwanza na naweza kurudia hapa.. serikali haiwezi kushinda...
   
 18. figganigga

  figganigga JF-Expert Member

  #18
  Jun 20, 2012
  Joined: Oct 17, 2010
  Messages: 14,971
  Likes Received: 6,601
  Trophy Points: 280
  Hamna mwenye ubavu wa kujenga bifu na madoctor. hata rais anatembea na doctor. mtu yoyote mambo ya afya yakizingua mtu wa kwanza kumuendea ni doctor. Halafu leo mnataka kuwaletea ubabe!?. mi nawaheshimu. mia
   
 19. B

  Bob G JF Bronze Member

  #19
  Jun 20, 2012
  Joined: Oct 5, 2011
  Messages: 2,354
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  Udhaifu mwingine ndo huu wa kutangaza mechi inayogharimu uhai wa watanzania waliotumia vibaya sanduku la kura na kuwapa uongozi ccm ili waangamie. Watu wangu wanaangamia kwa kukosa maarifa, sasa majuto ni mjukuu. next time pigeni kura ya kuikataa ccm na udhaifu wake wote, Majanga haya:-1. MUUNGANO, 2. UAMSHO, 3.BAJETI,4, MADOKTA, 5.WALIMU, 6.TCU, 7.MFUMKO WA BEI, 8.MAISHA MAGUMU, 9.RUSHWA, 10.UCHOMAJI MAKANISA, 11.DENI KUBWA, 12.WAKANDARASI KUSIMAMA KWA KUTOLIPWA. 13.SERIKALI HAINA FEDHA,14. KUTOROSHA RASLIMALI. 15.MISAMAHA YA KODI, 16.AJIRA HAKUNA, 17.AHADI HAZITEKELEZEKI, 18. JK DHAIFU.NECTA, 19. MAKUNDI NDANI YA CCM, 20.OMBAOMBA, 21,MADAWA HOSPITALI HAKUNA. 22.UDINI, 23. EPA 24,MEREMETA. 25. KODI INAKUSANYWA 106% ZINAKWENDA WAPI, namengine mengi MADHAIFU,,,,,,,,,,,Duh! Tanzania iko JEHANAMU!!!!!!!!!!!
   
 20. S

  SirBonge JF-Expert Member

  #20
  Jun 20, 2012
  Joined: Jul 18, 2010
  Messages: 349
  Likes Received: 179
  Trophy Points: 60
  Eeeeh mungu wape hekima hawa viongozi wetu watambue hatari iliyo mbele yetu watanzania kwa mgomo huu unaofukuta!
  Amen!
   
Loading...